Musoma: Mtoto afariki na kugeuka jiwe

Halafu Kuna pimbi mmoja hapo juu ni mbishi balaa. Na humu wamo wengi tu; wamesoma soma kidogo wakadhani elimu waliyoipata ndiko kila kitu kiasi kwamba hakuna elimu nyingine zaidi ya hapo. Huo nao ni uzwazwa.
Wala usisumbuke nao ndiyo wachawi wenyewe, huwa wanajisikia vibaya siri zao zikitoka kwa hiyo wanajificha kwenye chaka hilo ili kuwakatisha tamaa watu wanaowaexpose.
 
Usitake kudanganya hapa,hizo sehemu hujaishi. Na pia UDSM hawajatoa majibu. Hiyo issue ya kwamba 'ungo hauwezi kupata maana sayansi inakataa' ni hypothesis iliyokuwa iwaongoze kwenye research ila, halikuwa ndo jibu/hitimisho la research hiyo.
 
Hujafika Havard. Acha uongo!
 
Oooh uchawi haupo! Uchawi haupo! Jiwe angekuwa hai mngemwuliza ule moshi kule Kusini ulitokea wapi, pengine angewapa jibu. Unafikiri wananchi waliwasha moto karibu na msafara wa Mhe.Rais akiwa anahutubia? Huo ujasiri wa kuwasha moto karibu na Rais unautoa wapi? Presidential Security Unit wanakuangalia tu ukiwasha moto na kumwelekezea moshi Mhe.Rais?
 
Hii habari hata ITV wameitangaza

Hear me out, nataka uthibitisho wa mtoto kuwa jiwe. Sio nani katangaza au maneno ya mashahidi.

Hata habari za Zumaridi, Qnet nk zote zilikua on news outlet.

Kwa akili yako unaamini mtu anaweza geuzwa kuwa jiwe? Huoni kabisa dalili za foul play? Tell me more utakua unaamini albino hawafi wanapotea as well sio?
 
Usitake kudanganya hapa,hizo sehemu hujaishi. Na pia UDSM hawajatoa majibu. Hiyo issue ya kwamba 'ungo hauwezi kupata maana sayansi inakataa' ni hypothesis iliyokuwa iwaongoze kwenye research ila, halikuwa ndo jibu/hitimisho la research hiyo.

Kwahiyo uchawi unaweza kufanya mtu awe jiwe ila hawezi kusafiri na ungo? Sio nyie kila siku mnaambiwa story za watu kuanguka na ungo makanisani? Hizo huziamini?

Sijafika tu hizo sehemu nimekaa kabisa, from Mbeya, Ileje, S/wanga, hadi Kigoma na mbele as well. Zingine nimefika as late as last yr.
 
Halafu Kuna pimbi mmoja hapo juu ni mbishi balaa. Na humu wamo wengi tu; wamesoma soma kidogo wakadhani elimu waliyoipata ndiko kila kitu kiasi kwamba hakuna elimu nyingine zaidi ya hapo. Huo nao ni uzwazwa.

Kuna profesa mmoja wa Sociology hapo UDSM alishafanya utafiti huko Gamboshi, ilimlazimu mpaka kupaa kwa ungo, Ila alidhurika alikuwa mdhaifu kwa muda mrefu baadaye.

Again, hearsay. Tunaposema story zoooote za ushirikina ni hearsay muwe mnaelewa tumieni akili hata kiduchu.

Zote ni kuna fulani blah blah blah ....

Hata Zumaridi kafika mbinguni itakua mnamuamini nae.
 
wazazi au wanandugu wameuchukua mwili wa mtoto kwenda kuufanyia shirki alaf wameweka jiwe, waminywe vzr wanaomzunguka
 
Again, hearsay. Tunaposema story zoooote za ushirikina ni hearsay muwe mnaelewa tumieni akili hata kiduchu.

Zote ni kuna fulani blah blah blah ....

Hata Zumaridi kafika mbinguni itakua mnamuamini nae.
Mimi nakazana kupinga kwa sababu ni mmoja wa wahanga wa uchawi/ushirikina, kwangu siyo suala la hearsay.
 
Kwa kweli kuna kitu hakiko sawa, halafu mama anaeleza mkavu huyo hana hata wasiwasi
 
Musoma kuna uchawi wuuuh.
Nilinyolewa nywele katikati ya kichwa
 
Jiwe mwenyewe alikuwa akiamini ujinga wa uchawi. Alisema eti walikuwa wanajenga daraja huko Sumbawanga ila kila wakiamka wanakuta mto umekuwa mpana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…