Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Ni jambo hema miradi tu awe alilala mahala salama na si vinginevyo.
 
Nimependa sana ukombozi kuanzia Mara, then Kagera/Bukoba watafata

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Nyuzi za watu maana yake ni nini comrade? Jaribu kuwa na fikra comrade zitakusaidia kuacha kuweweseka.
Huu uzi umenzishwa kuelezea Lisu kulala kwa Nyerere, we unaleta matangazo ambayo yamejaa majalalani, yanachafua mazingira?! Tumia Wewe fikra siyo kudandia treni kwa mbele!
 
CCM huyo Mugabe mmemtetea na kumlinda sana akiwa hai hata alipokuwa anaiharibu nchi yake. Leo hii ni marehemu ndiyo mnamtumia kukejeli wengine?
Mugabe yupi comrade? Wapi nimemzungumzia Mugabe au umelewa gongo comrade?
 
Jiwe amefura kwa hasira, Naona kama amepewa kifimbo Cha mwalimu
 
Niyeye Lissu ni Rais wetu wa awamu ya6
✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽πŸ’ͺ🏽πŸ’ͺ🏽πŸ’ͺ🏽πŸ’ͺ🏽πŸ’ͺ🏽πŸ’ͺ🏽
 
Chadema watapigiwa kura na wajinga, wasiotaka maendeleo
 
Hao waliomkaribisha pengine ni wepesi wa kusahau, huyu Tundu Lissu si ndio alimtukana baba yao hadharani kwa kudai kwamba eti mwalimu Nyerere alizoea kuoshi kwa uongo uongo!!
Je ni kweli au si kweli? Ni sawa na kusema Jiwe ni fisadi ambaye kawazidi mafisadi wote hapa nchini.
Kanunua ndege lakini hataki CAG makini akague hayo manunuzi, jamani Mataga mnakwama wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Jibu alimtukana au la? acha porojo na misukule wenzenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…