Whtata if ulimwengu ndo Mungu mwenyewe, na sisi ni hologram yake? Nikiwa na maana huyu anaye mwabudu ni wanajiabudu wenyewe bila wao kujua maana ulimwengu wenyewe ndio wao?Basi pia ulimwengu umekuwepo milele.
Hakuna wakati ambapo ulimwengu haukuwepo.
Ulimwengu umekuwepo milele.
Na hauna muumbaji.
Na wala hauhitaji muumbaji.
Bora huu muujiza wenye kuonekana kuliko muujiza wa Mungu ambae hatua wahi kumwona wala kushuhudiabmuujiza wake kwa mboni za macho yetu.Katika moja ya miujiza ya Mungu na huwa inanistaajabisha na kunifanya nicheke kila siku ni pale ninapoona Mungu ameumba viumbe ambao wanamkana!!
Hakika huu ni muujiza mkubwa sana.
Quran 10:45
" Na Siku (ya kiyama), (MUNGU) atakapo wakusanya, itakuwa kama kwamba hawakukaa ila saa moja tu ya mchana! Watatambuana. Hakika wamepata hasara walio kanusha kukutana na Mwenyezi Mungu, wala hawakuwa wenye kuongoka.
Hahahaha, we jamaa... What about jamii ambazo hazijui ukristo na Islam?Hapana...Kila Mwanadamu amepewa chances sawa. Kila mwanadamu anazaliwa akiwa katika maumbile ya dini ya kiislam ila wazazi wake wawili ndio humbadili mtoto na kumpeleka katika dini nyingine.
Kweli kabisa mkuu😂Kama huyo Mungu ndio kaumba viumbe wanaomkana, mwenye makosa ni nani hapo?
Yeye muumbaji?
Au viumbe?
Kwa sababu, Kiumbe hawezi kwenda kinyume na vile alivyoumbwa.
Kama Mungu aliumba viumbe wanao mkana, Basi mwenye makosa ni yeye mwenyewe!
Asilaumu viumbe wanaomkana. Kwa sababu muumbaji ni yeye mwenyewe.
Huyo Mungu, kama alijua hapendi kukanwa, angeweza kuumba binadamu wasio weza kumkana.
Angeumba binadamu wema na watiifu tu, wasioweza kumkana hata kidogo.
Kuumba binadamu ambao wanaweza kukukana, wakati unajua kabisa hupendi kunanwa, Halafu bado unalalamikia viumbe haohao wanakukana, Wakati uliwaumba mwenyewe wakukane, Ni ukichaa.
Huyo Mungu kama alijua hapendi kukanwa, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu, watakao mtii siku zote na wakati wote bila kumkana?
Ulimwengu unaweza kusimama wenyewe kama ulimwenguni bila kuhusishwa na huyo Mungu.Whtata if ulimwengu ndo Mungu mwenyewe, na sisi ni hologram yake? Nikiwa na maana huyu anaye mwabudu ni wanajiabudu wenyewe bila wao kujua maana ulimwengu wenyewe ndio wao?
Nasema ni God kwa sababu almost all traditions zina worship na kutukuza hiyo energy, or representation of a higher realm that brought everything to existence...Ulimwengu unaweza kusimama wenyewe kama ulimwenguni bila kuhusishwa na huyo Mungu.
Kwa nini uhusishe Mungu na Ulimwengu?
The universe stand alone. By itself. Without relying on anything or anyone.
No need of God.
Ku- worship tu, bado sio uthibitisho wa kwamba Mungu huyo yupo.Nasema ni God kwa sababu almost all traditions zina worship na kutukuza hiyo energy, or representation of a higher realm that brought everything to existence...
In Buddhism we call it samadhi, a gateway to self Enlightenment.. Kujua kuwa am everything, including God and the universe.
GOD might be what humans think but it's all encapsulated in the consciousness and awareness of everything that brought it into existence in either the physical, mental or spiritual planes
HIvi unafikiri wanasayansi wange enda na hii concept wangeweza kuvumbua vitu?Wanaosemaga dini ni utapeli naonaga kama hawako njema kichwani.
Kumtambua MUNGU sio jambo la jumuiya, la kulazimisha, na kwa mwenye akili timamu hata sio la kufundishwa.
Seriously mtu unaamka asubuhi na kitu cha kwanza unawaza ni kuna watu wanataka kukutapeli? Hivi mkoje? ? ?
Kwanini huwazi huo mwili wako umetokeaje? Ulimwengu na kila kilichopo kimetokeaje? Kwanini upo badala ya usingekuwepo kabisa?
We unaamka unawaza kuna mtu anataka kukutapeli! ! !
Mna akili timamu? ? ?
YESU ni mualiko wa kibinafsi kabisa kutoka kwa Muumba kwenda kwa kiumbe wake.
Hili sio jambo la jumuiya.
Kuna mambo hayajadiliwi. Yani if you don't gerrit forget abourit.
Ni kama kutaka kila siku kujadiliana na watu kwanini unampenda mkeo/mumeo. Hizo ni habari zako binafsi hazituhusu, sio kazi yetu kumuelewa huyo mkeo/mumeo.
Sababu kwanini tunamuongelea, tunamtetea na kumtamgaza YESU sio kuwaaminisha nyinyi msioamini.
Ndomana tuliagizwa ukimuambia mtu asikuamini muache.
Sisi tunamtangaza kwasababu fita ni fita mura, hii ni fita.
Yaani haya tuliyonayo na kwa MUNGU wetu sio mapenzi ni mahaba, in Lowasa's voice.
Tunadhihirisha Upendo wetu kwa Mungu wetu kumtangaza na kumtetea.
Tunapigana na maadui wake majeshi ya giza kwa neno la ushuhuda wetu.
It has little to do with you!
Hatuhitaji chochote cha kwenu! Infact we just feel sorry for you!
Nina imani kuwa kuna forces za ulimwengu zinaendesha ulimwengu lakini hazina wooovu wala kusamehe kama ilivyo ahidiwa kwenye maandiko kuwa kuna Mungu anaye samahe na kufanya MiujizaKwahiyo mtoa mada huna imani na uwepo wa Mungu.?
Ameanza kukufuru kisa tu anautaka unini ule sijui mnauita usilver member sijui Uplatinum member wa JFMkuu nawewe sasa umeaanza kukufuru.
Je ni Muujiza au mpangilio wa ulimwengu ambao upo tangu kale, na je kama kuna kitu kuifanya haya yote yakatokea ndo tuite hicho kitu Mungu?Dunia ipo kwenye eneo linaloitwa Habitable Zone—si ya moto kama Venus na si ya baridi sana kama Mars. Hii inaruhusu maji kuwepo katika hali ya kimiminika, ambayo ni msingi wa uhai.
Angahewa yetu ina mchanganyiko wa oksijeni na nitrojeni unaotuwezesha kupumua,
tabaka la ozone likitulinda dhidi ya mionzi hatari ya jua
Huoni hii ni miujiza dogo. Ona force of gravity. Unadhani ni vitu vya kawaida . It’s all calculated.
Hahaha mkuu😂 ni nauliza maswali ambayo ni msingi wa imani tunavyo kwenda kusali kila siku hayo mambo ya platinum badge nilisha tupilia mbaliAmeanza kukufuru kisa tu anautaka unini ule sijui mnauita usilver member sijui Uplatinum member wa JF
Unaamini vipi universe iliumbwa? Wewe mwenyewe tumezaliwa na haukuumbwaWatoto wadogo tu ndo huwa wanajiuliza kuhusu Mungu ila watu wazima wengi tayari wanajua uwepo wake , la muhimu zaid em jifunze kumjua Mungu na Mungu sio babaako anajibu kwa muda anao taka yeye ukitaka ishara hizo za fasta fasta huwez kuziona .
Uumbaji wa viumbe hai na universe hii inatosha kukuthibitishia kua Mungu yupo
Imani ni kama activation au drive ya kukufanya uwe katika vibration fulani,Pia imani huaribu.
Lile tukio lililotokea kule Msitu wa Shakahola Kenya, Wale waumini wa mchungaji Paul Mackenzie yule aliyewaambia wafunge hadi kufa bila kula chochote, na waumini wale wakaamini na kufunga kweli hadi wakafa mamia kwa mamia. Ni uthibitisho kwamba imani huaribu pia.
Ukiwa na imani sahihi yenye ukweli inaponya kweli. Mfano mwanafunzi mwenye imani kwamba akisoma kwa bidii atafaulu mtihani. Imani hii ni nzuri na ina ukweli. Na itamsaidia.
Ukiwa na imani ya uongo, isiyo na ukweli, unapotea Mfano, Mtu anaweza kuamini kwamba akitupwa kwenye Simba wakali porini hatoliwa na Simba kama Daniel wa kwenye Biblia. Kwamba Mungu atamuokoa. Kumbe sikweli na ni uongo.
Hapa sasa inategemeana ukweli wa hiyo imani inayoaminiwa na mhusika.
Imani zingine sio, unaingia chaka.
Ni kwanini useme binadamu wa siku hizi ni wabishi wakati wewe mwenyewe umeshindwa kuwa Elezea vyema na kwa shuhuda zinazo onekana na kurudiwa kwa mboni za macho yao?Rafiki, bado hujajua maana halisi ya imani.
Ebr 11:1-3
"...imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana."
Humu JF nimethibitisha mara nyingi uwepo wa Mungu kwa kusimulia matendo ya miujiza aliyonifanyia Mungu, lakini kama Smart911 anavyosema kila mara: "watu wa siku hizi ni wabishi."
Hata akitokea malaika wataendelea tu kusema "Mbona Mungu wa miujiza sijamuona"
Lakini sababu kuu ya wao kukosa imani tunaijua:
2 Kor 4:4
"...ndani yao mungu wa dunia hii amepofusha fikra zao wasioamini, isiwazukie nuru ya injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu."
HATUKATI TAMAA, TUNAENDELEA KUWAOMBEA, NURU YA INJILI IWAZUKIE
Katika uislam jamii ambazo zimeishi na hazikuwahi kufikiwa kabisa na UISLAM au hazijawahi kusikia kuhusu Mtume Muhammad (pbuh) zinatambulika kama Ahlul Fatarah. Hawa watu hawatadhulumiws hats kidogo kwasababu Mungu kashasema katika Quran kuwa haadhibu watu pasi na kuwapelekea Muonyaji . Hivyo mtu wa namna hii siku ya Qiyama, ALLAH atampa mtihani wa utii kuona utii wake kwake.Hahahaha, we jamaa... What about jamii ambazo hazijui ukristo na Islam?
Kuna jamii za ki Buddha na ki hindu ambazo zime exist hata kabla ya Christianity na islam
Duh unajua historia kweli mkuu?Katika uislam jamii ambazo zimeishi na hazikuwahi kufikiwa kabisa na UISLAM au hazijawahi kusikia kuhusu Mtume Muhammad (pbuh) zinatambulika kama Ahlul Fatarah. Hawa watu hawatadhulumiws hats kidogo kwasababu Mungu kashasema katika Quran kuwa haadhibu watu pasi na kuwapelekea Muonyaji . Hivyo mtu wa namna hii siku ya Qiyama, ALLAH atampa mtihani wa utii kuona utii wake kwake.