Matokeo baada ya uchaguzi yatakuwa CCM WAMEIBA KURA ZETU !!Jiwe kajificha anapanga nitoke vipi
Kapilimba alitoa taarifa ya kijasusi kuonyesha Lissu na Zitto ndio wanasiasa wenye ushawishi zaidi
Kuelekea uchaguzi 2020 akaishia kutumbuliwa sasa ndio naelewa kwamba idara ya usalama wa taifa inajuwa nani rais ajaye.
Kwani kampeni zimeisha anza, na pia muda wa yeye kujibu mapigo badoAtatukana kila mtu. Hata huyo Bashiru na Mangula wajiangalie sana, anaweza kuwatukana hadharani kama alivyomtukana Gambo jukwaani Arusha kipindi kile cha hama hama. Mtu anayeweza kupambana na Lissu jukwaani ni Nape akisaidiwa na January background
Wala ndo kwanza amejipumzisha juu ya mawe pale Chamwino.Mzee wa madaraja, ndege, uchumi wa kati na viwanda atakuwa amenuna vibaya sana
Mapigo yake si ndio hayo ya kula mahindi barabarani ni kuwaambia wanawake awapanulie wapiKwani kampeni zimeisha anza, na pia muda wa yeye kujibu mapigo bado
Wazee wa kuhariri na kuchakata mabao ya vidole. Soon wataitangaza team yao. Najua Makamba January lazima arudi kundiniNape na Kinana kidogo wanazijua siasa za nji hii.
Matokeo baada ya uchaguzi yatakuwa CCM WAMEIBA KURA ZETU !!
Ndo kauli zenu tuombe tu uzima safari hii ushindi itakaoupata CCM ni wa karne.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwahiyo mjipange kwa hilo "TUMEIBIWA"Mkubwa, huu ni mwaka 2020...!!
Achana na yaliyopita. Mwaka huu hamtaiba. Na mkiiba ndiyo mtajua kuwa, kunbe nchi hii ni ya watu wa Mungu, siyo yenu nyie kakikundi kadogo ka watawala....!!
Lowassa hamna kitu paleKuliko hata ya mzee lowassa.
Ha has haajohnthebaptist njoo uone CDM ilivyokufa Musoma!
OkeyWala ndo kwanza amejipumzisha juu ya mawe pale Chamwino.
Anamsubiri huyu mgonjwa atangulie mbele kilomita 200 ndo yeye atoke Chamwino.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka hapa no kuomba udhamini tuHiki ni KIMBUNGA CHA KARNE
Sipati picha Mkuu mkija Kanda ya KASKAZINI watu tumejiandaa kweli kweliKumbuka hapa no kuomba udhamini tu
Umechelewa ku upload.
Tatizo simu ya tochi