Uyu hapa
JF-Expert Member
- Oct 14, 2021
- 394
- 476
Malkia wa Anga , ndio nani Tena Huyo?Mimi sina dhehebu sababu hata hao walokole hawana dhehebu ila wana alama tu za kiroho na kimwili kupitia jina la Mwana wa mmiliki liitwalo EMANUELI.Na nimeamua kumfuata mungu wa walokole baada ya kuona ukuu wake na yeye amenilazamisha nimfuate maana ukuu wake ndio unaniweka hai..Wala mimi sio mkamilifu na ni mtu mwenye dhambi na nina mapungufu mengi tu.Lakini huyu Mungu wa walokole ana gravity kubwa mno siwezi kuiepuka na jina la Mwanae ni kinga tosha kuliko hirizi au pete au dua za watu wanaoabudu nyota ya mashariki na mwezi na malikia wa anga
Je,kumuomba maria mama wa yesu ni dhambi?