Sasa nyinyi mtajiaje ni za uongo na hamuhakiki habari zenu ? Kijana unauliza ujinga.Ni wapi wakristo wamesema Habari za luti , Yesu ni za uongo taja wakristo waliosema hivyo?
Anae sema habari za waislamu ni za uongo na zipo kwenye vitabu vyenu ni waislamu wenyewe na wala hakuna mkristo amewaambia mseme ni za uongo
Au hujasoma nilicho kiandika nini ?
Kitendo tu cha kitokujulikana waandishi wa hizo Injili zenu ni ushahidi tosha ya kuwa yaliyo andikwa humo ni uongo. Lakini kingine yanaenda kinyume na uhalisia na akili iliyo salama inakataa.
Ndiyo maana nikasemaje nyinyi Elimu ya uhakiki wa habari hamna japokuwa Kuna baadhi ya wasomi walio bobea katika historian ya uandishi wa Biblia wameanza kuhoji na kuandika vitabu juu ya mashaka.