Musukuma afunguka Mazito Mkataba wa Bandari/Sijajongwa Gari, Nina Hela

Mtandaoni umeona mkataba au vipengele viwili vya mkataba baina ya serikali!?
 
Kuna watu humu walikuwa wanauliza wakati fulani (
Je Kitenge hela za kuwa anakwenda nje mara Kwa mara na kurudi anazipataga wapi?

Je mmeshapata majibu au bado?
Imejulikana. Inasemwa kwamba yeye alipewa dola 50,000 ila hakupewa V8 kama alivyofanyiwa Musukuma.
 
Huyu mwehu tu si wa kumsikiliza hata kidogo.
Amelipwa na Waarabu kwa ajili ya kutetea mkataba huu wa ovyo.
 
Au hongo imekata. Anaona watu mazuzu Lofa huyu
 
Hawa wasemaji hovyo kama Musukuma ndiyo huwa wanatafutwa kwenye mambo ya hovyo kama haya kwa sababu hawana hata soni.

Ona hata sasa, waliopewa rushwa ni wabunge 10, lakini ambaye hana aibu na anatetea kwa nguvu pekee yake ni huyu mbunge wa darasa la 7.
 
Tumeua Mashirika na Viwanda vingapi? tuliachiwa reli na kamili na vichwa na majengo yake tukashindwa hata hii SGR tumekimbilia kwa kuwaiga Kenya nayo kuiendesha tutashindwa, mwendokasi tumeshampa Emirates.

Acha ndoto.
 
Huyu bwege kishahongwa na waarabu.kama ana hela bungeni kafuata nini huyo paka.si angekaa kwao ale hizo hela zake.mpuuzi mkubwa huyo.
Mkuu mbona Mo Dewji alikua bungeni? Na yule tajiri wa mabasi wa Morogoro yupo Bungeni?
 
Kutokana na kile kinachoendelea kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu bandari ya Tanzania imeuzwa, Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma leo amezungumza na wanahabari akiwa Jijini Dodoma

Kumbe Rais anatimiza ndoto zake sio dira ya Taifa. Well noted
 
Kutokana na kile kinachoendelea kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu bandari ya Tanzania imeuzwa, Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma leo amezungumza na wanahabari akiwa Jijini Dodoma

Hela huwa hazitoshi. Elon Musk pamoja na mapesa yake yote bado anatafuta pesa, ndio atakuwa Msukuma.
 
Jibuni hoja zake kiuchumi kasema badala ya kukusanya 7bn wanapanda 18bn ajira kutoka 1200 kuenda 75000, hojini hivyo kuliko kipiga kelele
Maneno ya wanasiasa hayo kwani CCM wametuongopea mangapj wewe nae kilaza kama huyo mpuuzi kima wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…