Uthibitisho huu hapaHujathibitisha Kwanza kama kipo. Nitakwambiaje kama alikiamisha
Thibitisha kama kipo kwanza
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Alivyo kiumba akakiacha hapo hapo ?Uthibitisho huu hapa
"I said: 'O Messenger of Allah, where was Allah before He created His creation?' He said: He was above the clouds, below which was air, and above which was air and water. Then He created His Throne above the water.'"Sunan Ibn Majah 182
Mimi nimethibitisha kwa maandiko kipo juu ya maji wewe unamadai kilihamishwa embu thibitishaAlivyo kiumba akakiacha hapo hapo ?
Au maana yeye anasema kiti chake kilikuwa kwenye juu ya maji baada ya hapo hakuna anae jua kama kipo hapo hapo au hapana
Hakuna maandiko yanayosema kipo juu ya maji bhana hujui kusoma auMimi nimethibitisha kwa maandiko kipo juu ya maji wewe unamadai kilihamishwa embu thibitisha
NI andiko gani linasema alikiamisha ?Hakuna maandiko yanayosema kipo juu ya maji bhana hujui kusoma au
Hadithi ina sema amekiumba juu ya maji aya ikaja ikasema ,Kilikua juu ya maji hapo inatoa tafsiri ya hadithi kua wakati ana kiumba kilikuwa juu ya maji na baada ya hapo Allah ndie anajua kiko wapi sasa
Aya inasema kilikuwa juu ya maji baada ya hapo kilipo anajua ALLAHNI andiko gani linasema alikiamisha ?
Kama umejua kilikuwa juu ya maji , alafu unasema baada ya hapo , hii maana yake unamadai kiliamishwa na hujui kilipo , Nakutaka uweke andiko kiliamishwa ata kama andiko alisemi kilipo pelekwa weka humu?Aya inasema kilikuwa juu ya maji baada ya hapo kilipo anajua ALLAH
Hiyo ni elimu ya ghaibu ambayo mwanadamu hawezi tambua
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sawa hayo ni mawazo yako hayabadilishi ukweli maana hata wewe unae sema kipo juu ya maji huna andikoKama umejua kilikuwa juu ya maji , alafu unasema baada ya hapo , hii maana yake unamadai kiliamishwa na hujui kilipo , Nakutaka uweke andiko kiliamishwa ata kama andiko alisemi kilipo pelekwa weka humu?
Ukishindwa kitaendelea kuwa juu ya maji
Mimi nimeweka andiko kipo juu ya maji , wewe unawasiwasi kiliamishwa ila huna andikoSawa hayo ni mawazo yako hayabadilishi ukweli maana hata wewe unae sema kipo juu ya maji huna andiko
Mimi sina wasiwasi pia wewe huna ilo andiko.Mimi nimeweka andiko kipo juu ya maji , wewe unawasiwasi kiliamishwa ila huna andiko
Unapinga hakipo juu ya maji au unakubali kipo juu ya , au haujui kilipo ?Mimi sina wasiwasi pia wewe huna ilo andiko.
Wewe baki na uo uelewa wako usio na ushahidi.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tatizo unalazimisha lisilo kuwepo mimi nisha kwambia huna andiko wewe unasema lipo umelitoa wapi?Unapinga hakipo juu ya maji au unakubali kipo juu ya , au haujui kilipo ?
Andiko linaonesha kipo juu ya maji na hakuna andiko uliloweka likionesha kinyume na andiko la juu ya maji
Kwa Nini hautaki Allah akae Kwenye kiti juu ya maji? Au wasiwasi wako atazama
Andiko ulotoa linasema,”and His throne was on the water…”Mimi nimeweka andiko kipo juu ya maji , wewe unawasiwasi kiliamishwa ila huna andiko
Acha makasiriko Kwanini waislamu mda wote mnamakasiriko Yani mioyo yenu Haina amani kabisa ,Na hata kama bado ipo juu ya maji, so what?
Uthibitisho huu hapamimi nisha kwambia huna andiko wewe unasema lipo umelitoa wapi?
ww ndio una makasiriko na chuki dhidi ya uislamu.Acha makasiriko Kwanini waislamu mda wote mnamakasiriko Yani mioyo yenu Haina amani kabisa ,
Anaepinga Allah kiti chake kuwa juu ya maji ni muislamu mwenzako professional Driver anawasiwasi kwamba Allah kakiamisha kiti ila ana andiko lolote la kumsupport wasiwasi wake
Uthibitisho huu hapa
"I said: 'O Messenger of Allah, where was Allah before He created His creation?' He said: He was above the clouds, below which was air, and above which was air and water. Then He created His Throne above the water.'"Sunan Ibn Majah 182
Huyu jamaa ana chuki sana hayupo katika kutaka kuelimika kabisa ana copy vitu havijuiww ndio una makasiriko na chuki dhidi ya uislamu.
Huwa unaanzisha hoja za copy & paste ili kuukejeli na kuukashifu uislamu.
Na hunaga hoja za msingi ila ni ubishi na chuki ndio zinazokusumbua.
Walishindwa waarabu wanaojua lugha ya Qur’an ( kiarabu) ije kuwa ww hata kiarabu hujui. You are just wasting your time, ww unatumika tu kama ubao wakuwaleta watu ktk Nuru wakat ww ukibaki kuwa mweusi kwa ubishi na chuki dhidi ya uislamu.
Halafu hapo, professional driver ww hujamuelewa tu.
Hajakubali wala hajapinga. Anahitaji ushahidi ya unachokisema.
Shida yako ww unalazimisha vitu ambavyo huna ushahidi navyo. Ukiombwa aya wapi arshi ya Allah bado ipo juu ya maji, huna [emoji3].
Uislamu huwa unaenda kwa evidence sio kama ukristo wenu, kila mtu anajipangia kitu chochote anachokitaka.
“ If no evidence no right to speak”.
Turudi kwenye mada.
Hiyo hadithi ulotoa bado inazungumzia before the creation of the heavens and the earth, the Arsh of Allah was over the water.
Still, bado ni past tense.
Tupe aya sasa ambayo inasema, “ after creation of the heavens and earth the Arsh of Allah is still on water “
Kusema Allah kiti cheke kipo juu ya maji ndio kuupinga Uislam?Tupe aya sasa ambayo inasema, “ after creation of the heavens and earth the Arsh of Allah is still on water “
Kuweka andiko Allah kiti chake kipo juu ya maji ndio chuki zidi ya Uislamu? Au Mimi ndio sijui maana ya chukiHuyu jamaa ana chuki sana hayupo katika kutaka kuelimika kabisa ana copy vitu havijui