Mungu na Allah mbona wana itikadi tofauti? Je, ni wamoja au pande mbili zinazokinzana?

Biblia na Quran..

Vitabu vya hovyoo...


Waachie wenyewe watu wa mashariki ya kati.


Leo mtaani nilikuwa nampa darsa,

Mlokole mmoja Historia ya Biblia na Quran,, na nikamchambulia mahovyo hovyo yalimo ndani ya vitabu hivyo, akabaki kuduwaaa.. !!
 
Madrasut gani walikudanganya huu upupu Mwamba?
😁😁
Huo sio elimu ya madrasa ni elimu ya historia ya bara arab!

Tatizo wengi wenu hamna elimu, mnapenda kukariri sana!

Na mmemezeshwa itikadi za kijinga, ko ukitaka waarabu wasiwe na uhusiano na ukristo we kama nani!

Fuatilia kuhusu Misri na Lebanon kuna wakristo kibao na sio ukristo wa kupelekwa na wazungu ni wa asili!
 
Injili halisi ya Yesu? Waliikuta wapi,na ni wapi injili imemtabiri Muhamad,Kwa hiyo Quran siyo human version ni Mungu aliandika kwa mkono wake akaichapisha na kumpa Muhamad?
Kwa sasa huwezi kuipata injili!

Tuanzie hapa, je yesu anaitambua biblia???
 
B
Binafsi siumii na maandiko yako, ila huwa sipendi kuona mtu anajaribu kuwaeleza watu kuhusu jambo fulani then ndani yake alete uongo au maneno yenye kuashiria chuki na kashfa dhidi ya wengine!
 
Hapo kwenye kumlinganisha Yesu na Muhamadi sasa..,
 
Allah ni mungu wa waarabu ndiyo maana huwezi kuwasiliana naye kama hujui kiarabu pia ni lazima unapotaja mungu kumlenga yeye hutaki Mungu kama Mungu hata kama lugha mama yako ina tafsiri ya neno Mungu sharti urejee neno Allah ili ijulikane ni yeye
Hii Imeenda
 
Haya pata elimu kidogo maana hujui chochote zaidi ya kubisha bisha tu vitu ulivyokaririshwa

Elimu yako ya dini yako ni ndogo sana.
Nimekuuliza Mungu wako anaitwa nani umeshindwa kujibu.
Mungu wa Wayahudi anaitwa Yehova, pia alijitambulisha kwa jina la MIMI NIKO AMBAYE NIKO na maandiko yapo.

Badala ya kunipa jina la Mungu wako unanipa sifa 99 za Allah.

Kesho uwahi kwenda msikitini kamwulize imamu wako kuwa Mungu wa Waislamu anaitwa nani ?

Kama huelewi hata Shahada ya dini yako ya Kiislamu inavyosema, ambayo ndio nguzo yako ya kwanza katika doni.
Nina uhakika huelewi chochote kwenye dini yako.
Kwa lugha ya kiarabu
Mungu anaitwa, illah
Shahada yako inaimbwa hivi.

{"La illah ila Allah, Muhamadi rasul illah"
" Hakuna Mungu ila Allah, Na Muhamadi ni mjumbe wa Mungu"}

Na kama hujui hata maana ya shahada ya kiislamu, wewe ni Muislamu maamuma.

Usibishane na mimi, nenda kaulize huko msikitini watakuambia kama ninavyo kuambia mimi.

Tuliwaambia Waislamu, hamuijiu qurani yenu sababu hamuijiu lugha ya kiarabu mnabisha bisha tu.
 
Injili haijamtabiri Mungu bali imetabiri muhammad, na kama unadhani Muhammad ni Mungu wa waislamu basi kwa hilo umekosea, muhammad si Mungu bali ni mtume wa mwenyezi Mungu aliyeletwa kuwaongoza viumbe na kuwafundisha kuhusu Mungu mmoja naye ni mfautilizi wa mitume waliotangulia kabla yake kama Mussa, Haroun, Yakoub, Is-haq, Yunus, Nuh, Issa(yesu) na wengineo.
 
Mkuu Mungu ni cheo na Mungu wapo wengi na kila Mungu ana jina lake kuna Mungu anaitwa Allah,Jehova nk.
 
B

Binafsi siumii na maandiko yako, ila huwa sipendi kuona mtu anajaribu kuwaeleza watu kuhusu jambo fulani then ndani yake alete uongo au maneno yenye kuashiria chuki na kashfa dhidi ya wengine!
Sawa bainisha hapo chuki iko wapi kashfa iko wapi na uongo uko wapi
 
Ni ilaah na sio illah,

Hilo ni neno la kiarabu.

Na maana ya ilaah mwenye kustahiki kuabudiwa na ndio maana hata firaun alitamka kwa ilaah akimaanisha yeye ndiye anayetakiwa kuabudiwa na wamisri wa wakati huo.

Acha kuandika usiyoyajua, utaumbuka!
 
Injili ipi kati ya mathayo, Marko, Luka na Yohana imemtabiri Muhammad

Issa sio Yesu
 
Injili ipi kati ya mathayo, Marko, Luka na Yohana imemtabiri Muhammad

Issa sio Yesu
Hivyo sio vitabu vya injili ya Mungu aliyompa yesu, bali ni maneno ya hao uliowataja na ndio maana hata huyo yesu mwenyewe havitambui hivyo vitabu!
 
Kwenye maelezo yako yanayosema kuwa Allah ni Mungu wa waarabu na haiwezekani kuwasiliana naye kama haujui kiarabu ulikuwa na maana gani, na uliandika kwa mlengo upi???


Kwa sababu hakuna ukweli wowote katika uliyoyaandika kuhusu Allah na maana yake!

Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.
 
Ni ilaah na sio illah,

Hilo ni neno la kiarabu.

Na maana ya ilaah mwenye kustahiki kuabudiwa na ndio maana hata firaun alitamka kwa ilaah akimaanisha yeye ndiye anayetakiwa kuabudiwa na wamisri wa wakati huo.

Acha kuandika usiyoyajua, utaumbuka!
Ungemfahamisha huyo mwislamu mwenzako ambaye hajui maana ya Allah na hiyo ilaah.
 
Sawa bainisha hapo chuki iko wapi kashfa iko wapi na uongo uko wapi
Kwenye andiko lako hili
Allah ni mungu wa waarabu ndiyo maana huwezi kuwasiliana naye kama hujui kiarabu pia ni lazima unapotaja mungu kumlenga yeye hutaki Mungu kama Mungu hata kama lugha mama yako ina tafsiri ya neno Mungu sharti urejee neno Allah ili ijulikane ni yeye
Hapa uliandika nini, na kwa lengo gani????

Lete uongo wako wa kujitetea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…