Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo sio elimu ya madrasa ni elimu ya historia ya bara arab!Madrasut gani walikudanganya huu upupu Mwamba?
😁😁
Kwa sasa huwezi kuipata injili!Injili halisi ya Yesu? Waliikuta wapi,na ni wapi injili imemtabiri Muhamad,Kwa hiyo Quran siyo human version ni Mungu aliandika kwa mkono wake akaichapisha na kumpa Muhamad?
Binafsi siumii na maandiko yako, ila huwa sipendi kuona mtu anajaribu kuwaeleza watu kuhusu jambo fulani then ndani yake alete uongo au maneno yenye kuashiria chuki na kashfa dhidi ya wengine!1. Kitabu halisi Kiko wapi? (Nani alithibisha hiko ni halisi na kile sio? Na kwanini tumuamini?)
2. Alitabiriwa na nani? wapi?
3. Injili ipi kati ya zile nne imemtaja Muhammad?
4. Mungu anatabiriwa vipi wakati yupo na aliabudiwa tangu kale?
5. Mungu aliyeabudiwa na wakristu anafanana nini na wa Muhammad
6. Wangu ni ujinga na chuki kwa muktadha upi? Thibitisha kama sijui nilichoandika
7. Kwanini nilichoandika kiwaumize waislamu?
Hapo kwenye kumlinganisha Yesu na Muhamadi sasa..,Ok sawa..
Kwanza kabisa Kuna Majina Ya Mungu zaidi ya 50 kwenye Biblia labda kama hufahamu Hilo..
Umezungumzia kuhusu Pombe wote wameahidi pombe..
Japo Nikukumbushe Kuwa Katika agano la kale Hakukuwa na Ahadi ya Kwenda Mbinguni wala Unyakulio Hilo jambo limeanza kipindi cha agano jipya..
Ila Usisahau Yesu aliahidi Wanafunzi kwamba watapata Kilaji siku ile Mpya..
So nadhani kuhusu Hilo wako sawa..
Marko 14:25
Amin, nawaambia ninyi, Sitakunywa tena kabisa uzao wa mzabibu, hata siku ile nitakapounywa mpya katika ufalme wa Mungu.
Verily I say unto you, I will drink no more of the fruit of the wine, until that day that I drink it new in the kingdom of God.
Andiko la pili limeeleza Nitakapokunywa na nyinyi..
Mathayo 26:29
Lakini nawaambieni, Sitakunywa kabisa tangu sasa uzao huu wa mzabibu, hata siku ile nitakapokunywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.
But I say unto you, I will not drink henceforth of this fruit of the wine, until that day when I drink it new with you in my Father's kingdom.
Tuendelee na Kuhusu Pombe..
Zaburi 75:8
Maana mkononi mwa BWANA mna kikombe,
Na mvinyo yake inatoka povu;
Kumejaa machanganyiko;
Naye huyamimina.
Na sira zake wasio haki wa dunia
Watazifyonza na kuzinywa.
For in the hand of the LORD there is a cup, and the wine is red; it is full of mixture; and he poureth out of the same: but the dregs thereof, all the wicked of the earth shall wring them out, and drink them
so Huo ni.mfanano wa kwanza mfanano wa Pili ni kuwa Wote wameahidi Kuna Siku ya qiyama kitu ambacho kwa wayahudi hakuna Hiyo siku..
So nakukaribisha Mkuu Tuendelee na Mjadala ila wote ni sawa na hata Muhamedi na Yesu wote ni sawa tu
Hii ImeendaAllah ni mungu wa waarabu ndiyo maana huwezi kuwasiliana naye kama hujui kiarabu pia ni lazima unapotaja mungu kumlenga yeye hutaki Mungu kama Mungu hata kama lugha mama yako ina tafsiri ya neno Mungu sharti urejee neno Allah ili ijulikane ni yeye
Haya pata elimu kidogo maana hujui chochote zaidi ya kubisha bisha tu vitu ulivyokaririshwa
Injili haijamtabiri Mungu bali imetabiri muhammad, na kama unadhani Muhammad ni Mungu wa waislamu basi kwa hilo umekosea, muhammad si Mungu bali ni mtume wa mwenyezi Mungu aliyeletwa kuwaongoza viumbe na kuwafundisha kuhusu Mungu mmoja naye ni mfautilizi wa mitume waliotangulia kabla yake kama Mussa, Haroun, Yakoub, Is-haq, Yunus, Nuh, Issa(yesu) na wengineo.1. Kitabu halisi Kiko wapi? (Nani alithibisha hiko ni halisi na kile sio? Na kwanini tumuamini?)
2. Alitabiriwa na nani? wapi?
3. Injili ipi kati ya zile nne imemtaja Muhammad?
4. Mungu anatabiriwa vipi wakati yupo na aliabudiwa tangu kale?
5. Mungu aliyeabudiwa na wakristu anafanana nini na wa Muhammad
6. Wangu ni ujinga na chuki kwa muktadha upi? Thibitisha kama sijui nilichoandika
7. Kwanini nilichoandika kiwaumize waislamu?
Sawa bainisha hapo chuki iko wapi kashfa iko wapi na uongo uko wapiB
Binafsi siumii na maandiko yako, ila huwa sipendi kuona mtu anajaribu kuwaeleza watu kuhusu jambo fulani then ndani yake alete uongo au maneno yenye kuashiria chuki na kashfa dhidi ya wengine!
Ni ilaah na sio illah,Allah ni
Allah ni jina la Mungu wa Waislamu.
Mungu kwa kiarabu ni illah.
Kwani ukipata muda kwanda kuuliza msikitini utakosa nini?
Una haraka gani
Huyo kwani ni Dr. wa lugha ya kiarabu.
"La illah" = hakuna Mungu
"Ila Allah" = Isipokuwa Allah.
Haya ni maneno ya mwanzo ya shahada yenu ya Kiislamu.
Inaishia na
"Muhammadi rasul illah"
Na muhamadi ni mjumbe wa Mungu.
Umeziona illah mbili hapo ?
Zikimaanisha neno Mungu?
Shahada yenu inatamka neno Mungu mala mbili, na kumtaja Allah mala moja.
Wewe ulienda shule kweli ?
Injili ipi kati ya mathayo, Marko, Luka na Yohana imemtabiri MuhammadInjili haijamtabiri Mungu bali imetabiri muhammad, na kama unadhani Muhammad ni Mungu wa waislamu basi kwa hilo umekosea, muhammad si Mungu bali ni mtume wa mwenyezi Mungu aliyeletwa kuwaongoza viumbe na kuwafundisha kuhusu Mungu mmoja naye ni mfautilizi wa mitume waliotangulia kabla yake kama Mussa, Haroun, Yakoub, Is-haq, Yunus, Nuh, Issa(yesu) na wengineo.
Hivyo sio vitabu vya injili ya Mungu aliyompa yesu, bali ni maneno ya hao uliowataja na ndio maana hata huyo yesu mwenyewe havitambui hivyo vitabu!Injili ipi kati ya mathayo, Marko, Luka na Yohana imemtabiri Muhammad
Issa sio Yesu
Mungu wangu anaitwa AllahMungu wako jina lake ni nani ?
Au anaitwa Yehova?
Kama sio yeye taja jina la Mungu wako.
Kama hulijui basi ni vema uka kaa kimya
Ungemfahamisha huyo mwislamu mwenzako ambaye hajui maana ya Allah na hiyo ilaah.Ni ilaah na sio illah,
Hilo ni neno la kiarabu.
Na maana ya ilaah mwenye kustahiki kuabudiwa na ndio maana hata firaun alitamka kwa ilaah akimaanisha yeye ndiye anayetakiwa kuabudiwa na wamisri wa wakati huo.
Acha kuandika usiyoyajua, utaumbuka!
Mjibu huyo mwislamu mwenzako ambaye hajui Allah ni nani wala illah nini ?Mungu wangu anaitwa Allah
Kwenye andiko lako hiliSawa bainisha hapo chuki iko wapi kashfa iko wapi na uongo uko wapi
Hapa uliandika nini, na kwa lengo gani????Allah ni mungu wa waarabu ndiyo maana huwezi kuwasiliana naye kama hujui kiarabu pia ni lazima unapotaja mungu kumlenga yeye hutaki Mungu kama Mungu hata kama lugha mama yako ina tafsiri ya neno Mungu sharti urejee neno Allah ili ijulikane ni yeye
Nakujibu na wewe usiyejua maana ya ilaah na illah!Mjibu huyo mwislamu mwenzako ambaye hajui Allah ni nani wala illah nini ?
Niliandika Mungu wa Waislamu anaitwa Allah.Kwenye andiko lako hili
Hapa uliandika nini, na kwa lengo gani????
Lete uongo wako wa kujitetea.