Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

Kweli kabisa mana kama hapo wameshawapa ugumu watoto kwani mama kafa baba anaenda jela.

Sesten Zakazaka hii ni hatari.
 
Sawa Malaika. Sasa kachukue hao watoto yatima ulee.
 
Mtani! Usione watu wanaua hamjui nini kipo ndani yake, kunakua hakuna cha kupoteza tena.
Ukifanya utafiti utagundua miongoni mwa kesi nyepesi ni kesi za mauaji hasa mauaji yanyisababishwa na wivu wa mapenzi

Mara nyingi waliotekeleza mauaji ama wanaachiwa au wanapewa adhabu ndogo tu ikiwemo vifungo vya miaka michache tu gerezani.

Kesi hua zinabadilishwa kutoka murder na kua mauaji ya bila kukusudia ambayo adhabu yake ni utashi wa Jaji. Inaweza kua kifungo cha nje au hata kumuachia kabisa mkosaji au miaka michache gerezani au hata maisha. Utashi wa Jaji

Kuna jamaa miaka ya nyuma alimfumania mkewe akamuua. Mahakamani alishinda kesi

Akaenda akaoa tena na mke huyo wa mara ya pili akamfumania tena na pia akaamuua na kesi kashinda tena! Yupo uraiani!!

Pamoja na yote haihalalishi kuitoa roho ya mtu ajili ya mapenzi awe amekusaliti au kafanyaje sijui. Ondoka au aondoke katika mahusiano. Basi
 
Hapo ukifuatilia sana unakuta hata ndugu wa mwanamke walikuwa wanamuunga mkono huyo dada katika huo mchakato wa talaka na umiliki wa Mali.
Lkn aliyedungwa risasi ni yeye na hao wapambe kawaacha wanaliona jua
Hivi huo mstari wa mwisho umepigaje hapo... unajua umepiga kwa dharau sana πŸ˜…πŸ€£πŸ˜‚
 
Kwa hizi siku mbili tatu wanawake wamekua na ka- discipline flan hivi.. wakitaka wanyenyue mdomo wanakumbuka mapigo ya jamaa.
 
Duh Aisee
 
Kweli kabisa mana kama hapo wameshawapa ugumu watoto kwani mama kafa baba anaenda jela.

Sesten Zakazaka hii ni hatari.
Ndiyo mwanzo wa watoto kuanza kutangatanga katika malezi, leo anakuwa kwa bibi, kesho kwa uncle, wiki ijayo kwa Mama mdogo

Na hata kama wazazi waliacha Mali, na watoto kusoma English medium school, watarudishwa shule za kayumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…