Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Mufti ni msaka fursa wala hana lolote, huwezi kuona Rais ameenda kwenye kongamano ambao Shelkh Ponda sababu ataenda kuambiwa ukweliKuzungumzia amani bila kutanguliza kuwepo kwa haki ni sawa na kuweka mkokoteni mbele ya punda ukitegemea mkokoteni ndiyo uvute punda. Mufti hakuutendea haki Uislamu na Waislamu kwani amebariki dhuluma na uonevu unaofanywa na CCM na Serikali yake kwa wapinzani hasa kwenye chaguzi zote.
Hapo atakuwa kaachiwa kama 50M za Iddi apigie dembe CCMAnalinda maslahi yake binafsi kwanza kuliko ya mamilioni ya Watanzania. Ni hulka ya binadamu wengi wasio na imani thabiti wa dini zote na wasio na dini. Vigumu kuwapata watu kama Traore.
Chadema mna mashehe na maaskofu wa ajabu ajabuHakuna waislam hapo zaidi ya Shelkh Ponda hawa ni wasaka fursa tupu
UWT mnajifariji snChadema mna mashehe na maaskofu wa ajabu ajabu
Mfano Askofu Mwamakula hana kanisa kabisa ulizia yeyote jengo la kanisa anakosali liko wapi? Hana ni kuzurura tu na Chadema kuponea posho za tonetone hana waumini ambao labda mngetarajia wawe wapiga kura wenu
Shehe ponda hana hata jengo la msikiti anakosalisha hana waumini kuwa atawSaidia kuwapa wapiga kura
Siku zenu za kuiba rasilimali za umma ziko mwisho(kama bado hujakusanya pesa za kutosha fanya haraka kukusanya zaidi),huwezi kutaka amani huku unadhuluma haki za wananchi.Kweli shoka lipo shinani.Chadema mna mashehe na maaskofu wa ajabu ajabu
Mfano Askofu Mwamakula hana kanisa kabisa ulizia yeyote jengo la kanisa anakosali liko wapi? Hana ni kuzurura tu na Chadema kuponea posho za tonetone hana waumini ambao labda mngetarajia wawe wapiga kura wenu
Shehe ponda hana hata jengo la msikiti anakosalisha hana waumini kuwa atawasaidia kuwapa wapiga kura
Amani ni mtoto wa haki!Bila HAKI hakuna AMANI
Sheikh alishajiamulia bora ya tumbo lake linalolishwa na CCM kuliko kumtumikia Allah.Azungumzie haki apokonywe posho,hayo maneno yenyewe kaandikiwa Lumumba kapewa kama script
π πWewe unafahamu amani na haki ni kama pande mbili za sarafu moja, lakini wewe umeshikilia upande mmoja tu wa amani, lakini suala la haki umelipa kisogo.
π