FabNXTzqEtcgazfbjjfo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 1,486
- 1,874
- Thread starter
-
- #301
Umeona jinsi gani tumevurugwa ndugu yangu. Kumbuka Mungu kwenye biblia alisema amemfanya Adam kwa mfano wake. Ila Mtoto wake wa pekee ni Yesu. Yaani mtoto wa pekee angetakiwa kuwa Adam maana ndio kamuumba kwa mfano wakeAdam hana wazazi, ni udongo uliopuliziwa pumzi. Yesu ndo mtoto wa maajabu anaye mama na baba wa kufikirika.
God sent himself to be A child of himself. [emoji16]Why did god have to send himself down to earth to become his own son to sacrifice himself to himself just to convince himself to forgive us?
Adam hana wazazi, ni udongo uliopuliziwa pumzi. Yesu ndo mtoto wa maajabu anaye mama na baba wa kufikirika.
Yesu kasema au mwandishi ndio kasema,? na kama Yesu ndie kasema hayo Ww kwa nini unamwita Mungu. Au ni Mungu mdogo?Kumbukeni nilivyowambia nitakwenda na nitarudi, kama kweli mnanipenda mngefurahi na kushangilia maana nakwenda kwa baba: na baba yangu ni mkuu kuliko mimi°
Yesu anasema Mungu ni Mkuu kuliko yeye.
Kwasababu wao ni dini zao haina shida kwaoKwa nini unaingiza suala la Waafrika wakati huko Ulaya, Marekani na Asia kumejaa dini ya Ukristo na nyingine nyingi!
Mungu anazaa na alimzaa yesu kabla ya chochote kuwepo, Yesu ndio MWANZO. Adam aliumbwa, hakuzaliwa.Kwahiyo Mungu kazaa ndugu yangu maana Tunajua Tulio na Watoto ni Sisi Viumbe wake. Na Je Adam ni Mtoto wa Nani kulingana na Maandiko maana Kama Yesu ni mwanae wa Pekee Adam hana Wazazi
Kabla ya Yesu kuja duniani, Mungu alikuwa anazungumza moja kwa moja na mwanadamu, baada ya kuja Yesu Mungu na mwanadamu wanazungumza kupitia Yesu Kristo.Aisee kila mtu atabeba mzigo.wake msijidanganye kabisaaa ety kafa kwa ajili.ya dhambi zetu
Yni uue,uzini,uibe hlf useme kuna mtu kashanitubia dhambi zangu its non sense
Sasa mbona mnaenda makanisani ili msamehewe dhambi zenu? Na ubaya zaidi ety Pastor au Padri ndie anaesamehe dhambi wakati yy hpo anamichepuko kibao
kusema ukweli wakristo jitafakarini bhna mumeingizwa chaka na iyo imani yenu
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu. Yesu alisoma torati iliyoandikwa na manabii kama Isaya, kwa hiyo jibu kwa swali lako ni NDIYOYesu amesoma biblia au alishushiwa injili?
Mungu anazaa na alimzaa yesu kabla ya chochote kuwepo, Yesu ndio MWANZO. Adam aliumbwa, hakuzaliwa.
Nikupe siri moja ambayo huijui kwamba Yesu alishiriki uumbaji wa Adam.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Sijaelewa hapa Unalenga nini Ndugu
Unatakiwa kujiuliza pia kwanini alikataliwa na Wanadamu. Mungu anaweza Kutuma Kitu halafu wewe ukakikataa kwa Akili ya Kawaida!? Halafu unamsifia Kwamba hakuna linaloshindikana kwake
Usimpambe pambe Tu. Mzaliwa wa Kwanza Wa Viumbe wakati hapo hapo mnasema ni Mungu. Mungu anakuwaj tena kiumbe
Umeona jinsi gani tumevurugwa ndugu yangu. Kumbuka Mungu kwenye biblia alisema amemfanya Adam kwa mfano wake. Ila Mtoto wake wa pekee ni Yesu. Yaani mtoto wa pekee angetakiwa kuwa Adam maana ndio kamuumba kwa mfano wake
vizuri sanaWakolosai : 1 : 15 - naye ni mfano wa Mungu asiyeonekana, mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote.
Wakolosai : 1 : 16 - Kwa kuwa katika yeye vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na vilivyo juu ya nchi, vinavyoonekana na visivyoonekana; ikiwa ni vitu vya enzi, au usultani, au enzi, au mamlaka; vitu vyote viliumbwa kwa njia yake, na kwa ajili yake.
Tabia yako naijua vizuri , unataka andiko ukilitewa unaanza thibitisha kama Luka amemuona Yesu , Kuna kipindi nilikuuliza hafs alimuona muhammad , na Pia niikuuliza Muhammad alimuona Issa? kama hakuwahi kuwaona habari alizitoa wapi?Kijana naona unaendeleza tabia yako ya kukimbia maswali. Swali nililo anza nalo ni kuwa wapi Yesu alisema yeye ni mwana wa mungu au yeye ni Mungu.
Mkanukuu andiko toka kwa Luka, nikawataka mthibitishe huyo Luka amewahi kumuona Yesu kama hajamuona hayo maneno ameyapata wapi.
Kisha turudi huku.
Unajua sio kama nawaponda ila ukweli unajulikanaAkhi kweli Mungu hawezi kufa wala hajawahi kufa
Unahitaji kujua ukweli wa Mungu na utendaji wake kazi kwako, unatakiwa kujua Kristo ni nani na Yesu ni nani
Unatakiwa kujua kwanini Mungu aliamua kuja kwetu kupitia Kristo na ukishajua utasema kweli YESU NI MUNGU
Ukihitaji maelezo mazuri nitarudi baada ya kazi
Mbona nabii yona unayemuamini wewe alikataa wito wa Mungu wa kwenda kuhubiri ninawi,
Andiko linafafanuliwa na andiko. Lete maandiko kwamba Mungu hazai na hana mwana tujue mbivu na mbichi leo.