Mufti sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua

Wananikumbusha Nabii hawa wa kisasa maeneo flani ngorngoro huko alikuwa ana simu janja yake anaangalia hali ya hewa akiona kuna dalili za mvua siku kadhaa zijazo basi atawakusanya wamasai(wafugaji) wakulima na kuwaambia anafanya maombi kwa ajili mvua na kweli wataomba wee ndani ya wiki mvua hiyoo basi wamasai wakawa wanamuamini kweli kweli anapewa hela na mifugo kama zawadi(alitajirika) sana ilikuwa kipindi kama hichi wanamfata jamaa ana google huko anawaambia nimeoteshwa tutapata mvua kuanzia wiki flani kwa bahati mbaya yule jamaa alifariki na tatizo la upumuaji mwaka jana,,,,ninavyoandika hapa wananchi wa lile eneo na hili jua wanamlilia sana kuwa angekuwepo angewasaidia kusali ili wajue inakuja lini
 
sala na maombi huwa yanaombwa kila siku mchana na usiku, si mpaka kiongozi aitishe maombi. Kwanza ni maombi ya mtu mmoja mmoja kwa wakati wake kujiombea na kuombea nchi. Mungu hana utamaduni wa kuombwa maombi dhaifu hutenda kwa nyakati na majira yake.
 
Halafu ikinyesha hatusikii wala kuona yakiitishwa maombi ya shukrani kwa Mungu
 
Simple, ni sifa mnazompa za kishamba kabisa... zinapingana.
Hujajibu swali nimekuuliza umejuaje kama hayupo ?

Kupewa sifa za uongo hakutoshi bali unatakiwa uthibitishe uongo wa sifa hizo na ututhibitishie ya kuwa hayupo. Huenda ujinga wako na uchachefu wako wa maarifa ukaona jambi ni la ungo ila kiuhalisia si uongo.
 
Nimejua hayupo kwasababu hawezi kumtumia a single person from middle east kufikisha ujumbe kwa dunia nzima alafu iwe effective... ni njia ambayo ni very primitive ambayo haifanani na ukubwa wake. hao inaosemekana aliwatuma wangekuwepo miaka hii tungewaona mpaka kwenye youtube na wangekuwa na tour dunia nzima. kilichowafanya wasitoke nje ya maeneo yao ni nin kama sio lack of technology? walikuwa limited, Huyo ambaye inasemekana ni mwana wa Mungu kafeli mtihani mdogo tu wa kuweza kuhubiri katika point zaidi ya moja at per kiasi kwamba alikuwa anahitaji kupandishwa kwenye mlima mrefu ili kuona milki za lucifer katika kila kona ya dunia. (hii ni dhana ya flat earth kabisa)
 
Kijana unaandika stori sana ambazo laiti kama ungefikiri kwa uzuri ungeona huna akili nzuri.

Sisi tunataka uhalisia na jenga hoja kwa uhalisia siyo kwa dhana mara ingekuwa mara kadhaa,hizi ni dhana ambazo hazina uhalisia jambo la uhalisia lijingee hoja kwa uhalisia wake.

Sababu ujumbe si lazima umuone aliye kuj na ujumbe.

Nasubiri majibu.
 
Ndio raha ya ubinadamu hiyo.. sio kuku kwamba tuishi na default settings. Wasio na akili nzuri ni hao sasa wanaomba lami kutoka kwa Mungu.
 
Kijana unaandika stori sana ambazo laiti kama ungefikiri kwa uzuri ungeona huna akili nzuri.

Sisi tunataka uhalisia na jenga hoja kwa uhalisia siyo kwa dhana mara ingekuwa mara kadhaa,hizi ni dhana ambazo hazina uhalisia jambo la uhalisia lijingee hoja kwa uhalisia wake.

Sababu ujumbe si lazima umuone aliye kuj na ujumbe.

Nasubiri majibu.
Kuna mambo kibao ambayo hamkubaliani na huyo Mungu mnayemuamini, hamsemi mnapingana nayo ila mnayaonyesha kwa matendo...
 
Majini million 1 yakitumwa kuleta Mvua ujue ni mafuriko.... So Majini 1,000 yanatosha kuleta Mvua ya kupunguza joto mjini.
Wakristo mna chuki na uislam, na mlivyo maboya,kila siku matapeli wanaojiita manabii wanawapiga pesa mazuzu nyie, yaani nyie ni mazuzu aisee, mnapigwa pesa kila siku na matapeli kina Mwamposa na kina nabii Shillah eti
 
Kuombea mvua badala ya kudhibiti shughuli haramu za kibinadamu zinazosababisha ukame ndiyo ujinga mkuu kuliko ujinga wowote ule ambao binadamu anaweza kuwa nao.

Mungu alishamaliza wajibu wake wa kuweka mazingira ya mvua kunyesha.Ni wajibu wetu sasa kutunza mazingira hayo.Hatutimizi wajibu huo.Mungu hawezi kuwa na muda na wajinga kama hawa,he is too busy with things that matter.
 
Huu uzi unanipa picha kwamba as time goes on kuna great cultural change ya watanzania kubeza maombi, sala, na dua! Sijui tatizo ni nini; kwamba watu wamemchoka Mungu? Kwamba heshima ya dini inapotea? Kwamba viongozi wa kiroho hawana usahwishi tena? Why?
 
Yote majibu..ila chanzo ni viongozi wa dini.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakristo mna chuki na uislam, na mlivyo maboya,kila siku matapeli wanaojiita manabii wanawapiga pesa mazuzu nyie, yaani nyie ni mazuzu aisee, mnapigwa pesa kila siku na matapeli kina Mwamposa na kina nabii Shillah eti
Wewe kinachokuuma nini si hela zao..na wanahela waumini..kuliko huko pangu pakavu..

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi.

Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?

sema kiongozi mkuu wa bakwata sio wa waislamu wote. akisema tufunge hatufungi akisema leo sio eid sisi tunakula eid akisema tusoma maulid sisi tunasema haramu hatusomi kuna sala yamvua jumapili mnazi mmoja wao wanaenda sisi hatuendi
 
Back
Top Bottom