Nolijiuwa tu itakuja kwenye namba,
Naelewa ukweli, ndio maana nilikuvuta Ili uje KWENYE namba,
SABABU ,Hata Mimi nimefundishwa Siri na Mungu KWENYE mafumbo yake HASA namba,
Nimecheza Sana na namba,
Nimepitia
Math,
Numerology
Astrology
Satanism concepts baadhi
Freemasons ,michoro na picha zao,
Machapisho na mambo ya wa-greek wa kale Kuhusu Miungu Yao,
Ndio maana ,nilisema KWENYE hesabu zangu za Kirohoni nilizofunuliwa na Mungu,
Nashangaa kama yanaenda a,
Ndio maana nikashangaa Sana , hapa duniani ,huwenda Kuna watu sio binadamu,
Maana Siri Kwa Sasa ,ziko wazi Tena Kila mahari , Tena zingine zinaonyeshwa Kwa macho ya kibinadamu tuone,
Ila ni wenye hekima ndio wataona,
Kila Kona naona Siri ,ziko wazi,
Mpaka nashangaa na kustuka,
Na Siri ziko Kila mahari ,Kwenye majengo, nembo za kivyuo, nembo mbalimvali, vitu vya majumbani kama viti HASA vya wazungu wa kale , vile viti vya kuchonga vya mbao vya wazungu wa kale ,mpaka najiuliza huenda sio binadam.
Hivi, utajuaje, mtu kama wewe ni miongoni Mwa walio itwa au wateule
Maana ni makundi mawili tofauti
WALOKOLE walioitwa kuwa tu WALOKOLE ,Ila mbinguni hawaingii,
Na
Kuna kundi linaitwa, jamii hio hio ya WALOKOLE Ila Wao ni kundi la wateule ,yaani Hawa lazima waingie,
Je,kiroho ,na kinajimu utawajuaje, kuwa Hawa ndio wateule na wengine ni walioitwa tu,