Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
hv ukiambiwa una akili kama za mnyama utafurahi?Umejuaje mnyama hana consciousness? Wanaweza je kuwasiliana wao kwa wao, lakini pia mbona wanyama wanaweza kujifunza vyema tu, mbwa wanafunzwa mafumnzo maalumu na wanaweza vizuri?
"Na hakuna mnyama katika ardhi, wala ndege arukaye kwa mabawa yake mawili, ila ni umma kama nyinyi..." (Surat Al-An'am: 38)
Swali lako la pili nakujibu kama ifuatavyo.lakini pia mbona wanyama wanaweza kujifunza vyema tu, mbwa wanafunzwa mafumnzo maalumu na wanaweza vizuri?
Mbwa wako akikosea hawezi kulaumiwa kama ambavyo wewe utakosea."Je! Unadhani kwamba wengi wao wanasikia au wanaelewa (wanatumia akili)? Wao si kitu ila ni kama wanyama tu, bali wao wamepotea zaidi njia." (Surat Al-Furqan: 44)
Wewe bado hujaingia kwenye Atheism....upo katika daraja ya chini kidogo maana naona unatumia neno "NATURE" na "ENERGY" badala ya MUNGU.Huyo sio Mungu bali ni mifumo ya nature na mpangilio wa energy ambayo bado haijapita ufumbuzi yakinifu. Huwezi kusema mwili wa binadamu na mnyama vimeumbwa na Mungu bila kuwa na uthibitisho
"Au wao wameumbwa pasina kitu chochote (bila Muumba), au ni wao wenyewe ndio waumbaji?" (Surat At-Tur: 35)
Uthibitisho wa Mungu upo kwenye "Uhandisi" (Design)Huwezi kusema mwili wa binadamu na mnyama vimeumbwa na Mungu bila kuwa na uthibitisho
" Hakika katika kuumbwa kwa mbingu na ardhi, na kukhitalifiana usiku na mchana, na marikebu ambazo hupita baharini kwa viwafaavyo watu, na maji anayo yateremsha Mwenyezi Mungu kutoka mbinguni, na kwa hayo akaihuisha ardhi baada ya kufa kwake, na akaeneza humo kila aina ya wanyama; na katika mabadiliko ya pepo, na mawingu yanayo amrishwa kupita baina ya mbingu na ardhi, bila shaka zimo Ishara kwa watu wanao zingatia. " (Surat Al-Baqarah: 164)
Kauli yako: "Bado haijapata ufumbuzi yakinifu"bali ni mifumo ya nature na mpangilio wa energy ambayo bado haijapita ufumbuzi yakinifu
"Kila mtoto anazaliwa katika Fitrah (asili safi ya kumtambua Mungu)..." (Sahih al-Bukhari)
Miujiza mikubwa ilitendeka wakati wa kisa cha Waisrael huko Misri. Pasina shaka kuna watu waliona, ilitendwa miujiza wakati huo hakukuwa na maandiko kwa wakati ule.Mimi sina uthibitisho wa unaoweza kudhihirishia kwamba Mungu yupo au hayupo. Ila ninachoamini yupo.
Haya masuala ya kiroho yana siri nyingi sana. Tafuta kujua chimbuko la uchawi, nguvu za giza na nuru soma. Naona wewe ni mchimbaji jipe homework.
Kuna vitabu vingi sana vimebeba siri za dunia na ulimwengu ila vingine vipo kwenye ulinzi mkali. Kwenye harakati zangu za kufukunyua mavitabu niliwai kutaadharishwa na kitabu kimoja kimeandikwa kwa kiharabu kwamba ukisoma tu kina siri nyingi za ulimwengu ila ni aidha ufe au uwe chizi. Nikatoka nduki.
Lakini nilikuja kuamini haya baada ya kusoma Mwanzo, kitabu cha Henoko, na hata move ya Merlin. Kuna vitabu vingi sana vimeelezea masuala ya kiroho na siri za ulimwengu, na asili ya uumbaji.
Kuhusu Mungu, unapoona watu wanaimba kuhusu ukristo, uisilamu, uyahudi. Kuna watu wamekatwa vichwa, kuna watu wamemwaga damu. Biblia ilipingwa kwa miaka zaidi ya mia tatu kabla ya ukristo kusimama.
Sisi hatujaona miujiza ya enzi za Mussa nk ila tunaamini kuna watu walikuwepo. Chimba kijana chimba, kisha chagua njia ya kufuata
Hakuna kitabu kilichobeba siri za dunia na ulimwengu zaidi ya maneno yake Mungu aliyeuumba hii dunia na ulimwengu wote tunaoujua na tusioujua.Mimi sina uthibitisho wa unaoweza kudhihirishia kwamba Mungu yupo au hayupo. Ila ninachoamini yupo.
Haya masuala ya kiroho yana siri nyingi sana. Tafuta kujua chimbuko la uchawi, nguvu za giza na nuru soma. Naona wewe ni mchimbaji jipe homework.
Kuna vitabu vingi sana vimebeba siri za dunia na ulimwengu ila vingine vipo kwenye ulinzi mkali. Kwenye harakati zangu za kufukunyua mavitabu niliwai kutaadharishwa na kitabu kimoja kimeandikwa kwa kiharabu kwamba ukisoma tu kina siri nyingi za ulimwengu ila ni aidha ufe au uwe chizi. Nikatoka nduki.
Lakini nilikuja kuamini haya baada ya kusoma Mwanzo, kitabu cha Henoko, na hata movie ya Merlin na nyingine nyingi. Kuna vitabu vingi sana vimeelezea masuala ya kiroho na siri za ulimwengu, na asili ya uumbaji.
Kuhusu Mungu, unapoona watu wanaimba kuhusu ukristo, uisilamu, uyahudi. Kuna watu wamekatwa vichwa, kuna watu wamemwaga damu. Biblia ilipingwa kwa miaka zaidi ya mia tatu kabla ya ukristo kusimama.
Sisi hatujaona miujiza ya enzi za Mussa nk ila tunaamini kuna watu walikuwepo. Chimba kijana chimba, kisha chagua njia ya kufuata
It is not higher consciousness but a complex brain system, hata mafundisho ya kidinibyamekuja na lugha ambayo na do ni man made kujaribu kuelezea kile ambacho this complex system which specifically hatuwezi kusema imetokea kwa kuumbiwa but, a continue evolution of the species..hv ukiambiwa una akili kama za mnyama utafurahi?
Quran imesema kuwa wanyama hawana akili
Nilichogundua ni kuwa unachanganya kati ya silika (instinct) / uwezo wa kujifunza (associative learning) na Utambuzi wa hali ya juu (Higher Consciousness / Self-awareness / Aqli) ambao Qur'ani na sayansi ya kisasa zinasema ni wa kipekee kwa binadamu pekee.
Uislam upo wazi katika hili swala.
Qur'ani inakiri kuwa wanyama wana lugha na mifumo yao ya maisha
Uislamu hausemi wanyama ni mawe; tunajua wanaishi kijamii na wana lugha zao. Qur'ani ilishasema haya miaka 1,400 iliyopita kabla ya sayansi kugundua:
Katika Quran,MUNGU amesimulia kisa cha Nabii Suleiman na mchwa au ndege Hudhud. (Surat An-Naml).Kisa hicho kinaonyesha wazi kuwa wanyama wanawasiliana. Lakini mawasiliano yao yanaishia kwenye mahitaji ya kimsingi ya kibiolojia: chakula, uzazi, na kujilinda na hatari.
Naona sasa umeingia na hoja za Atheism.It is not higher consciousness but a complex brain system, hata mafundisho ya kidinibyamekuja na lugha ambayo na do ni man made kujaribu kuelezea kile ambacho this complex system which specifically hatuwezi kusema imetokea kwa kuumbiwa but, a continue evolution of the species..
Zamani walikuwa wanatumia sauti kuwasiliana, plus symbols ndo maana hata Africa tulikuwa na lugha zetu baadae, ndo vitu kama dini zikatujia.
So hatuwezi kusema kuna mtu anaitwa Mungu alituumba na kutupwa guideline ya kusema kuwa sisi ni uspesho, we are just more complex animals. Mamalian ambao bongo zao zimekuwa more complex in its function.
In terms of energy and vibrations ni sawa kusema kila kiumbe kina energy field na kina mtetemo unao relate na uhalisia wa nje. So nindhahiri kuwa energy ndo inaweza ku define kila kitu ila sio Mungu ambaye hatujui na haijawahi kuonekana
Sema badobhujafatilia vizuri tu wewe, wanyama wanaaina yao ya kumbukumbu na wanatunza kumbukumbu na wanaweza kuchukua tahadhari ya dhoruba kabla haijatokea, wanajua energy na nia ya mtu vibrationaally...Swali lako la pili nakujibu kama ifuatavyo.
Tofauti ya Mbwa kufundishwa na kuwa na 'Akili' (Consciousness).
Mfano wako wa mbwa unathibitisha hoja yangu badala ya kuibomoa. Mbwa anajifunza kwa kupitia silika na mazoea (conditioned reflex). Ukimpa mbwa mafunzo ya kunusa madawa ya kulevya, anafanya hivyo ili apate zawadi ya chakula au kumsikiliza bosi wake—hafanyi hivyo kwa sababu 'anajua' athari za madawa ya kulevya kijamii na kimaadili.
Huu utambuzi wa ndani na uwezo wa kufanya maamuzi ya kimaadili (Moral Agency) ndio unaoitwa Aqli katika Uislamu, na ndio maana Mwenyezi Mungu akasema:
- Mnyama hawezi kukaa chini na kuanza kujiuliza: "Mimi nilitoka wapi? Kusudi la maisha yangu ni nini? Nini kitatokea nikifa?"
- Mnyama hawezi kutengeneza mifumo ya kisheria, falsafa, au kuandika vitabu.
Mbwa wako akikosea hawezi kulaumiwa kama ambavyo wewe utakosea.
Dini chimbuko lake ni nini?Naona sasa umeingia na hoja za Atheism.
1: Nadharia ya Mageuzi (Evolution),
2:Chimbuko la Lugha na Dini (Kama vitu vilivyoundwa na binadamu), na
3: Nishati (Energy/Vibrations) kama mbadala wa Mungu.
Hoja zako zina mapungufu makubwa sana ya kisayansi, kihistoria, na kimantiki. Twende taratibu tutaelewana.
Complex Brain na Evolution: Nani aliyeweka "Taarifa" (Information)?It is not higher consciousness but a complex brain system
"Yeye ndiye Allah, Muumbaji (Al-Khaliq), Batini (Al-Bari'), Mtengenezaji wa Sura (Al-Musawwir)..." (Surat Al-Hashr: 24)
ancient egyptians ni civilization zilizokuja miaka Mingi toka alipoumbwa mwanadamu wa kwanza.Dini chimbuko lake ni nini?
What about ancient Egyptians aliamini katika Dini? Mbona katika vitabu vya dini hatujafudishwa kuhusu the great pyramids na watu wakalinganisha maandiko na kile kilichomo kwenye pyramids?
Mbona Bible haisemi hilo? Huoni kuwa ni watu walikaa na kujitungia matukio?
Quran na Bible are not even 2000 years old, but kuna hizo ancient teachings that dive deep upto 200000 yrs long.
Umezungumzia Historia ya Dini na Lugha, ila hapa umeupindua ukwelihata mafundisho ya kidinibyamekuja na lugha ambayo na do ni man made kujaribu kuelezea kile ambacho this complex system which specifically hatuwezi kusema imetokea kwa kuumbiwa but, a continue evolution of the species..
Energy and Vibrations" vs. MunguIn terms of energy and vibrations ni sawa kusema kila kiumbe kina energy field na kina mtetemo unao relate na uhalisia wa nje. So nindhahiri kuwa energy ndo inaweza ku define kila kitu ila sio Mungu ambaye hatujui na haijawahi kuonekana
"Macho hayamfikilii (hayamuoni), bali Yeye anayafikilia macho. Naye ni Mpole, Mwenye khabari." (Surat Al-An'am: 103)
Kuhusiana na Pyramids, Quran imeelezea vizuriDini chimbuko lake ni nini?
What about ancient Egyptians aliamini katika Dini? Mbona katika vitabu vya dini hatujafudishwa kuhusu the great pyramids na watu wakalinganisha maandiko na kile kilichomo kwenye pyramids?
Mbona Bible haisemi hilo? Huoni kuwa ni watu walikaa na kujitungia matukio?
Quran na Bible are not even 2000 years old, but kuna hizo ancient teachings that dive deep upto 200000 yrs long.
Ndio nakubali kuwa linguistics is based on DNA ila sio kusema tulikuwa tunaongea namna tunavyo ongea sasa, kila kitu inaenda by advancing... Uvumbuzi na evolution ndo vilivyo kifanya namna ya mawasiliano iwe more sophisticated. hata mababu zetu Wali tumia lugha zao pia ancient Egyptian walikuwa na mifumo yao, waafrika tulikuwa na lugha zetu, so wewe kuanza kusema sijui lugha ya kiislam ilikuwa universal unakosea.Umezungumzia Historia ya Dini na Lugha, ila hapa umeupindua ukweli
Umedai dini na lugha zimekuja baadaye kama 'man-made'. Kihistoria na Kiiislamu, mambo yako hivi tofauti kabisa:
- Lugha: Binadamu hajawahi kuwa 'mnyama bubu' aliyekuja kugundua lugha baadaye. Qur'ani inasema binadamu wa kwanza kabisa (Adam) aliumbwa akijua lugha na majina ya vitu tangu siku ya kwanza: "Na Akamfundisha Adam majina ya vitu vyote..." (Surat Al-Baqarah: 31). Sayansi ya lugha (Linguistics) inakiri kuwa uwezo wa kuongea (Universal Grammar) upo kwenye DNA ya binadamu pekee (Hardwired), sio kitu tulichojifunza kutoka kwa wanyama.
- Dini:
Dini haikuanza Afrika au Ulaya hivi karibuni. Uislamu unatufundisha kuwa dini ya Mungu mmoja (Tawheed) ndiyo iliyokuwa asili ya binadamu tangu Adam. Ushirikina na Uatheisti ndio mambo yaliyokuja baadaye kama upotevu. Upo hapo?
Naona umesoma historia lakini umeisoma kwa upande mmoja, na unanisingizia vitu ambavyo mimi sijavisema.Ndio nakubali kuwa linguistics is based on DNA ila sio kusema tulikuwa tunaongea namna tunavyo ongea sasa, kila kitu inaenda by advancing... Uvumbuzi na evolution ndo vilivyo kifanya namna ya mawasiliano iwe more sophisticated. hata mababu zetu Wali tumia lugha zao pia ancient Egyptian walikuwa na mifumo yao, waafrika tulikuwa na lugha zetu, so wewe kuanza kusema sijui lugha ya kiislam ilikuwa universal unakosea.
Dini ni kitu kilicho let wa Africa na wote tunajua kuwa kuna wa missionary walikuja Africa during and after slavery so huwezi kuanza kusema dini ni universal.
Acha kuongea uongo wa wazi wazi na wakati Umesoma historia wewe
Kwa hiyo, kuwepo kwa lugha tofauti za Kiafrika hakupingi Uislamu, bali kunathibitisha kile kilichomo ndani ya Qur'ani."Na katika Ishara zake (Mungu) ni kuumba mbingu na ardhi, na kutofautiana ndimi (lugha) zenu na rangi zenu. Hakika katika hayo zipo ishara kwa wajuzi." (Surat Ar-Rum: 22)
Historia ya Dini Afrika:Dini ni kitu kilicho let wa Africa na wote tunajua kuwa kuna wa missionary walikuja Africa during and after slavery so huwezi kuanza kusema dini ni universal.