Akili zingine bwana,mufilisi kabisa,huo uraisi uko wapi hapo.Jiandaeni kuchanga hela za Wabelgiji aliozokopa alipowaahidi kwamba akiwa Rais atawapa dhahabu ya Watanzania kwa bei ya kutupaHali ya hewa siyo rafiki Musoma Mjini Kuna mvua inanyesha tangu saa moja asubuhi. Huwezi amini watu wamefika na mvua hiyo, na Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hajafika, bado yuko Mwanza.
Mnachekesha kweli hawa watu wapo mtaa wa Sheikh Amri Abeid jumla yao hawafiki hamsini jee ndio maelfu haoHali ya hewa siyo rafiki Musoma Mjini Kuna mvua inanyesha tangu saa moja asubuhi. Huwezi amini watu wamefika na mvua hiyo, na Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hajafika, bado yuko Mwanza.
Yani kama CHADEMA haikuchukua nchi wakati wa Lowassa sidhani kama itaweza mara hii kwa maana Lowassa alikuwa na nyomi la kufa mtu, Serikali ndiyo ile ile, NEC ndiyo ile ile, Polisi ndiyo wale wale
weka kumbukumbu maneno yako haya au kama kichwa bovu basi mpe mumeo akuhifadhie kisha ikifika siku akukumbusheAliyekuloga kafa, hatujawahi, hatutawahi, na haitakaa itokee tuwe na rais kiwete na kichaa nchi hii
Huoni hiyo picha au umelewa mchana wote huu..Ungekuwa na simu ya camera si ungepiga hata picha?
Umechelewa ku upload.Huoni hiyo picha au umelewa mchana wote huu..
Kwani mimi ndo mwenye huo uzi!? We jamaa hauko seriousUmechelewa ku upload.
Tatizo simu ya tochi
Utamwambia blooKwani mimi ndo mwenye huo uzi!? We jamaa hauko serious
U dumbUtamwambia bloo
Atatukana kila mtu. Hata huyo Bashiru na Mangula wajiangalie sana, anaweza kuwatukana hadharani kama alivyomtukana Gambo jukwaani Arusha kipindi kile cha hama hama. Mtu anayeweza kupambana na Lissu jukwaani ni Nape akisaidiwa na January backgroundMagufuli huko alipo kavimba sana. Akija kutoka sijui atatoka na bomu gani. Kina Polepole wamepwaya. Nape na Kinana kidogo wanazijua siasa za nji hii.