Muonekano wa kichwa cha Treni ya SGR

Sasa sie wenye akili kidogo wacha tueleze yale tunayoona kwenye hili.

Heading inasema muonekano wa KICHWA CHA TRENI YA SGR nasio muonekano wa KICHWA CHA mkandarasi TRENI YA SGR.

Kuna Uzi ulipostiwa Jana na huyuhuyu aliepost hili kuwa hiki ndio kichwa Cha SGR kimefika

Sasa turudi kwenye taarifa za kichwa chenyewe👇👇👇

Kimetengenezwa mwaka 1994 yaan miaka 28 iliyopita, kwa ufupi hii kampuni ilishakufa na hakuna kampuni duniani unaweza toa vifaa muhimu kwa ajili ya matengenezo ya hicho kichwa.

Uwezo wake wa kukimbia n 175km/h yaan n sawa uwe na brevis ukaamua umalize sahani hivyo utakuwa umeizid tren mbali Sana maana hii tren ishakuwa chuma chakavu hvyo haiwezi kufika hata 140km/h kwa jinsi ninavyoona

Ukistaajabu ya MUSA Basi utayaona ya FIRAUNI katika taarifa mbili zinazojichanganya kutoka kwa mleta mada Ila ukiwa umetulia utagundua anamaanisha nini sema ndo hvyo tena maji yashamwagika Kama ulikuwa hujui hvyo vichwa ni Mali ya TRC na vilinunuliwa tangu Sept 2021

Withdrawal from the ÖBB Edit
In 2009 the locomotives were withdrawn and stored, with the ÖBB selling the locomotives at scrap value between 2008 and 2010, with each locomotive sold for 15,000 euros each, compared to the approximately 4 million euros per locomotive originally paid.[3] This drop in value, combined with the short service life of the locomotives, led to criticism of the Federal Railways.

Post ÖBB usage Edit
Following the withdrawal of the locomotives by the ÖBB in 2009, the locomotives have spent long periods in storage. In 2016, 16 of the locomotives were moved to Romania, although they were not used. In August and September 2018 they returned to Austria, and are now used by Zeller Transport Technik on freight services.[4][5]

After the bankruptcy of Zeller Transport Technik, four locomotives were sold to Tanzania Railways Limited and shipped to Tanzania in september 2021.[6][7]

Naomba kwenye tume itayoundwa kuchunguza hili Jambo naomba niwe mjumba hata Mwenyekiti Hilo swala halihitaji ma engineer Wala maprofesa kujua uhalisia wa treni iliyonunuliwa au treni inayotakiwa kuokoa pesa za serikali na kupromote ajira kwa wasio na ajira naomba serikali ituchukue wale kamati ya roho mbaya ya JF Mana haijawahi kushindwa kitu
 
Huu mtumba una sura mbaya kama kichwa cha panzi ndio mama kaamua kuuleta, aache utani na watanzania? Ama kuna asilimia yake hapo maana vichwa hivi si vya kisasa kabisa..
Kinachotakiwa Usafiri wa uhakika siyo sura ya kichwa uzuri au umbo
 
Shida mkuu jamii iliyokata tamaa mara zote watu hawatendewi haki wanajikuta wanahisi kuonewa muda wote. Hata hivyo tufike mahali tuwe wakweli ili tuanze kuaminiana.
 
Aiseee….!! Ngoja tuone kama ni kweli yaliyomo yamo… ! Ila kama ni kweli itakua kutakua kuna mchongo umepigwa ndan yake
 
Huu mtumba una sura mbaya kama kichwa cha panzi ndio mama kaamua kuuleta, aache utani na watanzania? Ama kuna asilimia yake hapo maana vichwa hivi si vya kisasa kabisa..
Soma vizuri,hicho ni kichwa cha mkandarasi,kwa majaribio.Muwe mnasoma habari yote kwa kuzingatia.Kichwa Cha Mkandarasi,rudia kusoma habari tena.Mmekalia kulaumu tu,badala ya kuzingatia yaliomo kwenye taarifa.
 
Kichwa cha train cha mkandarasi cha majaribio,someni habari ilivyoandikwa.Msiwe na akili za kulaumu tu.
 
Wamekalia kulaumu tu.Vichwa vyao vinawaza kulaumu tu,huwa wanatafuta makosa kwa tochi,ili walaumu.Hiki ni kichwa cha train cha mkandarasi cha majaribio.
 
Umesema kweli tupu.
 
Huu mtumba una sura mbaya kama kichwa cha panzi ndio mama kaamua kuuleta, aache utani na watanzania? Ama kuna asilimia yake hapo maana vichwa hivi si vya kisasa kabisa..
Umbo si tatizo bali ni ufanisi.
Pili hivyo ni vya reli ya kati sio SGR
 
Mkandarasi analeta vichwa vingapi vya majaribio kuna kile cha kwanza cha njano kilianguka na picha zilisambaa tena ndio hukitumia kubeba viongozi wakitembelea mradi sasa haya majaribio mpaka lini tupo nje ya muda hawana uhakika na ujenzi wao
Cha njano kilikuwa cha majaribio ya reli hakikuwa cha umeme. Hiki ni cha umeme kinafanya majaribio miundombinu ya umeme.Hakuna sababu ya mkandarasi kununua kichwa cha 2022 wakati lengo lake ni kufanya majaribio ya miundombinu sio treni.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…