Kinengunengu
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 1,716
- 4,375
Katika ulimwengu wa Roho kuna watu wa namna tatu.Hao walokole hawana utambulisho wa makanisa.Wana utambulisho wa kiimani tokea kanisa lolote.Na sio kila mkristo ni mlokole.I hope you understand swahili.
1. Kuna wanaotembea uchi ( Watemda dhambi na waasi)
2. Kuna wenye mavazi meupe (Wakristo wasio na maombi na wasio na ushuhda mzuri).
3. Kuna wenye mavazi meupe na wamezungukwa na nuru kali ya moto. Hawa wana mioto na mwanga mkali kwenye mioyo yao na wenye paji za uso wao.(Walokole) hawa hawatambuliki kwa makanisa yao, bali hatambuliwi kwa utakatifu na maisha yao ya maombi na ushuhuda.