Mkuu fikiria kabla ya kuandika jambo swala la hizi maada za uwepo wa Mungu ni kati ya mada ngumu sana duniani, wewe unataka kujibu kama darasa la kwanza ndio maana niliacha kwanza kukujibu nikuone utafikia wapiKuelewa au kutokuelewa kunapimwa kwa hoja
Tatizo mkuu sikuelew unatoa vitu nje ya point mara tena hutaki kujadiliana mara Unarud hebu Chagua upande tujue moja kiongozi
Haujui au?Kupimika Daah 😅
Hii ni open discussion bwashee, unaweza kupita kimya kimya 🤠FANYA KILA LIWEZEKANALO UFUTE HUU UZI LAKINI BAADA YA HAPO USIRUDIE TENA KUSEMA HAYA MANENO
Kama Unaweza kuupima bila kuuona basi tunapima uwepo wa Mungu kwa Yale aliyoyafanya bila kumuonaHaujui au?
Sio kila tukionacho amekiumba hiyo ni totally wrong,Ndiyo ameumba vyote uvionavyo pamoja na mwanadamu
Katika "onus probandi" zingatia "an affirmative proposition"Hapana... Mtu anasema Mungu yupo... Wewe unasema Mungu hayupo. Wewe unayekuja kusema Mungu hayupo baada ya mwingine kusema Mungu yupo... Wewe ndiye mshtaki (Accusers) na aliyesema Mungu yupo ndiyo (Accused)
Kwa mfano wa Sasa wanaosema Mungu hayupo ni sawa na "Jamhuri" na wale wanaosema Mungu yupo ndiyo sawa na "Lissu"
Inawezekana kweli mwalimuSio kila tukionacho amekiumba hiyo ni totally wrong,
Wengi ni attention seeker kutafuta likes na kufurahia wakiona threads zao zinasonga page 2 to 6 so on ila deep down kwenye nafsi zao wanajua na wanaukiri uwepo wa Mungu.Vijana shetan anazid kuwapoteza, kuna siku inakuja mtajutia.
Huyu ni wewe you can't prove this....Nitamheshimu Mungu wangu na nitamkataa shetani mpaka kikomo cha pumzi yangu hapa duniani
Taja hizo athariKama Unaweza kuupima bila kuuona basi tunapima uwepo wa Mungu kwa Yale aliyoyafanya bila kumuona
Tuangalie ni kipi amefanya na athari zake kwenye ulimwengu usikimbilie yupo wapi wakati TUNAONA athari zake
Kwa nini unafikiri hivi??Wengi ni attention seeker kutafuta likes na kufurahia wakiona threads zao zinasonga page 2 to 6 so on ila deep down kwenye nafsi zao wanajua na wanaukiri uwepo wa Mungu.
Pia wanabebwa na upepo wa mitandao waonekane kichwani wako smart sana as longer as wanaamini na wameaminishwa kwamba ku-challenge uwepo wa Mungu ni jambo kubwa sana.
Wewe unae amini unatumia dhana gani kuthibisha yupo.Hivi msioamini kuwa kuna Mungu huwa mnatumia dhana gani kuthibitisha hilo ???
Subir kwanza niguse moja tatu tuje kujadiliana vizuri wakuu
Haya yote umeandika kwa manufaa ya nani?Wakuu, dalili za Mungu na swahiba wake Shetani kupoteza umaarufu waliokuwa nao imeanza kuonekana wazi wazi.
Kitendo Cha watu kumchana live mwenyezi Mungu kinathibitisha kuwa viumbe hawa wawili dhahania sasa muda wao wa kutamba unakaribia kwisha hapa duniani.
Naishia hapa Kwa sasa.
Wajanja wachache wamezivika personality na kuweka "ka chumvi " ka hofu ili agenda yao isihojiweMungu na Shetani ni ‘abstract concepts’ zinazowakilisha wema na uovu.
How elezea sijawahi ona mahali sayansi imekubali au kukataa science is agonistic to this...Mungu yupo na science imeprove uwepo wa MUNGU.
🙏
Utofauti wa jinsiaTaja hizo athari
Nimetaja athari zake hapo juu tuWewe unae amini unatumia dhana gani kuthibisha yupo.
Personally naelewa kwasababu hayupo life speaks a lot about this.
Umerudi kule kule tena , kwanini unafikiri chanzo chake ni Mungu?Utofauti wa jinsia
Utofauti wa wanyama na binadamu
Kuzama na kuchomoza kwa jua
Hizi zinatosha na kama ukiona ni athari ndogo niambie Chanzo chake nini ndugu mwanasayansi
Tena huenda wasingekuwepo tungekua mbali sana hasa sisi waafrika tumekuwa waoga kusubiri unyakuo badala ya kufanya tafiti za akiliHaya yote umeandika kwa manufaa ya nani?
Je wawepo au wasiwepo wewe unapungukiwa na nini?
Yote haya umeandika ili upate likes?
Kumbuka kaburini upo peke yako.
Hayupo kwa sababu hathibitiki kwa namna yoyote ile na hilo swala mpka leo limebaki kiimani tu , hapa umeelewa au nikutafsiria neno moja moja?Nimetaja athari zake hapo juu tu
zisome halafu niambie na wewe unatumia dhana gani kuthibitisha hayupo