Kichwa hiki cha Mkandarasi kinachotumia nishati ya umeme kimewasili bandarini jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuanza majaribio ya miundombinu ya umeme katika reli ya kisasa - SGR kipande cha Dar es Salaam - Morogoro.View attachment 2126501View attachment 2126502View attachment 2126503View attachment 2126504
Achana na konokono unaijua spidi ya Kimaulega weweKwa Shape Hiyo Speed Ya Konokono.
Hiki ni kichwa cha mkandarasi yeye kaleta kwa ajili ya majaribio tuHuu mtumba una sura mbaya kama kichwa cha panzi ndio mama kaamua kuuleta, aache utani na watanzania? Ama kuna asilimia yake hapo maana vichwa hivi si vya kisasa kabisa..
"Kichwa hiki ni cha mkandarasi" acha upotoshaji mkuuHuu mtumba una sura mbaya kama kichwa cha panzi ndio mama kaamua kuuleta, aache utani na watanzania? Ama kuna asilimia yake hapo maana vichwa hivi si vya kisasa kabisa..
Hazina tofauti na za kwetu isipokuwa wabongo kazi yetu ni kuponda kilakitu
Jamaa hivi unajua maana ya SGR? Naona umekurupuka tu kama ngiri.Pathetic.
Hivi watu wengine wakienda nchi za nje wanaangaliaga nini?
Hicho si Kama vile vya Kenya MSA ..NBI masaa 8 halafu wsnaita SGR.
Ungemwekea vichwa vya kisasa mkuu, ili ajue watanzania wa sasa sio mambumbumbu.Huu mtumba una sura mbaya kama kichwa cha panzi ndio mama kaamua kuuleta, aache utani na watanzania? Ama kuna asilimia yake hapo maana vichwa hivi si vya kisasa kabisa..
Kwann kimechorwa logo za trc
Sidhani kama suala la branding linaweza kuwa issue...Mbona kimekuwa branded na tanzania
umeMbiawa cha mkandalisi kiazi wewe ebu soma vzr post
Mbona mnapenda kulaumu sana, umeambiwa mali ya mkandarasi kwa.ajili ya kujaribu miundo mbinu, wewe unatokwa povu. Mbona nyumbani kwako una tv ya kichogo sie tumekaa kimya hatukwambii.Huu mtumba una sura mbaya kama kichwa cha panzi ndio mama kaamua kuuleta, aache utani na watanzania? Ama kuna asilimia yake hapo maana vichwa hivi si vya kisasa kabisa..
Labda ni Cha treni ya mizigo 😆😆Kichwa hiki cha Mkandarasi kinachotumia nishati ya umeme kimewasili bandarini jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuanza majaribio ya miundombinu ya umeme katika reli ya kisasa - SGR kipande cha Dar es Salaam - Morogoro.View attachment 2126501View attachment 2126502View attachment 2126503View attachment 2126504
Treni ya mizigo hiyo weweChawa wa CCM wenye mapambio yenu na nyimbo za kuabudu mmejificha wap?? Au mmechoshwa na bichwa kambare used?
Una pesa za kununua mpya weweAfrika ilishakuwa dampo la vyuma chakavu haiwezekani serikali inayojinasibu ni safi iingie mkataba wa hovyo kiasi hiki kwa kutuletea vyuma chakavu kama hilo dubwashwa hapo juu..
Ukute limepigwa service ndio wakalisafirisha kuja huku kwetu, inasikitisha kwa kweli..
Unaweza kuwa Una point ya msingi hapa. Kwa vile kichwa cha majaribio cha mkandarasi kina air resistance kubwa maana kipo bapa. Hivyo haiwezi kuwa na speed kubwa. Na vile vya TRC vitakavyo kuja vina sura 'mchongoko' hivyo vina air resistance ndogo, hivyo speed yake ni kubwa. Kama majaribio umefanya vichwa vyenye dynamics tofauti na vile vitakavyo tumika kwenye kazi halisi. Hapo watajuaje yatakayo vichwa vya TRC vitavyo kuja?..... Wajuzi wa haya mambo tufahamishe. Tafadhali.Kama n kichwa Cha mkandaras bas akimaliza kutest aondoke nacho
Na kwann atest na kichwa Cha kizaman wakat vinavyokuja n vya kisasa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app