Daah sasa kwanini unaniuliza mimi tu maswali we hujibuUmerudi kule kule tena , kwanini unafikiri chanzo chake ni Mungu?
Watu dhaifu na waliopandikizwa woga na story za uwongo ndio wanaokiri uwepo wa mungu kwenye nafsi zao mkuu.Wengi ni attention seeker kutafuta likes na kufurahia wakiona threads zao zinasonga page 2 to 6 so on ila deep down kwenye nafsi zao wanajua na wanaukiri uwepo wa Mungu.
Pia wanabebwa na upepo wa mitandao waonekane kichwani wako smart sana as longer as wanaamini na wameaminishwa kwamba ku-challenge uwepo wa Mungu ni jambo kubwa sana.
Hoja dhaifu sana ❌Hayupo kwa sababu hathibitiki kwa namna yoyote ile na hilo swala mpka leo limebaki kiimani tu , hapa umeelewa au nikutafsiria neno moja moja?
Maneno ya kukariri kutoka kwa vibabu vya kizungu "wamissionari "Niambieni kwanza ninyi mnaoamini uwepo wa mungu mlifanya utafiti wapi.
Haya maswali tulishajibu shuleni mbona ? , nikajua unayajua majibu yake ndio maana nikaamua ku skip tuDaah sasa kwanini unaniuliza mimi tu maswali we hujibu
Jibu hilo swali hapo juu halafu mwisho uliza hili swali lako bwashee
Mbona me nimejibu swali lako halafu nimeuliza la kwangu
Hapana... Anayesema hayupo kaja baadae. Siyo mtu alianza kusema Mungu hayupo ndiyo wengine wakapinga kuwa Mungu yupo.Anayesema hayupo.
Unaelewa maana ya imani ni nini?Hoja dhaifu sana ❌
Hili rungu lilikua zito mno linaeza ng'oa bandamaKiufupi ninyi mnaojifanya wachungaji, mapadre, mashekhe n.k mtaendea kuwadanganya wale wapumbavu waliopandikizwa mambo ya kipuuzi vichwani mwao Ili mpate kula.
Sasa na mimi nikwambie haya maswali tumejibu shuleni mbona mjadala utahamia kukumbushia majina ya walimu wetu bwasheeHaya maswali tulishajibu shuleni mbona ? , nikajua unayajua majibu yake ndio maana nikaamua ku skip tu
Ndio maana nikakuuliza kwa nini wewe unahisi ni mungu?
1. Kwa manufaa yunu mnaodanganywa Kila siku kuwa Kuna mungu na shetani.Haya yote umeandika kwa manufaa ya nani?
Je wawepo au wasiwepo wewe unapungukiwa na nini?
Yote haya umeandika ili upate likes?
Kumbuka kaburini upo peke yako.
Ficha upumbavu wako.1. Kwa manufaa yunu mnaodanganywa Kila siku kuwa Kuna mungu na shetani.
2. Kama hutaki kunipa like unanipa kama hutaki unaacha maana haziniongezei chochote.
3. Wala sijaja kumtafuta mtu wa kuwa naye kaburini kupiga naye story.
Imani ni kuamini uwepo wa kitu bila hata kukionaUnaelewa maana ya imani ni nini?
Kwa upande wangu I know life ya viumbe imetokana na nature, na Dunia haijawahi kuongezeka since appearing yake. Kuna concept nyingi zimejaribu kueleza mwanzo wa dunia but all tunaishia kuona ni nadharia na zina uthibitisho na negative side ya kila moja meaning that neither any theory nor faith zimethibisha hili.Nimetaja athari zake hapo juu tu
zisome halafu niambie na wewe unatumia dhana gani kuthibitisha hayupo
Utofauti wa jinsiaSasa na mimi nikwambia haya maswali tumejibu shuleni mbona mjadala utahamia kukumbushia majina ya walimu wetu bwashee
Haupo serious
Kiumbe binadamu,akiulizwa yeyote hapa anayesema Mungu hayupo aiamuru science imthibitishie kwamba ataamka salama kesho aende salama kazini mambo yawe kama yalivyokuwa leo hawezi kupata jibu,hata sekunde kumi mbele sayansi haiwezi kumwambia kitakachomkuta.Kwa nini unafikiri hivi??
Waache waliwe kiulani na akina Mwamposa na Kakobe. Mtu asiyetaka kuushughukisha ubongo wake huamini Kila anachoambiwa na yule anayempenda /anayemwamini.Maneno ya kukariri kutoka kwa vibabu vya kizungu "wamissionari "
Wafuasi wa Kiranga mna maneno yaleyaleHana uwezo wa kusamehe kwa maana hayupo. Ni Ombwe.
Na uthibitisho ni nini?Imani ni kuamini uwepo wa kitu bila hata kukiona
Ila kutokana na unavyoona matokeo yake unaamini lazma kutakuwa na chanzo
Wajinga ndio waliwao.Hili rungu lilikua zito mno linaeza ng'oa bandama