TANZIA Muigizaji wa Bongo Movie, Carina afariki dunia akipatiwa matibabu nchini India

Wakati mwingine waleta habari hukosea sana kuleta habari za kina za watu kana kwamba tunawajua wote
 
Dah aise

Ova
 
Kipindi Kile wimbo wa Bob junior oyoyo ndio alikuwa video queen daah nilikuwa namtaman saaaana.

Na ule wimbo wa Mwana FA ft Hardmadi ft Ay dakika moja daah alikuwa Pini Sana marehemu.
 
daah mnanitisha.nina umwa tumbo mwaka sasa.kwenye kitovu yaani ni maumivu ambayo yanauma alafu yanapoa.operesheni ndo kitu sitaki kusikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…