Mungu na Allah mbona wana itikadi tofauti? Je, ni wamoja au pande mbili zinazokinzana?

Hapo Kuna mmoja snajipendekeza kwa mwingine
 
Allah sio jina embu elimika allah maana yake ni mungu usijitoe fahamu huku kwetu mungu ni mmoja tu hakuna mungu watatu wala mungu wetu hajazaliwa na mwanamke
Kwani Uzza, Lutta na Manata ni Mungu wangapi?
Au unataka kutuambia watoto wa Allah sio miungu?
Tafuta muda nikufundishe vizuri hiyo dini yako.
 
Mu
Allah sio jina embu elimika allah maana yake ni mungu usijitoe fahamu huku kwetu mungu ni mmoja tu hakuna mungu watatu wala mungu wetu hajazaliwa na mwanamke
Mungu hazaliwi wala hafi
Mungu wa Wayahudi na Wakristo mala kadhaa kaja duniani kwa dalili ya umbo la Binadamu.
Kama vile alivokuja katika Bonde la Tua na Kumwamrisha Musa avue viatu sehemu takatifu na nyie mnamtii hadi leo kuvua viatu Misikitini.
Je tukisema Mungu wenu ni Kijinga cha Moto utakubali ?
Mbona mnakitii hadi hio leo?

Mungu alishamtokea Nabii Ibrahimu kwa dalili au Umbo la Binadamu.
Alishamtokea Musa kwa dalili ya Moto.
Na Alisha watokea Wayahudi kwa dalili ya Upepo.
Maswala ya Mungu yanahitaji elimu kubwa na sio ya ku unga unga.
Ukitulia nitakupa somo na utaelewa vizuri tofauti ya Mungu wa Waarabu Allah na Mungu wa Wayahudi Yehova.
 
Kwanza lazima ujue mungu wa wayahudi sio yesu na wayahudi wanaamini mungu ni mmoja tu hakuna cha utatu kama nyie wakristo
Na wayahudi hawaamini biblia bali torati
Wakristo na wayahudi hawakaribiani hata kidogo, wao wapo karibu na uislamu kuliko ukristo
Hadi chakula chao ni halal wanaita kosher na mara nyingi wana import kutoka uturuko bidhaa zao za chakula
Huna umachojua kijana toka kwenye ukafir
Yesu hajawahi kuwa mungu na ndio maana wakati wayahudi wanamsulubu na yeye alimlilia mungu wake kwamba amemuacha
Mungu ni mmoja tu hakuzaa wala hakuzaliwa na wayahudi kwenye torati ni hivyo hivyo
Na sisi waislamu hadi siku wayahudi walipofanikiwa kuondoka mikononi mwa farao tunafunga na wayahudi wanafunga siku hiyo
Toka kwenye ukafir mungu ni mmoja tu
 
Kwani Uzza, Lutta na Manata ni Mungu wangapi?
Au unataka kutuambia watoto wa Allah sio miungu?
Tafuta muda nikufundishe vizuri hiyo dini yako.
Pata ujumbe kuroka kwa wadhamini ndio tuendelee
 

Attachments

  • Screenshot_20240506-183936_Instagram.jpg
    399.1 KB · Views: 8
La illah = hakuna Mungu
Ila Allah = isipokuwa Allah

Kama Allah maana yake Mungu hebu nitajia huyo Allah Jina lake ni nani ?
Yaani unashika dini siku zote hizo na hujui jina la Mungu wako?
Ni ajabu na kweli.
Allah ana majina au sifa 99
 
Kwenye Ukristu tunasema Mungu ndiye anatulinda na kutupigania. Kwenye Islam wanasema wanapigana kumlinda Allah wao.

Ndiyo nikajua kuwa kuwa Allah siyo Mungu.

Wakristu tuna Yesu mwana wa Mungu aliyezaliwa na Bikira Maria kwa njia ya roho mtakatifu. Islam wan Nabii Issa aliyezaliwa chini ya mtende. Hao nao ni watu wawili tofauti
 
Kwani Uzza, Lutta na Manata ni Mungu wangapi?
Au unataka kutuambia watoto wa Allah sio miungu?
Tafuta muda nikufundishe vizuri hiyo dini yako.


Haya pata shule kutoka kwa doctor tena huyu ni mkristo mwenzako siyo mkristo usioelimika umeshakaririshwa huna unachojua
 
Nani kasema Mungu wa Wayahudi ni Yesu ?
Unaweza kunionesha neno Utatu au Mungu watatu popote pale ?
Ni kwanini unasema Yesu ni Mungu wakati ni Binadamu raia wa Israeli ?
Kwa umri wako Maswala ya Mungu huwezi kutajua.

Lingine, usifananishe tabia za Allah na tabia za Mungu wa Wayahudi.
Allah ana watoto watatu tu, Mungu wa Wayahudi anawaita Wayahudi anawaita Wayahudi wote kuwa ni watoto wake.

Zaburi (Psa) 2:7
Nitaihubiri amri; BWANA aliniambia, Ndiwe mwanangu, Mimi leo nimekuzaa.

Ukimsikiliza Allah na kumwamini na kutaka Mungu wa Wayahudi afanane naye hutawaleza kuelewa kitu.

Unachotakiwa kusema ni kuwa.
" Mimi Mungu wangu ajulikanaye kwa jina la Allah ana tabia hizi na hizi tu basi"

Kuna miungu wengi sana ulimwenguni na kila Mungu ana tabia zake ambazo hazifanani na Miungu wengine.

Na sio lazima Mungu wako afanane na mungu wenu.

Mwamini Muhammadi alipo sema katika sura ya Makafiri.
Alisema:
"Siabudu mnaye mwabudu,
Mimi nina dini yangu na nyie mna dini yenu"

Tosheka tu na Mungu wako Alah
 

Pata elimu acha kubwabwaja
 
Kwani huy
View attachment 3017091

Haya pata shule kutoka kwa doctor tena huyu ni mkristo mwenzako siyo mkristo usioelimika umeshakaririshwa huna unachojua
View attachment 3017091

Haya pata shule kutoka kwa doctor tena huyu ni mkristo mwenzako siyo mkristo usioelimika umeshakaririshwa huna unachojua

Nimwamini kwani huyo ni Nabii ? Wa vigezo vya Ukristo.
Unamjua Nabii Tito?

Leo nenda msikitini kamwulize Imamu wako anayejua kiarabu vizuri.
Mwambie unataka kujua maana ya Maneno
illah na Allah
Kama hujui kutofautisha hayo maneno sijui ni kwanini tuendelee kuongea.
Mwambie kwanza akufundishe neno kwa neno, maneno ambayo yanaimbwa katika Shahada ya Kiislamu.
Inayosema:
Hakuna Mungu isipokuwa Allah, na Muhammadi ni mtume wake.
Hapo hapo akuoneshe neno Mungu lilipo kwenye hiyo shahada

Mimi nawaamini Manabii na Mitume wa kwenye Biblia tu

Pia kamwulize imamu wako.
Qurani kama kitabu cha Mungu mmoja na Wayahudi na Wakristo.
Ni kwanini hakijaunganishwa kwenye kitabu cha Biblia.
Yaani kwanini hakijawekwa pamoja na Torati, Zaburi, Injiri halafu ije Qurani.
Kaulize hayo maswali yote kwa imamu wako.

Usisahu kumwuliza kuwa Mungu wetu sisi Waislamu anaitwa nani ?
 
Huyu hachanganyi hisia na kukaririshwa kama wewe ni doctor ana phd ya mambo ya utamaduni amefanya reasearch kwa ajili ya elimu siyo wewe huna point unaleta hisia zako ili ubishane tu
 
hii topic ni konki
 
Upo shallow sana mzee waislamu tunaamini na tunaisoma ,torati na injili vyote na tunawaamini mitume hao wa mungu walioleta vitabu hivyo
Na nipo vizuri sana kwenye kiarabu nadhani doctor hapo amemaliza ubishi kwenye maana ya allah sina haja ya kukueleza kama umeshindwa kumuelewa hadi huyo hutaweza kuelimika
 
Kuna wale niliwasikia wakilalamika kwa jaziba wakidai Yesu si mungu
Wakati Wana mungu wao

Swali ni je kwanini wanapenda kuchungulia kwa jirani???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…