Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
- Thread starter
-
- #81
Powa best angu gily Asante ndio ivyo naianza safari yangu ya kuponyesha miguu yangu..Saa tisa kasoro naingia humu nakuta hii habari. Nimesikitika kweli, get well soon. .
Utamuwa sawa usiwaze
Lengo lake ni kuanzisha ligi hakuna kingine, Hawa watu wanaojiita atheist ni kama watu fulani waliorukwa na akili kwa namna navyowaona sasa hivi.Mkuu kama unaandika haya ili upate attention watu wakujibu pole sana Mungu akusamehe kama unaandika haya sababu ya ukangaifu wa moyo basi Mungu ajalie upate mtu atakayekuonyesha ukuu wake mimi sio mzuri sana katika kuelezea ila naimani mpaka umri uliofikia umeshuhudia shuhuda nyingi sana za watu wakiongelea miuji,a na ukuu wake
Nipo hapa temeke hospital private wardPole Sana Mkuu Upo Hospital Gani Mkuu.
I Wish You Speedy Recovery.
Sasa unachomshukuru mungu ni kipi?
Kukufanya upande hiyo bodaboda, au kukufanya uvunjike huo mguu? Ama kukufanya uheme na mguu huna?
Unaongea kama unajua vile kumbe umeandika ujinga tu?Ok, point yang sikuona haja ya wewe kuwekewa catheter wangekupa hata condom catheter.
Btw walikuwepo watakuwa wajua kwanini.
Uombe pethedine Pole sana kaka.Diclofenac injection imedunda na maumivu balaa
Hapa ndio nimechoma TRAMADOL INJECTION
At least maumivu yameanza kupungua maana nilianza kuugulia Kwa saut
Asante woteeeee kwa upendo mwing na neno la matumaini ambayo mme show kwangu...
Pole sana, usukumani huku Wana dawa za kienyeji za kuunga mfupa, Nzuri sana. Mwezi mmoja tu unatembea kama hakuna kitu ulipata. unaenda na picha Yako ya x ray tu. Jamaa angu alipata ajali ya pikipiki mwaka Jana akavunjika mguu, tukampeleka Kwa mtaalamu wilayani Magu akamuunga. Kimsingi hii dawa ipo Kanda ya ziwa Karibu Kila mahali maana wanasema ni aina flani ya miti , mtu yeyote akielekezwa anaweza kufanya.Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF
Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.
Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.
Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu
Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.
Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute kuna muda na lia nikifikilia
Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
PoleAmani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF
Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.
Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.
Dua ZENU wadau ndio ivyo mwenzenu nipo kitandani muda huu
Skin trankction hapa inaniuma balaa it's first time kuwekewa urine catheter.
Japo Mimi ni mdau wa afya MWANDAMIZI nimekamatika wakuu usiombe yakukute kuna muda na lia nikifikilia
Leo ndio day one kwenye safari yangu hii ya kutibu kuvunjika miguu.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Pole sana mkuu.Nimewekewa skin tranction Ili nisichezeshe unyooke Kwa ajili asbh nipelekwe theater
Urine catheter hutumika pamojaa na urine bags Ili mkojo ukibana unajisaidia Moja Kwa Moja bila movements za kwenda chooni..
Unapakwa KY Gelly unatumbukiziwa mpira kwenye tundu la uume..
Pole sana jiandae tufanye ORIFNimewekewa skin tranction Ili nisichezeshe unyooke Kwa ajili asbh nipelekwe theater
Urine catheter hutumika pamojaa na urine bags Ili mkojo ukibana unajisaidia Moja Kwa Moja bila movements za kwenda chooni..
Unapakwa KY Gelly unatumbukiziwa mpira kwenye tundu la uume..
Naikumbuka hiyo, pole sana brotherNimewekewa skin tranction Ili nisichezeshe unyooke Kwa ajili asbh nipelekwe theater
Urine catheter hutumika pamojaa na urine bags Ili mkojo ukibana unajisaidia Moja Kwa Moja bila movements za kwenda chooni..
Unapakwa KY Gelly unatumbukiziwa mpira kwenye tundu la uume..
Amesema yupo Temeke hospital private wardUpo hospital gani? Nije kukupa pole nafikiri utakuwa umelazwa hospital ambayo nafanyia kazi.