Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kwa mfano ukiambiwa kwenye kesi ya mauaji kuwa uthibitishe kuwa hukuwepo eneo la tukio, jibu lako litakuwa kwa kuwa hukuwepo eneo la tukio basi huwezi kuthibitisha kuwa hukuwepo kwa kuwa hukuwepo?Kitu ambacho hakipo unakithibisha vipi?
Bro ukifa unakuwa mbolea usaidie viumbe wengine wa exist, udongi unapata rotuba na mimea inakuwa wewe Kuna uwezekano ni product ya vilivyo exist millions of years back sasa hili suala la moto linatoka wapi, Dunia haijawahi kuongezeka uzito kwa watu kuzaliana meaning that hata tuzaliane kivipi population itakuwa kubwa ila uzito wa dunia upo pale sasa kwa mantiki hii vinavyokufa ndio vinavyosaidia vitu vipya vitokee la si hivyo kusingekuwa na maisha after a certain generation.Mawazo yako ya kijinga kama wahindu.
Wahindu mtu akifa wanamchoma moto kisha majivu wanatupa baharini ila wao wakose na Mungu naye akose.
Ila wasichokijua wao uwezo wa Mungu ni mkubwa ,hayo majivu yanakusanywa na mtu kamili anapatikana na tabu itakuwa ipo pale pale.
Sijasema kuchomwa moto mimi nimesema vipi huyo mtu akiliwa na simba? Maana yake huyu mtu ataliwa na mwili wake utapitia mchakato wa kumeng'enywa tumboni mwa Simba na atatoka kama kinyesi tu. Vipi Mungu atakusanya kinyesi cha Simba na kumuunda tena kuwa mtu kamili? Na kama ataliwa mbugani unajua Simba hawezi kula peke yke anaweza kuliwa na Simba mmoja au kundi na mabaki yake yakaliwa na wanyama wengine kama fisi. Unachokisema tunaomba basi utupe kaushahidi kidogo kwamba Mungu anakusanya huo mwili wa mtu anaufanya tena mwili anauzika huko kaburini ili aanze kuupa adhabu.Mawazo yako ya kijinga kama wahindu.
Wahindu mtu akifa wanamchoma moto kisha majivu wanatupa baharini ila wao wakose na Mungu naye akose.
Ila wasichokijua wao uwezo wa Mungu ni mkubwa ,hayo majivu yanakusanywa na mtu kamili anapatikana na tabu itakuwa ipo pale pale.
Una akili timamu?Sijasema kuchomwa moto mimi nimesema vipi huyo mtu akiliwa na simba? Maana yake huyu mtu ataliwa na mwili wake utapitia mchakato wa kumeng'enywa tumboni mwa Simba na atatoka kama kinyesi tu. Vipi Mungu atakusanya kinyesi cha Simba na kumuunda tena kuwa mtu kamili? Na kama ataliwa mbugani unajua Simba hawezi kula peke yke anaweza kuliwa na Simba mmoja au kundi na mabaki yake yakaliwa na wanyama wengine kama fisi. Unachokisema tunaomba basi utupe kaushahidi kidogo kwamba Mungu anakusanya huo mwili wa mtu anaufanya tena mwili anauzika huko kaburini ili aanze kuupa adhabu.
Jamaa yupo sawa wewe ndio unashindwa kutetea point yako....🤔Una akili timamu?
Soma tena nilichokiandika kuhusu wahindu.
Kama hujaelewa hapo ulipo tafuta mtu unayemuona ana akili timamu akusaidie kukuelewesha.
Ebo! Sasa mimi na wewe nani yuko timamu?Siyo Wewe unaeletea nadharia yako hapa kwamba Mungu anakusanya jivu kuufanya mwili tena.By the way mimi nilitoa mfano wa Simba, sasa haya tuambie hayo majivu akishakusanya anaenda kuyazika wapi yakiwa kama mwili? vipi ni kwa taratibu zilezile mzifuatazo kwenye mazishi au anauchimbia shimo tu anauzika huko kaburini? Tupe ushahidi wa jambo hilo la Wahindu kuchoma mwili wa mtu na ukusanyaji wa majivu yake na Mungu kwaajili ya mwili upya na unafikaje huko kaburini.Una akili timamu?
Soma tena nilichokiandika kuhusu wahindu.
Kama hujaelewa hapo ulipo tafuta mtu unayemuona ana akili timamu akusaidie kukuelewesha.
Ukiona mtu anaanza kukutoa akili badala akueleweshe tu vizuri mtu uelewe ujue kaanza kushindwa. Jambo la kujadiliana vizuri anakutoa akili.Jamaa yupo sawa wewe ndio unashindwa kutetea point yako....🤔
Mungu alimuacha samson anyone anyolewe nywele, akamuacha yes ajaribiwe na shetani paomja na kuteswa na wayahudi, aliwaacha wana wa Israel wateseke kwa miaka 40....we unazungumzia Palestine tu. There's God...a living God. You all motherfuckers who says There's no it's because you have gone through a lot and you expected God to be there and makes everything easy for you. Fu-ck youNaked truth
Mungu angekuwa yupo asinge waacha wapalestina na waisrael wauwane miaka nenda Rudi
Ina maana huyo mungu anape da kuona damu za watu zikimwagika huku wengine wakipata vilema vya kudumu maishani mwao na watoto wakibaki kuwa mayatima wakati yeye yupo tu anatizama kama yupo na anatizama tu wakati uwezo wakufanya pande hizo mbili ziache kupigana basi huyo mungu atakuwa ni katili sana kuliko hata Magaidi
Harmful
Vipi wewe kwa upande wako ukimkuta mtu anamuua mtoto au anambaka mtoto ambae hawezi hata kujitetea mwenyewe. Vipi utaacha na kuangalia anachofanyiwa mtoto huyo hali ya kuwa wewe unao uwezo wa kumuokoa kwenye huo ukatili uanao ushuhudia mbele yako?Mungu alimuacha samson anyone anyolewe nywele, akamuacha yes ajaribiwe na shetani paomja na kuteswa na wayahudi, aliwaacha wana wa Israel wateseke kwa miaka 40....we unazungumzia Palestine tu. There's God...a living God. You all motherfuckers who says There's no it's because you have gone through a lot and you expected God to be there and makes everything easy for you. Fu-ck you
Kwani mtoto akibakwa au kuuawa tatizo ni nini?Vipi wewe kwa upande wako ukimkuta mtu anamuua mtoto au anambaka mtoto ambae hawezi hata kujitetea mwenyewe. Vipi utaacha na kuangalia anachofanyiwa mtoto huyo hali ya kuwa wewe unao uwezo wa kumuokoa kwenye huo ukatili uanao ushuhudia mbele yako?
Ndivyo jibu lako linapaswa kuwa kama hukuwepo, hao wachunguzi/wanaoshitaki au kutuhumu wao ndio wanaopaswa kuwasilisha ushahidi unaothibitisha ulikuwepo eneo la tukio. Ukijidai kiherehere kuanzia kutoa maelezo mengi kwamba ni ushahidi hukuwepo eneo la tukio uwezekano wa kujichanganya ni mkubwa sana na unaweza kufungwa hata kwa jambo ambalo hauhusiki nalo.Kwa mfano ukiambiwa kwenye kesi ya mauaji kuwa uthibitishe kuwa hukuwepo eneo la tukio, jibu lako litakuwa kwa kuwa hukuwepo eneo la tukio basi huwezi kuthibitisha kuwa hukuwepo kwa kuwa hukuwepo?
Kwako unaona hakuna tatizo? Kwako kuuwa au kubaka watoto hakuna shida yoyote? Ni tatizo sababu kubaka kwa muktadha huu ni kutendo cha kumuingilia mtu kingono kwa nguvu bila rudhaa yake au makubaliano so kwa mtoto pia ambae hawezi hata kujitetea na hasa viungo vyake havijawa tayari kwa jambo hilo unaona ni sawa?? Hata kuua pia ni jambo la kumuondolea au kukatiza uhai wa mtu kwa makusudi kabisa au kwa njia isiyo halali maana yake unamnyima au unakatisha haki ya msingi ya mtu kuishi. Wewe kwako hili ni sawa? Vipi sheria za dini za kimaadili zinasemaje kwenye imani yako kuhusu kuua au kubaka? Vipi sheria za nchi zinasemaje kuhusu hivyo vitendo? Je, ni halali? Karibu mkuu unipe elimu.Kwani mtoto akibakwa au kuuawa tatizo ni nini?
Hakuna tatizo... Kigezo kwamba ni tatizo wewe umekipata wapi? Akifa ndiyo inakuwa mwisho wake na akipona ni bahati yake.Kwako unaona hakuna tatizo? Kwako kuuwa au kubaka watoto hakuna shida yoyote?
Swala si kufa swala ni kitendo anachofanyiwa kupelekea umauti ni sawa? Vipi wewe ukikuta hutookoa awe mkeo,mamaako au mwanao kwa sababu tu wakifa hamna tatizo ndo watakuwa washakufa? Au wewe waweza kufanya hivyo vitendo kwa roho safi tu?Anza na ndugu zakoHakuna tatizo... Kigezo kwamba ni tatizo wewe umekipata wapi? Akifa ndiyo inakuwa mwisho wake na akipona ni bahati yake.
Watu kufa tu tayari hapo zile sifa za Mungu mwenye Upendo wote na nguvu zote mashaka yanaanza 🤣Na rika lako waliokufa na wewe uliye hai haitoshi kukuonyesha Mungu alikuwapo, yupo na ataendelea kuwepo?
Kwa nini niwaokoe?Swala si kufa swala ni kitendo anachofanyiwa kupelekea umauti ni sawa? Vipi wewe ukikuta hutookoa awe mkeo,mamaako au mwanao kwa sababu tu wakifa hamna tatizo ndo watakuwa washakufa? Au wewe waweza kufanya hivyo vitendo kwa roho safi tu?Anza na ndugu zako
Lini anakuja 🤣nakaribu Yesu anakuja kwa mapambano.Hili usilisahau.
Kwa sababu kitendo wanachofanyiwa si haki, kama ni kuua mtu anakatisha uhai wao kwa makusudi kama kubakwa basi mtu anawaingilia kwa nguvu bila wao kukubaliana nae. Vipi wewe unaweza kumfanyia mamaako hivyo vitendo? Ubake au umuue maana vitendo hivyo ni vizuri tu kwa mtizamo wako.Kwa nini niwaokoe?