Nikajua umepata uthibitisho wa uwepo wa MunguKwishaaaaaaaaaaa
Hii ndio sabbu ya mimi kukukataaYaani tupo hapa usiangalie ya nyuma
Tujadili hapa huwezi kunifunga kisa wanyuma wali sema hivi
Mada inalenga kutokuwepo kwa Mungu Leta hoja inayosema Mungu hayupo
Kwani yupo? Kama yupo yuko wapi?Me sijui mkuu
Ila Nina swal kwako kutokujua asili yake inaweza kupinga uwepo
Unajichosha kwa mtu anae jifanya haelewi kwa makusudi kabisa , hizi ruka ruka za kukosa uthibitisho wa hayo madai yaoAnayepinga hahitaji kutoa sababu. Ukisema kuna Sungura anayeongea unatakiwa umlete huyo Sungura aongee au ushahidi clip au watu walioshuhudia huyo Sungura akiongea n.k Huwezi kumuambia anayebisha uwepo wa Sungura mzungumzaji akupe ushahidi, huko ni sawa na kuchanganyikiwa.
Kwa mfano huyo sungura wako haongei na wewe unasema haongei na sisi tunasema anaongeaAnayepinga hahitaji kutoa sababu. Ukisema kuna Sungura anayeongea unatakiwa umlete huyo Sungura aongee au ushahidi clip au watu walioshuhudia huyo Sungura akiongea n.k Huwezi kumuambia anayebisha uwepo wa Sungura mzungumzaji akupe ushahidi, huko ni sawa na kuchanganyikiwa.
Shida yako ndiyo hapo staki natakaNikajua umepata uthibitisho wa uwepo wa Mungu
Vipi kuhusu intersex?Nakuthibitishia na point zaidi ya Mia
Ila nakupa moja utofauti wa mwanamke na mwanaume
Huu utofauti unaonesha kuwa kuna ambaye amedesign hili na kuumba Kwamba kuwe na binadamu ila jinsia tofauti
Kwamba bwana secretarybird utofauti wako na mwanamke Unaweza kusema ni nini kimetokea ni bomu au 🤔
Kama umekataa kisa ulijadiliana na wengine sawa ujakatazwa ila kama unataka kujadiliana na mimi Leta hoja jibu hojaHii ndio sabbu ya mimi kukukataa
ni uoneshe upepo nikuoneshe MunguKwani yupo? Kama yupo yuko wapi?
Mwambie akija kwenye mapambano mi nitakua mtunza silahanakaribu Yesu anakuja kwa mapambano.Hili usilisahau.
Siwezi anzisha huo mjadala ingali kila MTU tayari kaamua kuchagua upande wake.Niambieni kwanza ninyi mnaoamini uwepo wa mungu mlifanya utafiti wapi.
Umeona hapo kwenye hizo jinsia ndiyo unathibitisha kuwa kuna ambaye ameumba hivyoVipi kuhusu intersex?
Unajua inawezakana kabisa hauelewi unachokizungumza kabisa au unafanya makusudi kutoelewa ndio maana kabla ya kujibu maswali yako ni muhimu kujua kwanzaKama umekataa kisa ulijadiliana na wengine sawa ujakatazwa ila kama unataka kujadiliana na mimi Leta hoja jibu hoja
Yani mimi sitaki nataka kwako , kuna namna haujafikiri vizuri nadhaniShida yako ndiyo hapo staki nataka
Ukisema tuendelee kujadiliana uache Kona Kona leta hoja ujibiwe kama wenzako bwashee
Kuelewa au kutokuelewa kunapimwa kwa hojaUnajua inawezakana kabisa hauelewi unachokizungumza kabisa au unafanya makusudi kutoelewa ndio maana kabla ya kujibu maswali yako ni muhimu kujua kwanza
KwishaaaaaaaaaaaYani mimi sitaki nataka kwako , kuna namna haujafikiri vizuri nadhani
Ona na hii upepo una pimika kisayansi kabisa, ndio maana naona kuna vitu vigumu unajibu kiurahisi sna nashindwa hata nikuweke kundi gani 🤔ni uoneshe upepo nikuoneshe Mungu
Kupimika Daah 😅Ona na hii upepo una pimika kisayansi kabisa, ndio maana naona kuna vitu vigumu unajibu kiurahisi sna nashindwa hata nikuweke kundi gani 🤔