TANZIA Muigizaji wa Bongo Movie, Carina afariki dunia akipatiwa matibabu nchini India

Huyu binti kila nikiangalia interview zake youtube akiongelea ugonjwa wake, naskia uchungu sana ushirikina unavyoumiza watu. Apumzike kwa amani.
 
Huyu binti kila nikiangalia interview zake youtube akiongelea ugonjwa wake, naskia uchungu sana ushirikina unavyoumiza watu. Apumzike kwa amani.
Kwahiyo na hao wanaoumwa the same ugonjwa akiowakuta India na wao ni ushirikina ?.
 
Bahati mbaya uchawi hauna ushahidi ila sali sana na uombee yasikukute. Mungu atuweke mbali na michezo yeyote ya ushirikina.

Ushirikina upo Ila unapoumwa tafuta matibabu kwa njia za kitaalamu .

Ikiwa Carina amekaa na tatizo miaka nane linamsumbua .

Unafikiri ukubwa wa tatizo utakuwa wa aina gani?

Tusiamini Sana haya mambo ya ushirikina kiasi cha kushindwa kutumia akili zetu vizuri .

Mwaka 2006 tulimpoteza MTU wetu wa karibu kwa mambo Kama haya anaumwa anakataa kwenda hosptali akidai amerogwa.


Mwingine alikuwa uncle wangu alikuwa bandarini aliumwa akasema karogwa akaja kwenda hosptalini too late akawa ameshapooza miguu.

Sisi katika dini yetu ya kiisalamu kuna kitu kinaitwa Qadari kuwa mwenye Mungu anatukadilia na kutupa mitihani tunayoweza kuibeba


Pia kuna AYA ktk quruan inasema ",God doesn't burden any soul more than it can bear" kuwa mwenyezi Mungu ambebeshi MTU Mzigo kinyume na uwezo wake.


Tumtegemee Mungu anatosha
 
Huyu dada kwa hakika ameteseka sana! Kama ni mtu alimpa adhabu basi mtu huyo anaroho mbaya kuliko kiumbe yeyote duniani.
Don't judge kijana, don't. Take the lesson kwamba usipende kugombana na watu ambao huwajui. People are very cruel in this universe and you don't really know what they are capable of. The best you can do is be humble and calm.
 
Don't judge kijana, don't. Take the lesson kwamba usipende kugombana na watu ambao huwajui. People are very cruel in this universe and you don't really know what they are capable of. The best you can do is be humble and calm.
💯💯
 
Nyie vijana wa siku hizi wabishi sana. Haya mambo hukatazwi kwenda hospitali ila inabidi uangalie response ya treatment options zako, Dunia ishakuwa ya hovyo hii, imejaa watu wasio na utu hata kidogo. Qadr zipo ila jifunzeni kujipambania. Huyo dada bila hata kupepesa macho, kapitia aliyoyapitia sababu ya ushirikina.
 
Kweli kabisa.
Ukiona umehangaika hosp. bila mafanikio ,jaribu na options nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…