Mume na Baba wa familia anahitajika

Ahsante kwa kuleta utani kwenye jambo serious
 
Singano jr mlete hamza hapa anahitajika
 
Njoo PM. Ili tupange tuonane mimi mwenyewe natafuta mke anyway
 
Mimi ni la saba ila ninayo pesa na nimebahatika kuajiri graduate wailing kwenye mradi wangu wa shule,nina watoto ila mama yao alishatangulia mbele za haki,nilitamani kupata mwenza,nahisi unaweza kunifaa pia ila kwenye kigezo chako cha Elimu naona sitafaa tena.
Mimi ni mrefu,mweusi,toka kanda ya ziwa,ila makazi nipo Iringa,mjasialiamali na mchangiaji mzuri wa kodi za serikali,miaka 45,ni baba makini kwani nina uzoefu.Ikikubidi naomba nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…