Ile ilikuwa balaa, , mzee ruksa sijui aliwaza nini, nakumbuka nikiwa nasoma kuna wiki zilikatika siku nne za kazi zote hatuendi shule kwa ajili ya utaratibu ule ,yani kama tupo mid term leave .Ombeni ule utaratibu wa kufidia sikukuu zinazoangukia weekend urudi kama enzi ya Mzee Rukhsa.
kwa hiyo na TEC, CPTC na CCT nao wawe wanaombaomba kusaidiwa mambo yao? Why always BAKWATA kuombaomba/kutaka serikali iwafanyie mambo fulani ya dini yao wakati wanafahamu katiba ya nchi inatamka nini kuhusu dini na serikali?Ila ameiomba serikali, sio kitu kibaya, serikal inaweza kukubali ombi lake au kukataaa...
Sion sabbu ya kukemea, au kumkosoa mufti... Kwa sabbu sio kila unachoomba lazima upate
Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
wajitafutie wenyewe, kuna taasisi nyingi nazo zikianza kuombaomba bora serikali iunde wizara ya kushughulikia mambo ya dini, na huko itakuwa imevunja katiba ya nchiKauli sahihi ingelikuwa serikali iwatafutie wafadhili wa kuwapatia hicho kifaa kama walivyowapatia wafadhili wa kujenga huo msikiti. Wapo tele... wasiombe tende na nyama tuu
Mna amini nyie wengi? Mbona sensa ya 2012 mkagomea kisa ilitaka kujua wingi wenu?Mbona inasemekana lazima mwezi uonwe na macho makavu siyo mashine, by the way tukiamua kuchangishana wenyewe kwa wingi wetu hatuwezi kununua cha kwetu badala ya serikali
zikitengwaje? mbona hueleweki, na kwanini niumie na pesa ya private person? tunaongelea pesa ya public, kodi za wakristo na waislam kwenda kununua kitu cha dini moja. vipi kuhusu ile nyingine? mbona liko wazi tu?Zikitengwa pesa zilizolipwa na hao top 10 vipi utakua happy?
Hata satanisim ni dini maarufu piaUisilamu ni dini maarufu sana kila mtu hapa jf lazima autangaze kwa njia 1 au nyingine
Hata usipo onekana kawaida kufunga ni siku 30 uone Kane usionekane mkifunga 30 lazima Eid japo hutokea pia kufunga 29 kutokana na muandamo wa mweziHivi jana ulioonekana
HILI LIFAHAMIKE KWANZA.Sijajua kama mmeishataja bei ya hicho kifaa.
Kama bado, je hicho kifaa kinauzwa bei gani ili tuone kama ni pesa ndefu mpaka kununuliwa na serikali au waumini wachache tu wanaweza kujichanga na kukinunua!
Kubali kuwa chini ya mfumo kristo , na ukae kwa kutuliaUisilamu ni dini maarufu sana kila mtu hapa jf lazima autangaze kwa njia 1 au nyingine