Joseph kimlio
JF-Expert Member
- May 18, 2026
- 745
- 1,329
Unamuomba Mungu nini wakati anajua kila kitu? Ni yeye kakuumba uwe vile!Ya nini maandiko ya naongelea Miujiza? Kwanini maandiko yanatutaka tusali ili bwana Mungu attendee miujiza?
Unamuomba Mungu nini wakati anajua kila kitu? Ni yeye kakuumba uwe vile!Ya nini maandiko ya naongelea Miujiza? Kwanini maandiko yanatutaka tusali ili bwana Mungu attendee miujiza?
Je unazikanusha neema za Mola wako mlezi?Kwanini tuna penda kuhusishwa kitu kilicho nje ya uwezo wetu na Mungu?
Si hata zamani tulikuwa tunajua dunia iko flat!?
Miujiza ililetwa kama stage ya mwisho kwa watu wasiokuwa na imani juu ya Mungu. Kuna baadhi ya Watu kadiri Mungu alivyokuwa akiwaletea miujiza ndivyo na wao walivyozidi kukufuru na kusema kuwa hayakuwa chochote isipokuwa ni uchawiYa nini maandiko ya naongelea Miujiza? Kwanini maandiko yanatutaka tusali ili bwana Mungu attendee miujiza?
Kwanini mpaka leo wengine hatua wahi kuiona hiyo miujiza japo hata mmoja au miili ya kutuaminisha kuwa ni uchawi?Miujiza ililetwa kama stage ya mwisho kwa watu wasiokuwa na imani juu ya Mungu. Kuna baadhi ya Watu kadiri Mungu alivyokuwa akiwaletea miujiza ndivyo na wao walivyozidi kukufuru na kusema kuwa hayakuwa chochote isipokuwa ni uchawi
Hivi mwili wako tosha sio muujiza? Umepewa macho mawili, masikio ya kusikia, unatembea kwa miguu miwili bila ya kuwekewa injini mwilini, una ubongo unaofanya kazi, moyo unaosukuma damu...unataka miujiza gani itakayofanya uamini zaidi ya hii?Kwanini mpaka leo wengine hatua wahi kuiona hiyo miujiza japo hata mmoja au miili ya kutuaminisha kuwa ni uchawi?
Huyu kwenye dp yako kama namfahamu vile sio mzungu wa pale kisesa?Basi amini tu mkuu
This is so irrational hakuna mantiki yoyote katika jibu lako, hakuna ukweli wowote maana hata mnyama naye anahivyo vitu. So muumba wake atakuwa mnyama pia?Hivi mwili wako tosha sio muujiza? Umepewa macho mawili, masikio ya kusikia, unatembea kwa miguu miwili bila ya kuwekewa injini mwilini, una ubongo unaofanya kazi, moyo unaosukuma damu...unataka miujiza gani itakayofanya uamini zaidi ya hii?
Johnny sins mtu mbadiHuyu kwenye dp yako kama namfahamu vile sio mzungu wa pale kisesa?
Ukiona vyaelea, ujue vimeundwa.Wanabodi...
Poleni na majukumu ya week nzima, as we are welcoming another beautiful weekend
upo kwenye self denialThis is so irrational hakuna mantiki yoyote katika jibu lako, hakuna ukweli wowote maana hata mnyama naye anahivyo vitu. So muumba wake atakuwa mnyama pia?
Tambua Kila kiungo ni Ishara (Muujiza) inayotaka utafakariThis is so irrational hakuna mantiki yoyote katika jibu lako, hakuna ukweli wowote maana hata mnyama naye anahivyo vitu. So muumba wake atakuwa mnyama pia?
"Na katika nafsi zenu (kuna ishara), kwani hamuoni?" (Surat Az-Zariyat: 21)
"Je! Hatukumfanyia macho mawili? Na ulimi na midomo miwili?" (Surat Al-Balad: 8-9)
Kufanana kwa viungo kunathibitisha Muumba ni MmojaThis is so irrational hakuna mantiki yoyote katika jibu lako, hakuna ukweli wowote maana hata mnyama naye anahivyo vitu. So muumba wake atakuwa mnyama pia?
"Huyo ndiye Allah, Mola wenu Mlezi, Muumba wa kila kitu. Hapana mungu ila Yeye..." (Surat Ghafir: 62)
Binadamu ametunukiwa "AQLI" (Utambuzi), tofauti na mnyamaThis is so irrational hakuna mantiki yoyote katika jibu lako, hakuna ukweli wowote maana hata mnyama naye anahivyo vitu. So muumba wake atakuwa mnyama pia?
Na hakika tumewatukuza wanaadam, na tukawachukua nchi kavu na baharini, na tukawaruzuku vitu vizuri vizuri, na tukawafadhilisha kwa fadhila kubwa kuliko wengi miongoni mwa tulio waumba."
(Surat Al-Israa: 70)
Huyo sio Mungu bali ni mifumo ya nature na mpangilio wa energy ambayo bado haijapita ufumbuzi yakinifu. Huwezi kusema mwili wa binadamu na mnyama vimeumbwa na Mungu bila kuwa na uthibitishoTambua Kila kiungo ni Ishara (Muujiza) inayotaka utafakari
Allah anashangaa pale mwanadamu anapochukulia viungo vyake kama kitu cha kawaida au cha 'kibahati nasibu' tu kama wanyama, bila kuona ukuu wake. Anatuambia ndani ya Qur'ani:
Hizo ni stori za kutunga tu kiongozi.Kufanana kwa viungo kunathibitisha Muumba ni Mmoja
Kuwepo kwa macho na mioyo kwa wanyama na binadamu hakuondoi muujiza, bali kunathibitisha kuwa Mhandisi (Muumba) wa ulimwengu huu ni Mmoja pekee. Kama kuta tisa tofauti zimejengwa kwa tofali za udongo, haimaanishi mjenzi ni tofali, bali mjenzi ni mmoja aliyetumia malighafi ileile.
Mwenyezi Mungu anasema ndani ya Qur'ani:
Umejuaje mnyama hana consciousness? Wanaweza je kuwasiliana wao kwa wao, lakini pia mbona wanyama wanaweza kujifunza vyema tu, mbwa wanafunzwa mafumnzo maalumu na wanaweza vizuri?Binadamu ametunukiwa "AQLI" (Utambuzi), tofauti na mnyama
Uislamu unatufundisha kuwa, ingawa tuna viungo sawa na wanyama, Allah amemtukuza binadamu kwa kumpa Ubongo wenye uwezo wa kupambanua (Utambuzi/Consciousness) ambao mnyama hana. Mnyama anaongozwa na silika (instinct), lakini binadamu anaongozwa na akili na hiari.
Allah anasema: