Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,827
- 1,655
Una umri wa miaka mingapi kwanza?Helloww
Naomba ushauri mume wa dada kaniambia nioe nikioa nikakae na mkeo nyumban kwake uko arista kuhusu kula kila kitu atashughulikia yeye je nioe au nikatae
NakaziaUtoto raha sana
Nguvu zipo ukitaka kuziona njooHivi hii mitoto yenu ya kiume mbailisha nini siku hizi🙆🙆🙆
Haina nguvu wala akili.
Dah kwahiyo wewe uwez msaidia shemeji yako kipato?Inapoelekea na wewe utaliwa kwa tamaa zako
Nini 11Una umri wa miaka mingapi kwanza?
Za kuambiwa changanya na za kwako
Helloww
Naomba ushauri mume wa dada kaniambia nioe nikioa nikakae na mkeo nyumban kwake uko arista kuhusu kula kila kitu atashughulikia yeye je nioe au nikatae
Shemeji yako ameona una umri mkubwa na utazeeka bila mke, pili anataka kukuoa wewe, dada ako pamoja na mke wako mtarajiwa wote muwe mke walenyewe.Helloww
Naomba ushauri mume wa dada kaniambia nioe nikioa nikakae na mkeo nyumban kwake uko arista kuhusu kula kila kitu atashughulikia yeye je nioe au nikatae
Siku niwe mama yako tu ndiyo utaniheshimu tuKikongwe wa jf😘😘
Sawa kaka nimelichukuaNimesoma UZI wote nikasoma comment za wadau nikasoma majibu ya muomba ushauri kupitia comment za watu nimebaini mambo kadhaa
1. Huyu ndugu kuna asilimia 87% hii issue siyo ya kweli ila tu anataka uzi uende na tuchat chat hapa.
2. Asilimia 13% zilizobakia kama ni za kweli basi ndugu huyu amesharidhia jambo hilo na ameshafanya maamuzi, kwa kuwa ushauri unaotolewa kumuunga hoja ndiyo anaoona huo ni sahihi, ila wa kumpinga na yeye anataka kukuhoji kwa nini umeshauri hivo.
3. Kama ni kweli na hajafanya uamuzi toeni ushauri kwa kujuwa tunadeal na mtu wa level gani na uwezo wake wa kufikiri ni wa chini sana.
Kuna sehemu amesema mama yake mkubwa alimwambia aende kuishi kwake coz bado mdogo.
Kwa hiyo anatoka kwa mama mkubwa anakwenda kwa shemeji na mke wake, na mke aliyeolewa kwa ushauri wa shemeji mtu.
USHAURI WANGU TU KWAKE AFANYE LILE ANALOONA KWAKE NI RAHISI NA LITAMPA FURAHA, MAANA HAPA DUNIAN TUNATAFUTA FURAHA KWA KILA JAMBO.
Upo kwenye akili yangu weweNi either:
1. Ni mwendawazimu.
2. Ana deal muhimu sana na wewe.
3. Anataka akutoe kafara....
4. Ni commedian, anakutania.
Haliwezi kuwa swala la Upendo.
SawaShemeji yako ameona una umri mkubwa na utazeeka bila mke, pili anataka kukuoa wewe, dada ako pamoja na mke wako mtarajiwa wote muwe mke walenyewe.
Ahahahahahahha dah nimechekaSiku niwe mama yako tu ndiyo utaniheshimu tu
Mimi naongea ukweli mnasema chaiDogo punguza chai🤣
Unajua maana ya kuoa??Mimi naongea ukweli mnasema chai
Ndio kuishi na mke ndaniUnajua maana ya kuoa??
Usikaze fuvuUNATUONAJEE WEE JAMAAA..??? unakatwaaa
Sio kuishi tu bali kumtunza na kumhudumia mke pia😅Ndio kuishi na mke ndani