Hiyo ipo tayari. Tena ya kisasa na siyo hiyo "amateur star gazer", "uliyoionesha. Iliyopo ni " latest highly professional moon sighter".
Kinachitakiwa ni hizi ihtilafu ziwafanye watu wasome siyo wabweteke.
Dini imeelemewa na SayansiImani vs Sayansi.
Usajili: Imani kumsajili mchezaji wa sayansi aitwaye darubini.
Apimwe MkojoSwali, Je ni jukumu la Serikali kufanya masuala ya dini?
===
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amekemea ufisadi, akihimiza jamii kulinda maadili, umoja na mshikamano, huku akiwaomba viongozi wa Serikali na wadau kusaidia upatikanaji wa darubini ya kukusanya taarifa za mwandamo wa mwezi ili kumarisha uhakika wa taarifa.
Mwezi mtukufu wa Ramadhani ni kipindi ambacho waumini wa Kislamu duniani hufunga kwa siku 30 kabla ya kusherehekea siku hiyo kupitia taarifa rasmi va mwandamo wa mwezi huo.
Hata hivyo, kabla ya kusherehekea, kifaa hicho (moon sighting machine) ndio hutumika kupata uhakika wa mwandamo wa mwezi huo kimani ili kuondoa utata au mabishano miongoni mwa waumini hao.
Sheikh Zubeir amesema hayo leo Jumanne Aprili 22, 2023 katika swala ya Eid EI- Fitr iliyofanyika kitaifa katika msikiti wa Mfalme Mohamed VI uliopo Wilaya ya Kinondoni, jijini hapa, ikihudhuriwa na Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, mabalozi, mawaziri na watu mashuhuri.
Chanzo: Mwananchi
Ni kawaida kwa waislam kutaka mambo yao ya dini kuwa sheria za nchi. Umesahau hijab?Swali, Je ni jukumu la Serikali kufanya masuala ya dini?
===
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amekemea ufisadi, akihimiza jamii kulinda maadili, umoja na mshikamano, huku akiwaomba viongozi wa Serikali na wadau kusaidia upatikanaji wa darubini ya kukusanya taarifa za mwandamo wa mwezi ili kumarisha uhakika wa taarifa.
Mwezi mtukufu wa Ramadhani ni kipindi ambacho waumini wa Kislamu duniani hufunga kwa siku 30 kabla ya kusherehekea siku hiyo kupitia taarifa rasmi va mwandamo wa mwezi huo.
Hata hivyo, kabla ya kusherehekea, kifaa hicho (moon sighting machine) ndio hutumika kupata uhakika wa mwandamo wa mwezi huo kimani ili kuondoa utata au mabishano miongoni mwa waumini hao.
Sheikh Zubeir amesema hayo leo Jumanne Aprili 22, 2023 katika swala ya Eid EI- Fitr iliyofanyika kitaifa katika msikiti wa Mfalme Mohamed VI uliopo Wilaya ya Kinondoni, jijini hapa, ikihudhuriwa na Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, mabalozi, mawaziri na watu mashuhuri.
Chanzo: Mwananchi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
No wei auti
US Dollar 2450Kinauzwa shillingi ngapi hicho kifaa?
πππ Zana ya mkekani!
Waulizwe MwananchiNAKUU
HAPA MSIKITINI WAMEKUJA WATU WENGI LEO, MATAJIRI NA WATU WENGINE(VIONGOZI WA SERIKALI) NASHAURI TUCHANGISHANE TUNANUNUA DARUBINI KAMA WEZETU WA KENYA, ETHIOPIA NK
JIULIZE WAPI KASEMA SERIKALI INUNUE DARUBINI
HALAFU KUNA WATU WANACHANGIA MADA VITU WASIVOVIJUA
TANZANIA NI NCHI YA WAJINGA WENGI KULIKO WANAOJIELEWA
JAMII FORUM ISHAKUA KAMA FACEBOOK HAKUNA WATU WA KUREASON SIKU HIZI
WAPO WAPARAMIA MADA KAMA WOTE VILE
NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK
UJINGA MZIGO KWA TAIFA
KATAA UJINGA
UJINGA NI UTUMWA
UJINGA NI UMASKINI
UJINGA NI LAANA
UJINGA NI AIBU
Wamwombe bwana Mudi Boss wa Msimbazi chap hapo[emoji3]Yaani kweli BAKWATA wanashindwa kununua hii telescope hadi waombe msaada wa serikali? Mbona wanamapato makubwa sana na waumini wenye kujiweza.
Kumbe hawakuwa na Chombo. Ndo maana walikuwa wanapuyanga tuSwali, Je ni jukumu la Serikali kufanya masuala ya dini?
Pili,Kuomba Serikali ifanye sio vibaya maana ni ombi.
===
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amekemea ufisadi, akihimiza jamii kulinda maadili, umoja na mshikamano, huku akiwaomba viongozi wa Serikali na wadau kusaidia upatikanaji wa darubini ya kukusanya taarifa za mwandamo wa mwezi ili kumarisha uhakika wa taarifa.
Mwezi mtukufu wa Ramadhani ni kipindi ambacho waumini wa Kislamu duniani hufunga kwa siku 30 kabla ya kusherehekea siku hiyo kupitia taarifa rasmi va mwandamo wa mwezi huo.
Hata hivyo, kabla ya kusherehekea, kifaa hicho (moon sighting machine) ndio hutumika kupata uhakika wa mwandamo wa mwezi huo kimani ili kuondoa utata au mabishano miongoni mwa waumini hao.
Sheikh Zubeir amesema hayo leo Jumanne Aprili 22, 2023 katika swala ya Eid EI- Fitr iliyofanyika kitaifa katika msikiti wa Mfalme Mohamed VI uliopo Wilaya ya Kinondoni, jijini hapa, ikihudhuriwa na Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, mabalozi, mawaziri na watu mashuhuri.
Chanzo: Mwananchi
Ilm ndio nini?Mbona hiyo ipo tayari, Zanzibar walipewa zawadi.
Utata haupo kwenye kuuona mwezi pekee, Utata pia upo ni wapi umeonekana.
Hii ihtilafu ni heri iachwe kama ilivyo, inaongeza ilm.
Mufti anaomba msaada wa serikali tufanye hima tuchangishe pesa kusaidia hili.Hiyo ipo tayari. Tena ya kisasa na siyo hiyo "amateur star gazer", "uliyoionesha. Iliyopo ni " latest highly professional moon sighter".
Kinachitakiwa ni hizi ihtilafu ziwafanye watu wasome siyo wabweteke.
Zanzibar kumbe walipewa sasa na Mufti anaomba msaada huku bara mpewe tena yakhe.Mbona hiyo ipo tayari, Zanzibar walipewa zawadi.
Utata haupo kwenye kuuona mwezi pekee, Utata pia upo ni wapi umeonekana.
Hii ihtilafu ni heri iachwe kama ilivyo, inaongeza ilm.
Mimi sio muislam na nina maisha ya Usafi wa kiroho na matendo. Punguza kukaririMaisha ya Usafi wa kiroho na matendo