Mungu ulikuwa wapi wakati wa biashara ya utumwa?

Hili huwa linaniwazisha pia. Kulikuwa na ulazima gani wa kuweka mti ule ndani ya bustani?
 
Kiranga
 
Thibitisha huyo Mungu yupo.

Mpaka hapa unahubiri dini tu, hujathibitisha Allah yupo.
 
Nime soma kwa makini hoja zako, nimegundua ufahamu wako juu ya Mungu ni Mdogo hivyo kumwelewa ni changamoto kwako Ndugu.

Usilo lijua kumwusu Mungu ni Bora ukae kimya kuliko kuongea upumbavu kumwusu Mungu.

Yakupasa ujue Mungu Anautaratibu Ambao Ameuweka kama unautaka msaada wake nilazima vigezo na Masharti kuzingatiwa.

Nenda kasome kitabu cha Kumbukumbu la Torati 28:14-68

Kama hutaki kufata utaratibu Ambao Mungu Ameuweka basi utaishia kumlaumu Mungu ndugu.

Serikali za Dunia zinautaratibu zimeuweka ili wewe mwananchi kupata msaada ni lazima ufate utaratibu.
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo hata leo.

Angekuwepo, usingeweza hata kuwa na swali kama yupo.
Tunaweza kusema Matajiri hamna kama wangekuwepo watu wasingekufa na njaa.
 
Infropreneur
 
Tunaweza kusema Matajiri hamna kama wangekuwepo watu wasingekufa na njaa.
Tajiri hana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Unamfananishaje na Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?

Kanuni muhimu ya kufananisha ni kufananisha vinavyofananishika.

Mbona wewe unafananisha visivyofananishika?
 
Hili huwa linaniwazisha pia. Kulikuwa na ulazima gani wa kuweka mti ule ndani ya bustani?
Labda Mungu alimuamini sana Adam, hakujua kama angekula tunda. In fact Adam alishawishiwa na Hawa kula tunda. Hawa hakua kusudi la Mungu labda ndo maana yote haya yametokea.
 
Ipo hivi, Kuna jamii ilikuwa na Hali ngumu sana, Hali ya hewa ya baridiii karibu mwaka mzima, Haina rasilimali za kutosha... Wakawa wanapambana na Hali ngumu huku wakiomba Mungu awasaidie.
Mungu akaona mahangaiko Yao na maumivu Yao akawahurumia.
Akawapa uvuvio (intuition) wakavumbua nyenzo na Mashine za kurahisisha maisha... Wakagundua nguvu kazi hawana... Hili nalo Mungu akawatatulia.
Akaona Wa Africa watumike TU 😅😅.... Kwa sababu walipewa kila Kitu, Hali ya hewa nzuri, rasilimali kama zote, Bado yakabaki majinga. Kuna faida Gani kama siyo yaende utumwani akili zikakae Sawa.
Imeandikwa, mwenye nacho ataongezewa, bali yule asiye nacho, hata kile kidogo atanyang'anywa🤣🤣🤣
 
HAYA NDIYO MASWALI FIKIRISHI YANAYOHITAJI FIKIRA NA UBONGO WA MWAFRIKA KUFANYA KAZI ILI KUPATA UKWELI WA ASILI YA DINI YETU
 
leo asubuhi nawasha redio nasikia mahubiri kuhusiana na Mungu anavyowatoa watu kwenye vifungo vya utumwa hapo ndo hoja yangu ilipoanza
Atakayekutoa kwenye utumwa ni wewe mwenyewe MTUMWA WA KIFIKIRA kwani MUNGU alishakupa kila kitu akili,mali,afya,mwili,nk
 
Exactly!!
 
Wewe siyo muislam bali ni mtumwa mfia uislam ambaye hujajitambia bado!!
 
mabaya yenyewe ndiyo dhambi before dini dhambi haikuepo
Ujinga ulionao ni wa kiwango cha 8G kwahiyo kabla ya ukristo na uislam dini hazikuwepo wala mavaya hayakuwepo?

Hao walioleta hizo dini wanadai kuwa MIUNGU yetu haikuwa na nguvu na ilikuwa kuiamini ni uovu na dhambi,sasa wewe unasemaje hakukuwa na dhambi wala dini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…