MUNGU ni mmoja tu, hana mtoto, hakuzaa wala hakizaliwa wala hafanani na yeyote yule

MUNGU ni mmoja tu, hana mtoto, hakuzaa wala hakizaliwa wala hafanani na yeyote yule

Kama Quran inaongelea neno wakristo, ambao hata Yesu mwenyewe hakuacha watu wanaoitwa wakristo, basi hicho kimeandikwa miaka ya juu juu huko baada ya kristo na ukristo
Quran imetaja wayahudi (jews) na Manaswara (nazarenes) wale waliodai kufuata mafundisho ya Masihi Isa mwana wa Maryam mara baada ya kupaishwa na Mungu kwenda mbinguni. Quran imeteremshwa miaka 600 baada ya Mwana wa Maryam kupaishwa kwenda mbinguni
 
Kama hafanani na chochote kile wewe umejuaje kuwa kitabu " Chake" Kinatoka kwake kweli
Quran 2:2
" Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu,"

Quran 3:2-4

" Mwenyezi Mungu, hakuna mungu ila Yeye Aliye Hai, Msimamizi wa yote milele. Amekuteremshia Kitabu kwa haki, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake. Na aliteremsha Taurati na Injili, Kabla yake, ziwe uwongofu kwa watu. Na akateremsha Furqani (Upambanuo). Hakika walio zikanusha Ishara za Mwenyezi Mungu watakuwa na adhabu kali. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye kulipa."
 
Kiongozi ndio umekimbia nilichouliza?
 
Ni mmoja na anawatoto, hata wewe ni mtoto wake.
Quran 4:171

" Enyi Watu wa Kitabu! Msipite kiasi katika dini yenu, wala msimseme Mwenyezi Mungu ila kwa lilio kweli. Hakika Masihi Isa mwana wa Maryamu ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na neno lake tu alilo mpelekea Maryamu, na ni roho iliyo toka kwake. Basi Muaminini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Wala msiseme: Utatu. Komeni! Itakuwa kheri kwenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mungu mmoja tu. Ametukuka Yeye na kuwa na mwana. Ni vyake Yeye vyote viliomo katika mbingu na katika ardhi. Na Mwenyezi Mungu ni Mtegemewa wa kutosha."
 
Kwahiyo hao watu wa kitabu wasipopita kiasi Mungu atawalipa nini?
 
Kwahiyo hao watu wa kitabu wasipopita kiasi Mungu atawalipa nini?
Soma vizuri hiyo aya...wasipopita kiasi kwa maana ya kuacha kusema Mungu yupo ktk utatu, Mungu ana mtoto(mwana) , Kisha wakamuamini Mungu na mitume yake yote kuanzia Adam mpaka Muhammad (pbuh) basi malipo yao yatakuwa ni Pepo (paradise)
 
Quran 4:171

" Enyi Watu wa Kitabu! Msipite kiasi katika dini yenu, wala msimseme Mwenyezi Mungu ila kwa lilio kweli. Hakika Masihi Isa mwana wa Maryamu ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na neno lake tu alilo mpelekea Maryamu, na ni roho iliyo toka kwake. Basi Muaminini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Wala msiseme: Utatu. Komeni! Itakuwa kheri kwenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mungu mmoja tu. Ametukuka Yeye na kuwa na mwana. Ni vyake Yeye vyote viliomo katika mbingu na katika ardhi. Na Mwenyezi Mungu ni Mtegemewa wa kutosha."
Qur an ni usenge wa Allah mkuu. Ni kichaa pekee anaweza kumwamini Allah.
 
ALLAH kwa lugha ya kiswahili ni MUNGU . Sasa unavyomtukana MUNGU sijui utakwenda kujibu nini mara baada ya kufa kwako
Allah ni mpumbavu tu mkuu wala sio Mungu, Mungu hawezikuwa fala kama Allah huyu anayesema jua linazamakwenye matope, huyu aliyeangalia usengé wa Muhammad kubaka mtoto mdogo.
 
Hii ndiyo imani sahihi juu ya Mungu.

Yeyote mwenye kudai kuwa Mungu yupo zaidi ya mmoja huyo ni Mshirikina.

Yeyote mwenye kudai Mungu ana mwana (Mtoto) ,jua kuwa huyo mtu amelaaniwa na amemkufuru Mungu.

Yeyote mwenye kudai Mungu amefanana na kiumbe au kitu chochote kile ,jua huyo mtu amemkufuru Mungu.

Ndugu zangu hapa duniani tunaishi mara moja tu....tunakufa na jua kuwa tutafufuliwa na kwenda kuulizwa juu ya imani tulizokuwa nazo na kuzifuata hapa duniani.

Vp utakufa hali ya kuwa ulifuata imani inayosema kuwa Mungu yupo zaidi ya mmoja na amezaa mtoto? au amezaliwa na Mwanamke?

Kumbuka kuwa hakuna chance mbili...!! Tukiipoteza hii nafasi jua huko tuendapo kuna PEPO (paradise) na MOTO (Hellfire). Na huko hakuna kufa ...Kama utaingia Peponi jua utadumu humo milele na kama utakuwa umekufuru na kuingia Motoni jua pia humo utadumu na kuishi milele ukitumikia adhabu kali kutoka kwa Mungu.
Mungu yupi unayemsema? Kama ni huyu sliyeumba binadamu na viumbe vyote na mbingu Yeye anaweza kufanya au kuumba kitu chochote kwa muda aliopanga. Au kuwa kitu chochote ili watu waweze kuntambya zaidi baada ya makosa ya Adam
 
1-Mungu ukidai kazaliwa ni lazima utueleze hiki kipindi cha miezi 9 wakati yupo tumboni kwa mwanamke, je ni nani aliyekuwa akiuendesha ulimwengu? Nani aliyekuwa akizishikilia mbingu zisidongoke,nani aliyekuwa akilitoa jua mashariki kwenda magharibi, nani aliyekuwa akisimamia mifumo ya mvua, nani aliyekuwa akigawa riziki??

2- Kinachozaliwa huwa kina mwisho. Uhai na kifo ni vitu viwili vinavyofuatana katika ulimwengu huu....Hiyo ya wahindi reincarnation ni dhana tu na dhana haina haki yoyote.

Quran 53:28
" Nao hawana ujuzi wowote kwa hayo isipo kuwa wanafuata dhana tu. Na dhana haisaidii chochote mbele ya haki."

3-Issa (Yesu) mwana wa Mariam licha ya kupewa huu muujiza wa kuongea hali ya kuwa ni mtoto mchanga..bado alikuwa ni mdhaifu kwa maana ya kwamba alinyonya maziwa ya mama yake, alihitaji kulishwa,kuogeshwa,kuvalishwa,kubebwa n.k ...udhaifu kwa maana hakuwa akijiweza kwa lolote pindi alipokuwa mtoto mchanga. Je huoni kama huo ni udhaifu?

4- Labda unaweza kutaja hiyo miungu ya kigiriki na watoto wao walikuwaje na walikuwa wakifanaje ili tupate kujadili vizuri...

Yesu hakuzaa...ila alizaliwa

Kwahiyo leo hii Wanaume wasiokuwaa na uwezo wa kuzalisha au wanawake wasiokuwa na uwezo wa kubeba mimba nao tuwaite kuwa ni MIUNGU?

Maswali yasiyo na maana kabisa. Huu ndiyo uthibitisho wa neno la Mungu kuwa watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

Mafundisho mengi ya dini ya kiislam yamejaa uwongo mwingi wa wazi:
1. Wanawadanganya watu eti quran ilishushwa na Mungu wakati iliandikwa na wanadamu. Mpaka Mohamad anakufa hakuacha quran.
2. Muhamad kwa maneno yake ni kuwa akiwa pangoni alitokewa na shetani. Ambao hawakuwepo pangoni wakasema alitokewa na malaika Jibril.

Kwa ujumla uislam ulianzishwa kwaajili ya harakati za kivita kushindana na wayahudi, ili kuwapa hamasa wapiganaji, ndiyo maana vipengere vingi ndani ya quran, vinahamasisha mauaji kwa wasio waislam.
 
Back
Top Bottom