Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,677
- 18,561
Kwa hiyo unaposema kila kiumbe kimeumbwa kutokana na maji Koran ilikosea ?Asili ya moto kua ni maji unatokana na kwamba unatengenezwa na mwaanadam ambae asili yake ni maji ila sio kama moto wenyewe umeumbwa kwa maji
Mwalimu Nyerere alikuwa Rais. Ile fimbo yake ilikuwa ya chuma?Tafsir ni za wanazuoni wenu, atakama alikuwa kakaa , iliwezakananye wafanyakazi wote jeshi lake lote ,wake watoto wamuone amekaa mwaka mzima haongei
Je alikuwa kafumba macho au alikuwa amefumbua?
Na hi ikulu yake ilikuwa chini ni udongo mpaka mchwa wale fimbo yake
Na kwa Nini mfalme mzima awena fimbo ya miti?
Ilikuwa ya mti, kwa hiyo na sulemani muislamu alikuwa na fimbo ya miti?Mwalimu Nyerere alikuwa Rais. Ile fimbo yake ilikuwa ya chuma?
Kipindi alichokuwepo ni kipindi Cha ujinga watu wa maka hawakuwa na elimu yoyote uelewe hilo.Huhitaji kujua kusoma na kuandika kusimulia hadithi za kidini zilizopita na kubumba mpya za kwako kutokana na hadithi zilizopita.
Hata hivyo kuna mjadala kuhusu kama kweli Muhammad alikuwa hajui kusoma na kuandika.
We mzee, hapa point ninayotaka kukupa ni kukuonyesha vile Aya zinapingana kuhusu kwa nini Allah wenu hana mwana. Nipe Aya moja ambayo inaonyesha sababu ya Mungu wenu kutokuwa na mwana.Sababu zipo nyingi alizozileta si nimekutajia hapo juu
Ila nitakujibu kwasababu ni kejeli kwa utukufu wake
Hehehe mokitiiiiiiiKwanini alisema hawezi kuwa nawana kwa sababu hana mke? Wakati anajijua hana jinsia
Kwa Nini hakusema Sina mtoto kwasababu Sina mume ?
Na kuna aya nyingine kasema akitaka mke atachukua malaika au huri, na unajua kabisa ma huri ni wanawake wenye macho makubwa na wapo kama jelly fish
Na ma huri ni Moja ya zawadi Allah atawapa wanaume waislamu.
Hehehe kijana bado nakukumbusha huwezi kukichallenge kitabu kitukufu jamaaaWewe umesema hakuwa na watu alikuwa na majini tu , utubie alikuwa nao wapi? Na binadamu wengine aliwaacha wapi?
DaaahKwa hiyo unaposema kila kiumbe kimeumbwa kutokana na maji Koran ilikosea ?
Maana kuna viumbe vimeumbwa kwa moto kwa mujibu wa Koran hiyo hiyo
Na unaposema moto asili yake maji maana umetengenezwa na mwanadamu , je unataka kutuambia wakati majini yanaumbwa mwanadamu alikuwepo akatengeneza moto? Ndipo Allah akatumia moto?
Sababu zipo nyingi zaidi ya sana kijana na nilikupaWe mzee, hapa point ninayotaka kukupa ni kukuonyesha vile Aya zinapingana kuhusu kwa nini Allah wenu hana mwana. Nipe Aya moja ambayo inaonyesha sababu ya Mungu wenu kutokuwa na mwana.
Unasema umeitaja; ni wapi umeitaja mbona sijaona?
_19:90-91 hakuna sababu hapo ya Allah kutokuwa na mwana ila imeeleza Hali inayotokea baada ya kusema ana mwanaSababu zipo nyingi zaidi ya sana kijana na nilikupa
6:101
112
19:90-91
Ila hizo hapo Sababu kadhaa
Mwalimu wako alipata shida sana asee 🙌🏿🙌🏿🙌🏿_19:90-91 hakuna sababu hapo ya Allah kutokuwa na mwana ila imeeleza Hali inayotokea baada ya kusema ana mwana
_112, hii hujaiweka vizuri, kwa hiyo haieleweki umelenga nini.
_6:101
"Yeye ndiye Muumbaji wa mbingu na ardhi bila ya ruwaza. Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke? Naye ndiye aliye umba kila kitu. Naye ni Mwenye kujua kila kitu."
Hapa sasa ndo tuijadili hii maana ndo imeweka sababu. Sababu aliyoitoa Allah wenu hapa ni kwamba hana mke ndio maana hana mwana.
Kulingana na hii Aya inaonyesha kuwa Allah hana kabisa uwezo wa kupata mwana hadi awe na mke kwanza, anashindwa hata na Mariam aliweza kupata mtoto bila mume.
Sasa chukua hii 39:4
Allah hapa anasema anaweza kupata mwana hata bila mke. Anateua tu mmoja wa waja wake anamfanya anakuwa mwanae. Hiyo ni sawa na Biblia ambapo Yehova aliamua tu kumteua Yesu na kuwa mwanaye bila kuwa na mke.
Kwa hiyo sasa Aya 6:101 inasema Allah hawezi kuwa na mtoto bila mke, Aya 39:4 inasema Allah anaweza kuwa na mtoto hata bila mke.
Umeona kupingana hapo?
Hujataka kusoma historia ya maisha ya Mtume Muhammad kutokana na kiburi chako tu na hii ndio sababu ya watu wengi watakaingia motoni. Bado una chance ya kuutafuta ukweli na kuujua before it is too late.Bro. Hujui hata huo uislam wenyewe.
kwasababu hiyo Quran unayoisema imecopy visa ambavyo viko kwa Biblia.
Mitume 19 wa Biblia.
Hakuna muujiza wowote wa Huyo jamaa yenu.
Ni normal tu guy. Ndio maana wajanja hawawez babaika nae.
Ila kama akili zikiwa finyu utamuamini.
Ukiachana na moto unajua nini kingine majini waliumbiwa?Kwa hiyo unaposema kila kiumbe kimeumbwa kutokana na maji Koran ilikosea ?
Maana kuna viumbe vimeumbwa kwa moto kwa mujibu wa Koran hiyo hiyo
Na unaposema moto asili yake maji maana umetengenezwa na mwanadamu , je unataka kutuambia wakati majini yanaumbwa mwanadamu alikuwepo akatengeneza moto? Ndipo Allah akatumia moto?
Kwa hiyo Allah alikuwa bize kujibizana na wanadamu?Hehehe mokitiiiiiii
Ndio maana kule juu tulikuelewesha na kukueleza kua haiwezekani kukichallenge hicho kitabu ni mukiache tu na immanent muamue kukifuata kwa kukiamini ama kukikhalifu kwa ubishi wenu na kubisha tu
Alisema hana mwana kuna sababu zilizopelekea aya hio kushuka wakati wa aya hio kuna mayahudi walikua wanasema kwamba s w ana mtoto ama amezaa ndio ikashuka sura hizi hapa
43:19
16:57
9:30
5:17
112
Qur’an
Hizo aya hapo zimeelezea sifa za Allah kuhusiana na kua na mwana (kwamba hana) na nyengine zimeelezea watu wa makka kipindi hiko walivyokua wanasema s w ana mtoto
Kiufupi hizo aya zilishuka kama majibu kwa waliodai kwamba Allah s w ana mtoto wala sii zaidi
Na hio aya ya malaika ndio kama hizo za hapo juu hakusema kama atachukua malaika ili aware bali alikua akiwajibu walosema kama allah ana wajibu makafiri baada ya kusema kua malaika walikua ni wake zake
Kwahio hoja sio Allah bali ni makafiri ndio walianza kusema kwamba Allah ana wake ambao ni malaika hio aya ikaja kama majibu kwao
Bado hujaisoma Qur’an vyema kijana nenda ukadodose dodose ili uje upya
Usisahau kila unapotafuta aya kabla ya kuja huku muulize hata Ai atakusaidia muulize kwanini ilishuka aya hio
Unaweza ukajifunza mambo na kuacha kuja kujidhalilisha huku kwa usio yajua
Ni wapi Allah alisema kaumba moto kutokana na maji ?Daaah
Mwalimu wako alipata shida sana sana zaidi ya sana
Kitu pekee kilichokuepo kabla ya kila kitu kilikua ni maji
Na kupitia haya Mahi ndio vikatokea kila kitu
Mfano karatasi inatoka na mti na mti unatokana na mbegu kwahio hapa ulitengeneza simu ikatokana na karatasi bado itakua simu imetokana na mbegu sababu mbegu ndio ilizalisha mti mti ukatoa mbao mbao ilitumikua kutengeneza karatasi karatasi ilotumika kutengeneza simu ila chimbuko la vyote vilivyopita hapa mpaka kuja kupatikana simu ilikua ni mbegu
Kwa mujibu wa maelezo yako haya, umethibitisha Allah ni mwanaume39:4 nayo Allah anawaambia makafiri kwamba anajitosheleza na kama angekua anashida na mke na mtoto angeweza kua nao
Kwani moto ni hai?Ni wapi Allah alisema kaumba moto kutokana na maji ?
Thibisha moto uliowaumba ulitokana na majiUkiachana na moto unajua nini kingine majini waliumbiwa?