Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Uchaguzi 2020 Musoma: Tundu Lissu alala Butiama nyumbani kwa Mwalimu Nyerere

Sasa ni rasmi familia ya mwalimu wameamua kujitoa katika chama la mafisadi CCM
 
Hao waliomkaribisha pengine ni wepesi wa kusahau, huyu Tundu Lissu si ndio alimtukana baba yao hadharani kwa kudai kwamba eti mwalimu Nyerere alizoea kuoshi kwa uongo uongo!!
Watu watukaniwe Baba Yao wasahau halafu we kidampa ndio ukumbuke?, Ujue hakukuwa na matusi yoyote Bali propaganda za kitoto SASA Nuna wewe wenye Baba wamempokea.
 
Sasa hivi wataambiwa wajitegemee[emoji276][emoji276][emoji276]
 
Jambo zuri kutembeleana na kujuliana hali kisha kubadilishana mawazo.

Wana CCM wenyewe hata chupa za maji hawaachiani mezani( by JK).
 
Mama Maria Nyerere kajibu kwa vitendo baada ya kushurutishwa aende mkutano wa CCM kuongeza vichwa kisha kulazimishwa kuongea.
😁😂😀😅😃😃🤣😂😂
Nimekubali Siasa Siasani
Yaani Kwenye Ukweli Uongo Umejitenga
Vichwa 😁😂😂
 
Ndo sindano hiyo? Wewe mkazi wa Tanga ee? Matusi yenu mazito mazito ndo haya?!
Mimi unanidanganyaje kwa kishindo wakati Nipo Tarime nashuhudia linyomi la kufa Mtu!
Hapo wafuasi wa Lissu ndio mnapokwama, kwa akili yako unafikiri nyomi ndo ushindi? Hukujifunza kwa Lowassa? Una fikra finyu sana comrade.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Ndo sindano hiyo? Wewe mkazi wa Tanga ee? Matusi yenu mazito mazito ndo haya?!
Mimi unanidanganyaje kwa kishindo wakati Nipo Tarime nashuhudia linyomi la kufa Mtu!
Mwaka 2015 ulikuwa na umri gani? Acha nyomi tu pia walideki barabara ya Musoma lakini bado wakapigwa mabao 3 kwa zero!
 
Acha uongo wakati mpaka wabunge wanaoana? Upo Tanzania kweli? Muulize Zitto na mke wa Kafulila! Acha kubwabwaja kama hujui. Mimi mwenyewe mke wangu ni Chadema. Pia angalia video clip hapa chini. Tena sasa hivi watz wa vyama tofauti wanashirikiana kuliko hapo awali. Ndiyo maana namsitikia msaliti Lissu anapowaambia eti watz waingie barabarani labda alete maburuki toka nje ya nchi. Atashangaa baada ya tarehe 28/10/2020.

View attachment 1582506
"Hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kua hayapo"- Mwl. Nyerere

Nyie endeleeni tu mkuu ila tunaiba na kupora future ya watoto wetu pale tutakapowarithisha nchi iliyojaa chuki, roho mbaya na visasi. Sumu hii ikikolea na kua utamaduni itachukua miaka miingi sana kuiondoa
 
Nimependa hizi siasa za umoja wa kitaifa.

Lazima Tundu Lisu ameomba radhi kwenye kaburi la Nyerere kwa yale aliyoyanena kwenye bunge la katiba, ni uungwana kwa kweli!
Hapa tunajadili familia ya mwalimu kuanza kujitenga rasmi na ccm na kujiunga na chadema.sijui unalizungumziaje hili ndugu mjumbe.
 
Back
Top Bottom