Mwizi anajitengenezea ushahidi wa kujitetea , yaani unatumia kitabu cha kitapeli hicho quran kuthibisha utumbo wako? Kila kitabu kijisemee upande wake .quran haiwezi kuthibitisha biblia sababu quran imekuja miaka 600 baada ya ukristoEnyi mlio amini! Hakika wengi katika makuhani na wamonaki wanakula mali za watu kwa baat'ili na wanazuilia Njia ya Mwenyezi Mungu. Na wanao kusanya dhahabu na fedha, wala hawazitumii katika Njia ya Mwenyezi Mungu, wabashirie khabari ya adhabu iliyo chungu.
~Quran 9:34
Kuzaa na kuzaliwa sio sifa ya udhaifu. Kuzaa ni kuleta uhai duniani, hii itakuaje ni sifa ya udhaifu??kuzaa na kuzaliwa ni sifa za udhaifu...Mungu ametakasika juu ya kila sifa yenye upungufu.
Ndio maana sisi viumbe tunalala, tunachoka, tunakula, tunakwenda haja n.k ila yeye hahitaji hayo..masna yeye ni mkamilifu na mtakatifu
Kwahiyo wayahudi wana haki ya kuikataa injili kwasababu tu Musa alikuja na Torati iliyoitangulia injili kwa zaidi ya miaka 2000?Mwizi anajitengenezea ushahidi wa kujitetea , yaani unatumia kitabu cha kitapeli hicho quran kuthibisha utumbo wako? Kila kitabu kijisemee upande wake .quran haiwezi kuthibitisha biblia sababu quran imekuja miaka 600 baada ya ukristo
Tafuta pesa ufala wa dini usikuchanganye, mataifa yaliyo endelea hayana ujinga huoKwahiyo wayahudi wana haki ya kuikataa injili kwasababu tu Musa alikuja na Torati iliyoitangulia injili kwa zaidi ya miaka 2000?
Kuzaa,kuzaliwa na kufa hizi ni sifa zenye udhaifu.Kuzaa na kuzaliwa sio sifa ya udhaifu. Kuzaa ni kuleta uhai duniani, hii itakuaje ni sifa ya udhaifu??
Hata hivyo mungu wako unayamzungumzia wewe hapo ni kwa mujibu wa kitabu chako cha Quran, jamii tofauti duniani zimekuwa zina dhana mbalimbali tofauti kuhusu mungu/miungu na huwezi ukasema dhana yako tu ndio sahihi kwa sababu huna uthibitisho wowote.
Kwa miaka zaidi ya 11,000 watu wamekuwa wakiijua miungu yao mbalimbali kwa tafsiri zao, miaka 4,000 Wayahudi wakaja na dhana yao ya mungu mmoja anayeitwa Yehova, miaka 2,000 iliyopita Wakristo wakaja na dhana yao ya Mungu mmoja aliye na mwana wa pekee, miaka 1,400 iliyopita Muhammad akaja na dhana yake ya mungu mmoja asiye na mwana akiwapinga Wakristo.
Kila dini ni ukweli kwake anayeiamni, dini sio kama Sayansi au hesabu ambapo kunakuwa na ukweli mmoja tu popote duniani mfano maji ni mchanganyiko wa Hydrogen mbili na Oxygen au 1+1=2 popote duniani.Mungu amehimiza tusome ili tupate kuutambua ukweli
Pesa ambazo ukifa huzikwi nazo?Tafuta pesa ufala wa dini usikuchanganye, mataifa yaliyo endelea hayana ujinga huo
Kwa nini kuzaa na kuzaliwa ni sifa zenye udhaifu?Kuzaa,kuzaliwa na kufa hizi ni sifa zenye udhaifu.
Mungu hawezi kuzaliwa au kuwa zaidi ya mmoja maana lazima kungekuwa na ushindani...kila mungu angetaka kumiliki alichokiumba...Common sense tu
Dhumuni la sisi kuumbwa na Mungu na kuletwa hapa duniani ni kujaribiwa. Mungu ametuumba ili atujaribu kuona ni kina nani watamuamini na kutenda matendo mema na nani watakufuru...kisha mwisho ameweka malipo kwa kila watu...Kama ulimuamini na ukatenda mema atakuzawadia PEPO na kama ulimkufuru n ukatenda maovu pia atakuzawadia MOTO.
Upo sawa hata Mungu amesema hiviKila dini ni ukweli kwake anayeiamni, dini sio kama Sayansi au hesabu ambapo kunakuwa na ukweli mmoja tu popote duniani mfano maji ni mchanganyiko wa Hydrogen mbili na Oxygen au 1+1=2 popote duniani.
Mtu anayezungumzia ukweli kwenye dini ni mjinga tu, kwenye dini zungumzia Imani tu na imani huwa haina sababu bali ni hisia na utamaduni tu.
Kutukoamini dini yako sio upotofu, ni kwa sababu mtu hakuzaliwa kwenye hiyo dini au hana hisia, vibes na hiyo dini.Upo sawa hata Mungu amesema hivi
Quran 2:256
" Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua."
Mbona wewe kutwa unajadili mambo ya Yanga na Zuchu kupata mtoto wakati bado ni masikini??Watz mkishiba mihogo kahawa na bagia mnakuja kujadili udini. Wakati mna maisha magumu umasikini hadi matakoni na bado mna majini yanawasumbua. Huo muda si mngekaa vibalazani mjadili namna ya kupata pesa
Kuzaa na kuzaliwa ni sifa zenye upungufu kwa misingi hiiKwa nini kuzaa na kuzaliwa ni sifa zenye udhaifu?
Quran 45:23Kutukoamini dini yako sio upotofu, ni kwa sababu mtu hakuzaliwa kwenye hiyo dini au hana hisia, vibes na hiyo dini.
Siwezi kukulazimisha uamini ninachokiamini kwasababu Mungu anasemaLol. Hata binadamu timamu hawezi kuwa insecure and senseless kiasi hiki.
1. Una uthibitisho gani kwamba vyote vilivyozaliwa havikuwepo kabla? Mungu kama ana nguvu zote hawezi kugeuka kiumbe cha kuzaliwa?Kuzaa na kuzaliwa ni sifa zenye upungufu kwa misingi hii
1.Chochote chenye kuzaliwa inamaana ya kuwa hakikuwepo kabla..hivyo huo ndio mwanzo wake na kinategemea wale waliokizaa...so huu ni udhaifu tayari...mfano mzuri Yesu (Isa) mwana wa Mariam. Alizaliwa na kuzaliwa kwake alikuwa akimtegemea Mariam katika ukuaji wake kwa maana ya kunyonya maziwa ya mama yake, alikuwa akijisaidia kama watoto wengine hivyo akimtegemea mama yake amsafishe, alikuwa akibembelezwa ili apate kulala n.k....So haimpasii Mungu hii sifa ya kuzaliwa. Ukimnasibisha Mungu na kuzaliwa ni sawa na umemtusi matusi makubwa sana.
2-Chenye kuzaliwa ni lazima kiwe na mwisho. Kwa maana ya kufa...so Mungu hawezi kufa..so chochote chenye kufa( kuwa na mwisho) hakiwezi kuwa Mungu. Mungu yu hai nyakati zote na yeye ndiye aliyeumba umauti (Kifo)
3- Mabadiliko ya ukuaji, kinachozaliwa huwa ni kidhaifu kwa maana hakiwi katika ukamilifu katika hatua za awali katika ukuaji wake..mfano ni binadamu huzaliwa akiwa mtoto mchanga asiyejua chochote na kadiri muda unavyosonga anabadilika kimaumbile kwa maana ya kukua...so hii ni sifa yenye upungufu..haimpasi Mungu kuwa na sifa hii maana YEYE ni mkamilifu mno.
4-Tunazaana ili kuendeleza kizazi cha binadamu...kwamaana tunaacha watakaoturithi baada ya kufa. Mungu hahitaji kuzaa ili aache mrithi .
Pia tunazaana kama njia ya kupunguza nishati mwilini kwa maana tunakula na kushiba kila siku hivyo manii ni lazima zitoke na zinapotoka ndio hupelekea mimba na vizazi vingine kutokea.
Imejengwa na nani?Hii system imejengwa na nani? Je imetokea tu kwa bahati mbaya??
Dhumuni la wewe kuletwa hapa duniani ni lipi?Naamini kuwa asilimia kubwa ya wanaadamu wanaishi hapa duniani wakiwa hawajui dhumuni la kwanini wameletwa hapa duniani.
Wengi wanaishi kama wanyama tu, kwa kula,kunywa , kuzaana na mwisho kufa.
Yaani kula,kunywa,kuzaana,kutafuta mali na mwisho kufa ndio watu wengi hudhani wameumbwa kwa ajili ya hayo.
Ila kamaa utakuwa ni deep thinker ukautazama huu ulimwengu kwa jicho la tafakari ni lazima utajua kuwa hatukuumbwa na kuletwa hapa duniani bure. Lazima kuwe na lengo maalumu..!
Hapa ndipo safari ya kumtafuta yule aliyetuumba inapoanza. Lazima tumjue huyu aliyeweka huu mfumo wa ulimwengu kwa tunaamka asubuhi tunaona jua limechomoza, jioni ikifika jua linazama, mwezi unachomoza tunapata kupumzika baada ya mihangaiko ya mchana kutwa. Mara tunaona mvua inanyesha, upepo unapuliza, mawingu yanakwenda...mimea inakua...!!
Hii system imejengwa na nani? Je imetokea tu kwa bahati mbaya??