Mtoto wako unamfundisha ashike mfumo wa Jua wa Allah au wa darasani ? Kama wa Allah mthiani uwa anajibuje ?Tunakuwa gizani pale tu linapo zama. Kwahiyo hesabu ni muda gani. Kingine nani alikwambia mtu akienda kusali au kusujudu Ina maana ya kuwa hafanyi shughuli nyingine tena ? Hii akili ya wapi ?
Kasome bhukar tafuta Hadith ya Jua kwenda kusujudu na kuomba ruhusuTuonyeshe maneno haya toka kwa Mtume. Namaanisha haya uliyo yaandika.
Allah Hana Sayansi bali Allah ana uhalisia. Unaposema Allah anasemaje kuhusu Solar System unatakiwa ujue Solar System ni nini na je nadharia hiyo ni sahihi au siyo sahihi. Sababu Kuna Geocentric na hiyo Heliocentric.Usiwe na hasira , hii ni sayansi ya Allah ambayo dunia haijagundua bado , unapopata mda kama huu unaelemisha Allah anasemaje kuhusu solar system yake ?
Kuna kujibu mtihani na uhalisia, unauliza maswali ya kitoto sana. Atajibu kama alivyofundishwa ili afaulu mtihani ila huku anajua ya kuwa huu ni uongo katika uhalisia.Mtoto wako unamfundisha ashike mfumo wa Jua wa Allah au wa darasani ? Kama wa Allah mthiani uwa anajibuje ?
Nisomee mara ngapi ndiyo maana nakuonyesha ya kuwa yote ni sahihi ila haionyeshi ya kuwa likisujudu haliendelei na nidhamu ya mwendo iliyo pangiwa.Kasome bhukar tafuta Hadith ya Jua kwenda kusujudu na kuomba ruhusu
😂😂😂😂🤣 Ata danganya mbele ya Allah , Yani Allah kasha mfundisha yeye anajibu kinyumeKuna kujibu mtihani na uhalisia, unauliza maswali ya kitoto sana. Atajibu kama alivyofundishwa ili afaulu mtihani ila huku anajua ya kuwa huu ni uongo katika uhalisia.
Sasa si anafunika kombe mwanaharamu apite.😂😂😂😂🤣 Ata danganya mbele ya Allah , Yani Allah kasha mfundisha yeye anajibu kinyume
Mpaka lipewe ruhusu ya kuchomoza tenaNisomee mara ngapi ndiyo maana nakuonyesha ya kuwa yote ni sahihi ila haionyeshi ya kuwa likisujudu haliendelei na nidhamu ya mwendo iliyo pangiwa.
Naam, shida iko wapi ? Naam unajua ni wakati gani linaomba ruhusa ya kuchomoza ? Majibu mepesi ndiyo maana kwingine unaona usiku na kingine ni mchana na uzuri hakuna sehemu duniani tumepishana kwa urefu wa siku nzima.Mpaka lipewe ruhusu ya kuchomoza tena
Kuna maswali nilikuuliza likiwa linasujudu bado linatoa mwanga au inakuwaje ?Naam, shida iko wapi ? Naam unajua ni wakati gani linaomba ruhusa ya kuchomoza ? Majibu mepesi ndiyo maana kwingine unaona usiku na kingine ni mchana na uzuri hakuna sehemu duniani tumepishana kwa urefu wa siku nzima.
Unataka kutuaminisha kiti Cha Allah kina hamahama ?Aya kwa mujibu wa aya yako hapo hicho kiti bado kipo huko huko
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kupitia aya yako tuaminishe kua kiti cha Allah kiko sehemu mojaUnataka kutuaminisha kiti Cha Allah kina hamahama ?
Ndio kipo sehemu moja , wewe unaepinga ndio utuambie kama anakiamisha amishaKupitia aya yako tuaminishe kua kiti cha Allah kiko sehemu moja
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Toka lini Mimi nikawa nina Aya zangu kwenye Koran ?Kupitia aya yako
Haya Mungu anasema kilikua juu ya majiToka lini Mimi nikawa nina Aya zangu kwenye Koran ?
Mimi sipingi ila aya ina sema hapo kabla kilikua juu ya maji tuaminishe sasa kua bado kipoNdio kipo sehemu moja , wewe unaepinga ndio utuambie kama anakiamisha amisha
Rejea Hadithi.Kuna maswali nilikuuliza likiwa linasujudu bado linatoa mwanga au inakuwaje ?
Bado kipo maana hakuna Aya kasema alikiamishaHaya Mungu anasema kilikua juu ya maji
Haya tuaminishe sasa kua bado kipo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
"I said: 'O Messenger of Allah, where was Allah before He created His creation?' He said: He was above the clouds, below which was air, and above which was air and water. Then He created His Throne above the water.'"Sunan Ibn Majah 182Haya Mungu anasema kilikua juu ya maji
Haya tuaminishe sasa kua bado kipo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hujathibitisha Kwanza kama kipo. Nitakwambiaje kama alikiamisha"I said: 'O Messenger of Allah, where was Allah before He created His creation?' He said: He was above the clouds, below which was air, and above which was air and water. Then He created His Throne above the water.'"Sunan Ibn Majah 182
Uje utuambie kama alikiamisha