Mwanafunzi mtoro
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 222
- 806
Pumbav zakoWanaume tafuteni pesa, pesa ya mwanamke ni yake, ila ya mume ni yenu.
Kwahiyo mime hana mamlaka ku control kipato chake ila kanisa inayo mamlaka sindio?Mkuu we ndio baba mchungaji nini
Ni sahihi inabidi kama unafanya kazi maana yake unatumia muda wa familia na kama unatumia muda wa familia lazima uutumie kwa faida ya familia ambayo ndio taasisi yako yenye uongozi wa mume.Naona wanawake mnakomaa,lakini undani wa maisha yao hamuufahamu. Kama mwanamke hataki fedha zake zihudumie familia aache kazi. Lakini kutoka asubuhi kwenda kupoteza muda huna unachochangia ni upimbi. Aache kazi ili pesa yake isitumike.
Maisha ni kusaidiana sio ujinga huo unao sapotiMadhara ya kuowa mke ili akusaidie maisha,hili ni tatizo kubwa vijana amkeni maisha ya hivyo sayari hii hayapo shauri zenu msije sema hamkuambiwa.
We naye mpumbavu tu.Hela ni za wote maana ndo familia moja.Ule za kwangu za kwako umpelekee mtume huku masuala ya maisha ni ya wote.Sijui mnachangia huku mmeshika K Vank hata sijui.Mama abakie hapo hapo.
Anaitaka ATM aisee
Mwanamke kweli umkabidhi mime ATM? That is too much
Wanawake vizuri kuomba Mungu kutopata kidume kilofa kama hicho hopeless kabisa kiofisa magereza
Kinadhalilisha jeshi la magereza wanawake wenye kazi zao watakatakaa kuolewa na Askari magereza kuwa watawapokonya ATM
We kichwa maji hujitambui,siku ukijitambua utajutia Sana haya unayo andika hapaHuyo mwanaume anataka pesa ya mwanamke tu
Uanaume sio kuvaa suruali na dude kama bunduki katikati ya suruali
Ni uwezo wa kuhudumia familia bila kuelekea ku force ohh nipe kadi ya benki na ATM na namba ya Siri
Watetezi wanasheria wa haki za wanawake na NGo tetea haki za wanawake siku hiyo kesi iliyotajwa jazaneni hasa kuonyesha solidarity na huyo mama.Maafisa balozi wa nje pia wawepo wa dawati la balozi wa jinsia
Mfumo dume unahitaji kusomeshwa
Hakimu na wewe kakamaa mwanamke mwenzio huyo .Toa hukumu ya kihistoria ambayo ita trend dunia nzima ili mwanaume yeyote Mwenye tabia kama hiyo asije tokea
Ujinga!! Hakina ndoa hapo. Wanawake tamaa zitatuisha lini??!!Wanaume tafuteni pesa, pesa ya mwanamke ni yake, ila ya mume ni yenu.
Acheni ubinafsi pesa yako pesa yangu Kama hutaki tuachane tu kiroho safi ,kuliko kuoa na mwanamke mzigo wa nn Sasa.Huyo sio mwanaume[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Wewe unataka kulelewa na mwanamke kipato huna unataka mwanamke akutunze na kipato chake bwege wewemathalani take home ya bi dada ni 520000 TSHS.
10% ya church 520000, tena makanisa mengine wanataka 10 ya basic salary na sio take home.
Mchango wa akina mama 10000 TSHS
Mchango wa vijana 10000 TSHS
jumapili ziko 4-5 ndani ya mwezi ambapo kila jumapili atatoa 10000 kama sadaka
jumla 40000-50000.
Sadaka ya kufunguliwa ..........
Sadaka ya kukomboa uzao wake wa kwanza .......
Sadaka ya kujimaliza........
Jumla kuu ndani ya mwezi inafika 300000 TSHS.
Hiyo laki mbili anunue viatu vya kanisani, mikoba na amtumie mama yake unadhani atabakiwa na nini?
Afande piga chini huyo mwanamke wa hovyo
Sio mshahara tu, Na mbususu anampaIla inauma zaid. Yan uoe ww, umlishe, uvalishe, alale kwako alafu mshahara ampe mchungaji tena akiwa mchungaji mwanaume ndio inachoma had miguu
Mwanaume ndio anatakiwa abebe mizigo yote hata Biblia inasema mwanamke ni.msaidizi tu sio major playerMaisha ni kusaidiana sio ujinga huo unao sapoti
Kuna mambo mkeo akiyaanza unapaswa kujua huna mke tena Moja ya jambo Hilo ni kumuamini nabii/mchungaji.Hivi hizi pesa wanawake tunazotafuta kama haziwezi kusaidia familia zetu ni za nini sasa[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Na hawa wachungaji jamani sijui ni madawa au ni kitu gani!! Wamewashika watu ufahamu hawasikii wala hawaambiliki.
Sure ,umenena ukweli,tuna jamii yakipumbavu sana.Mzigo wote wa familia anakutwisha mwanaume wakati na yeye anakazi na mshahara .Hata wanamsapoti huyo mama wajinga tu hawajitambui kabisa.Kweli kuna wanaume viazi yani wewe na Mke mfanye kazi halafu useme hela ya Mkeo atumie anavyotaka huku wote MNA watoto wana wategemea.
Ndio maana Wazungu wanatuzidi.
Jamaa hajui kuwa jukumu la kuhudumia familia ni la mwanaume hata kama mwanamke ana kipato. Shida jamaa alioa mfanyakazi ili apate ahueni ya maisha sasa imekula kwake na wakiachana watoto bado atawahudumia na mtoto.