Elewa kwanza apo Allah hajui utatu ni nini , ameelezea kwa kupotoshaNimekwambia umalizie iyo Aya mbona humalizii
hlf kwenye Uislamu hatuna utatu wala uwili sisi ni Mungu ni mmoja tuu
Ndio ni kweli kwamba wakristo wanaamini Mungu zaidi ya mmoja ila hawatumii neno miungu kui referSasa nani anapoza wakristo wenyewe au nani? Ndio maana nilikuuliza kuwa je wakristo wanaamini miungu mingi kwamba kuna Mungu zaidi ya mmoja? kwa sababu wenyewe wanaamini Mungu mmoja ana nafsi tatu na si miungu mitatu tofauti na sumerian au wahindi wao hawana hicho kinachoitwa utatu bali wanaamini katika miungu mingi.
Nje ya hiyo imani ya utatu tunaweza kusema ni miungu mitatu, ni muhimu kuzingatia hapo.
Ujinga ni mzigo mkubwa hivi ambao unaubeba kichwani mwako huku ukitembea nao ukijiona una akiliElewa kwanza apo Allah hajui utatu ni nini , ameelezea kwa kupotosha
Umekalia akili au
Mkuu kumbuka hiyo ni imani na hivyo ndivyo wanavyomuelezea Mungu wao kuwa ana nafsi tatu kwa maana Baba Mwana na Roho, hivyo ndivyo wanavyomuelezea Mungu kwa jinsi wanavyoamini wao.Ndio ni kweli kwamba wakristo wanaamini Mungu zaidi ya mmoja ila hawatumii neno miungu kui refer
Wakristo wanaamini Mungu baba, Mungu mwana na Mungu roho
Sumerian pia kuna Mungu baba, na Mungu mwana kasoro tu huyo mungu roho ndio hayupo
Kwanini sumerian wahesabike waaabudu Miungu kwasababu wanaabudu Mungu zaidi ya mmoja wakati upande mwingine katika mazingira haya haya wanaabudu Mungu zaidi ya mmoja na hawawi considered kama waabudu miungu?
Kwani Sumerian wapi wameelezea kwamba wanaabudu miungu, maana wewe umewaita waabudu miungu?Mkuu kumbuka hiyo ni imani na hivyo ndivyo wanavyomuelezea Mungu wao kuwa ana nafsi tatu kwa maana Baba Mwana na Roho, hivyo ndivyo wanavyomuelezea Mungu kwa jinsi wanavyoamini wao.
Wewe ndio umeleta hoja ya kwamba hatuwatambui wakristo kuwa wanaamini na kuabudu miungu na ndio ukaleta huo mfano wa hao sumarian.Kwani Sumerian wapi wameelezea kwamba wanaabudu miungu, maana wewe umewaita waabudu miungu?
Na ni wewe ambaye umesema dini zote zinaabudu Mungu mmojaWewe ndio umeleta hoja ya kwamba hatuwatambui wakristo kuwa wanaamini na kuabudu miungu na ndio ukaleta huo mfano wa hao sumarian.
Labda tu huzingatii mkuu ila sikuwa nasema kila dini au dini zote zinaabudu Mungu mmoja, mara zote nimekuwa nikirudia kusema kuwa Mungu anayekusudiwa ni mmoja. Nilisema kabisa kuwa wakristo na waislamu ukiwasoma vizuri utagundua kuwa huyo Mungu wanayemkusudia ni mmoja kwamba ndiye muumbaji wa huu ulimwengu ila japo wana maelezo tofauti kumuhusu huyo Mungu ila wanakusudia kitu kimoja na nikasema huo ni kwa mtazamo wa nje wa hizo dini.Na ni wewe ambaye umesema dini zote zinaabudu Mungu mmoja
Lakini nilipokuoneshea dini ya Sumerian ukabadili gia na kusema hao wanaabudu miungu kwasababu kuna mungu zaidi ya mmoja
Hapo ndio nikaja kwa wakristo kukuoneshea kwamba mbona hata hao wakristo wana abudu Mungu zaidi ya mmoja, lakini bado hamuwaweki kwenye kundi la waabudu miungu
Ukaniuliza "kwani wao wakristo wanajielezea kwamba wanaabudu miungu" nikajenga hoja kupitia kauli yako uliyosema hatupaswi kuangalia misimamo yao maana hatuwezi kujua ukweli na tukifanya hivyo basi tutasema kila dini na miungu inayoabudiwa ni ya kweli
Kama nakuelewa hiviLabda tu huzingatii mkuu ila sikuwa nasema kila dini au dini zote zinaabudu Mungu mmoja, mara zote nimekuwa nikirudia kusema kuwa Mungu anayekusudiwa ni mmoja. Nilisema kabisa kuwa wakristo na waislamu ukiwasoma vizuri utagundua kuwa huyo Mungu wanayemkusudia ni mmoja kwamba ndiye muumbaji wa huu ulimwengu ila japo wana maelezo tofauti kumuhusu huyo Mungu ila wanakusudia kitu kimoja na nikasema huo ni kwa mtazamo wa nje wa hizo dini.
Hapana kwa sababu haiwezekani ikawa jinsi Mungu anavyoelezwa labda na wakristo ambapo ni tofauti na anavyoelezwa na waislamu halafu tukasema wote wapo sahihi ijapokuwa wote wanamkusudia mmoja ila wanamueleza tofauti na hivyo hufanya kuwa na maelezo yamuhusuyo Mungu (mkudiwa) ambayo si sahihi na ambayo ni sahihi.Kama nakuelewa hivi
Ulisema wanakusudia Mungu mmoja ambaye ndio muumbaji, kwa mantiki hiyo nitakua sahihi kusema ulimaanisha kila Mungu wa dini ambaye ametajwa kama muumbaji unamhesabu kama Mungu mmoja ambaye unamuabudu wewe?
Free Mason wanaeleza kuwa kuna Mungu mkuu mmoja wa upendo.
Mungu wa kweli hakuzaa wala hakuzaliwa hafanani na kitu chochote kile mungu huyu pia hana jina .ukiona dini mungu wafuasi wake wanahadi sura yake wanavisanamu vyake hiyo dini ina walakini sana ..kitendo cha mungu kufananana na binadam ni kumtia hudhaifu huyo mungu .mungu kwanza haonekani .hawa wanaoabudu miungu wanao fanana na binadam kesho wataulizwa huko .
Jibu hilo apoHivi mungu wa koran anasema mwenyewe hakuzaa au anasemewa?
Jibu hilo apoView attachment 2151000
Mmh[emoji848][emoji848][emoji848]Yeye mwenyezi mungu?
Hivi mungu wa koran na malaika wake jibril wameshawahi kuongea na maswahaba wa Muhammad
mbona hueleweki untka nn wwYeye mwenyezi mungu?
Hivi mungu wa koran na malaika wake jibril wameshawahi kuongea na maswahaba wa Muhammad
Hata muislam anamtukuza zaidi Muhammad kuliko Allah jaribu kuchunguza utakubaliana nami.Mkristo anaamini Mungu wake ni Yesu/Yesu ni mwana wa Mungu na Mungu kawaumba kwa mfano wake na huyo yesu wanaweza kumuomba msamaha akawasamehe, na Yesu ndie anatetukuzwa sana katika ibada watu wanaomba kwa jina lake
Muislam anaamini Mungu wake ni mmoja tu hajazaa wala hajazaliwa na hakuna anae fanana nae hata mmoja na huyo Mungu ndo anafaa kutegemewa na kuombwa msaada, Na anaetukuzwa ni huyo Mungu tu ndo anaombwa kwa jina lake pekee.
Mkristo na Muislam Hao hawaamini kitu kimoja