Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?

Ni wapi wakristo wamesema Habari za luti , Yesu ni za uongo taja wakristo waliosema hivyo?

Anae sema habari za waislamu ni za uongo na zipo kwenye vitabu vyenu ni waislamu wenyewe na wala hakuna mkristo amewaambia mseme ni za uongo
Sasa nyinyi mtajiaje ni za uongo na hamuhakiki habari zenu ? Kijana unauliza ujinga.

Au hujasoma nilicho kiandika nini ?

Kitendo tu cha kitokujulikana waandishi wa hizo Injili zenu ni ushahidi tosha ya kuwa yaliyo andikwa humo ni uongo. Lakini kingine yanaenda kinyume na uhalisia na akili iliyo salama inakataa.

Ndiyo maana nikasemaje nyinyi Elimu ya uhakiki wa habari hamna japokuwa Kuna baadhi ya wasomi walio bobea katika historian ya uandishi wa Biblia wameanza kuhoji na kuandika vitabu juu ya mashaka.
 
Jua haliendi popote
Sasa linakuwa wapi na tunaona linazama na usiku unakuwepo na mchana unapotea. Kijana huna akili. Yaani tunaona kabisa Jua linatembea na linapotea halafu unasema haliendi popote ? Ndiyo maana mmekuwa Washirikina wakubwa sana Wakristo akili hamna katika mambo ya dini yaani mpo moo tu.
 
Umefika kidato cha nne ? samahani lakini kwa swali hilo
 
Sasa nyinyi mtajiaje ni za uongo na hamuhakiki habari zenu ? Kijana unauliza ujinga.
Nimesoma ulicho andika na ndio maana nimekuuliza swali
Wakristo gani wanasema habari za lutu na za Yesu ni za uongo?

Kwa waislamu mnasema wenyewe mna habari za uongo mmeweka kwenye vitabu vyenu
 
Umefika kidato cha nne ? samahani lakini kwa swali hilo
Jenga hoja kwa hicho nilichokiandika Kisha baada ya hapo utajua nimefika kidato Cha nne au la. Nyinyi si mmeaminishwa mambo ya Solar System sijui sayari zinazunguka jua mara Dunia inazunguka katika muhimili wake wakati hakuna jaribio lolote la Kisayansi lililo fanyika kuonyesha hilo. Sasa jenga hoja acha utoto.
 
Nataka nijue ili kama umeenda shule nijue ulikuwa maswali unajibuje ni muhimu sana

Swali lingine nilikuuliza Kwa mujibu wa Allah jua lipo moja au zaidi ya moja?
 
Nimesoma ulicho andika na ndio maana nimekuuliza swali
Wakristo gani wanasema habari za lutu na za Yesu ni za uongo?

Kwa waislamu mnasema wenyewe mna habari za uongo mmeweka kwenye vitabu vyenu
Hujakielewa na huenda hujasoma kabisa. Unarudia swali lile ambalo nimeshakujibu.

Nyinyi si mnaona kila kitu ni sahihi katika Biblia na mnausema ni kitabu kitukufu, Sasa Kuna habari za uongo zaidi nyingi mno, mfano habari ya Luti na nyingine nyingi.

Naam sisi tunasema sababu tumepewa Elimu ya kuhakiki habari na historian tumeisoma na kuidhibiti, watu waliandika mengi wakamnasibishia Mtume na huku ni ya uongo, ndiyo maana uhakiki ukafanyika.

Sasa nyinyi kwenu hivi vitu havipo sababu Allah hakuamua kuyalinda tena maneno yake kwa mitume wake kama vile Yesu, Musa na wengine sababu wakati wake ushapita.
 
Hujakielewa na huenda hujasoma kabisa. Unarudia swali lile ambalo nimeshakujibu.

Nyinyi si mnaona kila kitu ni sahihi katika Biblia na mnausema ni kitabu kitukufu, Sasa Kuna habari za uongo zaidi nyingi mno, mfano habari ya Luti na nyingine nyingi.
Hizo habari za uongo mfano ya luti ni wakristo wanasema au ni wewe muislamu ndie unasema?
 
Nataka nijue ili kama umeenda shule nijue ulikuwa maswali unajibuje ni muhimu sana

Swali lingine nilikuuliza Kwa mujibu wa Allah jua lipo moja au zaidi ya moja?

Naona kijana huna hoja.

Jua liko Moja.
 
Hizo habari za uongo mfano ya luti ni wakristo wanasema au ni wewe muislamu ndie unasema?
Kijana kwanini unauliza swali ambalo nimeshalijibu zaidi ya mara Moja ?

Sasa mtaonaje za uongo wakati akili hamna na hamna na hamfanyi utafiti ?
 
Naona kijana huna hoja.

Jua liko Moja.
Kwa sasa tunaliona Tanzania , Kuna nchi hawalioni yani ni usiku linakuwa kwao limeenda kusujudu ila kwetu tunaliona na lipo moja embu elezea
 
Hoja ya kitoto sana sababu linatembea, likifika huko kwa hao ambao ni usiku linamilika linasujudu Kisha linaendelea na safari yake.
 
Kitendo cha kusujudu kinachukua mda gani?
 
Anajua Allah linatumia muda gani, hajatiambia.

Anasema Allah kuhusu mwendo wa Jua na Mwezi.

38. Na jua linakwenda kwa kiwango chake. Hayo ni makadirio ya Mwenye nguvu, Mwenye kujua.

39. Na mwezi tumeupimia vituo, mpaka unakuwa kama karara kongwe.

40. Haliwi jua kuufikia mwezi, wala usiku kuupita mchana. Na vyote vinaogelea katika njia zao. (Yunus : 38-40)
 
Kwani jua uwa hatulioni kwa mda gani , yani tunakuwa gizani kwa mda gani?

Tunakuwa gizani pale tu linapo zama. Kwahiyo hesabu ni muda gani. Kingine nani alikwambia mtu akienda kusali au kusujudu Ina maana ya kuwa hafanyi shughuli nyingine tena ? Hii akili ya wapi ? Ndiyo maana mnashindwa hata kuhoji juu ya maandiko yenu.

Kwani unapo kuwa hulioni ni kwamba halitembei tena ? Soma aya za juu.

Sasa gizani si unakuwa gizani na kwako kwingine hakuna giza.
 
Muhammad anasema likiwa linazama yani mda ambao hatuliona usiku linakuwa limeenda kusujudu na kuomba kibali cha kutokea tena , likitokea inamaana limepewa kibali , hii maana yake ni usiku wote linasujudu au ni tofauti
 
Back
Top Bottom