Mungu anipe, hatimaye nimepata mwanamke mwelewa na mnyenyekevu ni Zaidi ya zawadi.

Mapenzi ya mkataba mpaka kufa yamekwishaaa...nafsi yangu inasema bora nimpende tu alonizaa...nilikufa nikazikwa nikaozaaa mapenzi yalitesa nimefufukaa...
Alisikika akiimba kijana mmoja barobaro [emoji1787]
 
Bro hapa, umepata usimuache mwanamke anayejua ujinga na upumbavu wako ulipo Kisha anajaribu kukutoa huko kwa busara zote.....
Narudia usiuache, utanishukuru kesho
Sawa mkuu si
Bro hapa, umepata usimuache mwanamke anayejua ujinga na upumbavu wako ulipo Kisha anajaribu kukutoa huko kwa busara zote.....
Narudia usiuache, utanishukuru kesho
Simuachi mkuu, ntakuja kukushukuru baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…