Mufti sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua

Mufti sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua

Siyo chuki Chief, kwani ni uongo hakuoa mtoto wa miaka 9? Kulawiti ni uchafu binafsi wa mtu, haina uhusiano na cheo chake (Awe Padre, Pastor, Askofu or Shehe)

kwani sheria ya kuoa mtoto umri wa zaidi ya miaka 18 ilitungwa lini. ? zamani kulikuwa na sheria hii ya mtoto zaidi ya miaka 18 ndio aolewe hakuna walikuwa wanaoana hii sheria ipo tanzania na baadhi ya nchi mpaka leo nchi nyingi bado wanaoa wasichana wadogo. mtume muhhamad sio mtanzania umpe sheria ya nchi na katiba ya nchi eti mtoto chini ya miaka 18 usioe hiyo ni bongo na baadhi ya africa ndio sheria hii ipo. mfano india na yemen na nchi nyingi unaoa mtoto mdogo. afadhali ya mtume muhamad alioa je mwezake tunaemuita yesu mbona aliishi bila kuoa alikuwa ana kasoro gani? na hali dr mwaka yupo
 
Tunatakiwa kuomba dua ili tusiendelee kupata viongozi wajinga wajinga na wapumbavu
 
Wakristo mna chuki na uislam, na mlivyo maboya,kila siku matapeli wanaojiita manabii wanawapiga pesa mazuzu nyie, yaani nyie ni mazuzu aisee, mnapigwa pesa kila siku na matapeli kina Mwamposa na kina nabii Shillah eti
Waislam ndo wanajazana kwa Mwamposa, na yeye alivyo mjanja Sasa hivi anawabadirishana Majina!
 
Ivi nikisema mungu hajui anachokitaka nitaitwa kafiri, mpinga kristo na majina mengine mabaya sio?
Yaani mungu hajui kama watu wake wanataka mvua mpaka abembelezwe kwa maombi?.
Sasa ile huruma ambayo wafuasi wa dini wanayoipromote kuhusu huyu mungu iko wapi, au muda mwingine huwa anapitiwa na usingizi?.
Lakini huwa wanasema mungu halali, yaani vitu vya kubuni vina udhaifu mwingi sana.
 
Sisi hatuko katika biblia, kibiblia wala enzi hizo.
Hakuna vita unaweza kushinda kama haijaanzishwa na amiri jeshi mkuu,huyo hapo hajakiweka kawekwa na Mungu,hivo akimwomba mwenyezi Mungu atamsikia kiliko wewe na mie.Wewe ombea family yako tu.
 
Kwa nini amiri jeshi mkuu aanzishe vita?
Hakuna vita unaweza kushinda kama haijaanzishwa na amiri jeshi mkuu,huyo hapo hajakiweka kawekwa na Mungu,hivo akimwomba mwenyezi Mungu atamsikia kiliko wewe na mie.Wewe ombea family yako tu.
 
Ulizungumza lini na mwezi Mungu akakuambia yeye ndiye kamuweka?
Hakuna vita unaweza kushinda kama haijaanzishwa na amiri jeshi mkuu,huyo hapo hajakiweka kawekwa na Mungu,hivo akimwomba mwenyezi Mungu atamsikia kiliko wewe na mie.Wewe ombea family yako tu.
 
Hivi mvua kunyesha ni muujiza, hao wenye muujiza ili tuone muujiza waiombe nchi, barabara zote ambazo hazina lami tumka tukute zina lami bila ushiriki wa mtu kujenga.

Ila kuomba kitu ambacho kinatokea kikitokea ni kawaida tu.
Ujinga wa Watu wa Nchi hii sijui hata ni wa Kiwango Gani???

Maombi yanasikilizwa Tanzania tu ujinga mtupu....
 
Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi.

Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?

2772022_1660090_FB_IMG_1514731600839.jpg
 
Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi.

Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
Huyu siyo kiongozi mkuu wa Waislam , ni kiongozi wa Bakwata tu
 
Hivi mufti alitaja tarehe?

Maana utabiri wa siku kumi wa mamlaka ya hewa ndio huo umetimia leo, na mufti aliitumia chansi vizuri
 
Inaonekana mufti alipitia hapa kwanza, akacheki huu utabiri wa siku kumi mbele afu akaitisha maombi

View attachment 2014510
Hakuna cha maombi wala dua, every step has been calculated

Kutoka tarehe 17 mpaka leo ni siku 10, utabiri kutoka mamlaka ya hewa umefanyika kimahesabu lakini kongole itaenda kwa mufti
 
Back
Top Bottom