Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iyo kula ccm kura Chadema ilishindikana vipi 2015 kwa lowassa??! Ni kwamba umesahau au unajitoa ufahamu?ok kula ccm kura chadema, wapo hai wengine wako na jiwe ccm fiesta mikoani View attachment 1582501
Amemshurutisha Msigwa aingie google haraka!Hivi hilo neno sumptuous Magufuli anaelewa maana yake?
Kwa hiyo Upo level moja na Polepole?!Ndio nakuambia sasa
Watu watukaniwe Baba Yao wasahau halafu we kidampa ndio ukumbuke?, Ujue hakukuwa na matusi yoyote Bali propaganda za kitoto SASA Nuna wewe wenye Baba wamempokea.Hao waliomkaribisha pengine ni wepesi wa kusahau, huyu Tundu Lissu si ndio alimtukana baba yao hadharani kwa kudai kwamba eti mwalimu Nyerere alizoea kuoshi kwa uongo uongo!!
Anayejifananisha na Nyerere huku anaua watu yeye afanyeje?Atubu,kwani alishawahi kusema kuwa "Nyerere alizoea kuishi kwa uongo" hii karma itatamtafuna bila kumbakiza
Mwaka huu tunawapiga mbele na nyuma Shwain wewe!Iyo kula ccm kura Chadema ilishindikana vipi 2015 kwa lowassa??! Ni kwamba umesahau au unajitoa ufahamu?
Hii na kauli yenye ukatili wa hali ya juu.Wa mwisho ni yule aliyesema hawezi kuwateua watoto wa Mwalimu maana wana kura 2 na 3, wakati huo akamteua mwenye kura 0 kuwa mgombea.
Wewe wasema.Kwa hiyo Upo level moja na Polepole?!
😁😂😀😅😃😃🤣😂😂Mama Maria Nyerere kajibu kwa vitendo baada ya kushurutishwa aende mkutano wa CCM kuongeza vichwa kisha kulazimishwa kuongea.
Ushaanza kuweweseka comrade, pole sana. Kipigo kipo palepale tena cha maana. Lissu hawezi kamwe kumshinda Magufuli.Mwaka huu tunawapiga mbele na nyuma Shwain wewe!
Ndo sindano hiyo? Wewe mkazi wa Tanga ee? Matusi yenu mazito mazito ndo haya?!Sindano kali sana kuwa Magufuli ushindi ni lazima tena wa kishindo.View attachment 1582504
Soma vizuri comnent yangu huko juu! Inasema, “huwezi kumfiki Polepole kwa ujinga, hata robo!”Wewe wasema.
Unafikiri hawana busara kama msaliti Lissu?Lissu angekuwa amemtukana Nyerere watoto wa Nyerere na mama yao wasingemkaribisha alale kwao na kumfanyia karamu.
Hapo wafuasi wa Lissu ndio mnapokwama, kwa akili yako unafikiri nyomi ndo ushindi? Hukujifunza kwa Lowassa? Una fikra finyu sana comrade.Ndo sindano hiyo? Wewe mkazi wa Tanga ee? Matusi yenu mazito mazito ndo haya?!
Mimi unanidanganyaje kwa kishindo wakati Nipo Tarime nashuhudia linyomi la kufa Mtu!
Mwaka 2015 ulikuwa na umri gani? Acha nyomi tu pia walideki barabara ya Musoma lakini bado wakapigwa mabao 3 kwa zero!Ndo sindano hiyo? Wewe mkazi wa Tanga ee? Matusi yenu mazito mazito ndo haya?!
Mimi unanidanganyaje kwa kishindo wakati Nipo Tarime nashuhudia linyomi la kufa Mtu!
"Hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kua hayapo"- Mwl. NyerereAcha uongo wakati mpaka wabunge wanaoana? Upo Tanzania kweli? Muulize Zitto na mke wa Kafulila! Acha kubwabwaja kama hujui. Mimi mwenyewe mke wangu ni Chadema. Pia angalia video clip hapa chini. Tena sasa hivi watz wa vyama tofauti wanashirikiana kuliko hapo awali. Ndiyo maana namsitikia msaliti Lissu anapowaambia eti watz waingie barabarani labda alete maburuki toka nje ya nchi. Atashangaa baada ya tarehe 28/10/2020.
View attachment 1582506
Hapa tunajadili familia ya mwalimu kuanza kujitenga rasmi na ccm na kujiunga na chadema.sijui unalizungumziaje hili ndugu mjumbe.Nimependa hizi siasa za umoja wa kitaifa.
Lazima Tundu Lisu ameomba radhi kwenye kaburi la Nyerere kwa yale aliyoyanena kwenye bunge la katiba, ni uungwana kwa kweli!