Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,443
- 2,643
Unaenjoy na kimvua huku ukiusikilizia ukuni raha sana unapata.Nachukia ngurumo za radi mimiš” zinafanya nashindwa ku enjoy mvua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaenjoy na kimvua huku ukiusikilizia ukuni raha sana unapata.Nachukia ngurumo za radi mimiš” zinafanya nashindwa ku enjoy mvua
Pole sana. Kwani ushaanza tena!Eeeh hadi nikaamua bora niache kwanza
Goodmorning Zulu man how are you?Unamaanisha ?
Good morning.
We ni ke?Unaenjoy na kimvua huku ukiusikilizia ukuni raha sana unapata.
Mpaka kesho tenaPole sana. Kwani ushaanza tena!
Chumba kizuri cha 40k?Nichangie kodi nihame huku kwanza. Nataka sasa hivi nipange chumba kizuri cha elfu 40,000 na mimi niishi kama watu
Eeeeh ukuni wa motoooš„š„Unaenjoy na kimvua huku ukiusikilizia ukuni raha sana unapata.
Kuna watu Wana harusi inabidi waende kkoo kufanya shopping kama nawaona š¤£Ndio ubaya wa Dar š
Mkipigwa jua shida, mkipigwa mvua shida.
Kwani wenzangu mnaishi kwenye vyumba vizuri vya bei gani? 50k?Chumba kizuri cha 40k?
Hope ni masikhara
Sijui ila nmeuliza kwa nnavyokijua chumba cha 40k mazingira yake bado hayawezi kuwa mazuri kama usemavyo.Kwani wenzangu mnaishi kwenye vyumba vizuri vya bei gani? 50k?
DahMpaka kesho tena
Ila si kina umeme? Huku tunalipa 15k no umeme .Sijui ila nmeuliza kwa nnavyokijua chumba cha 40k mazingira yake bado hayawezi kuwa mazuri kama usemavyo.
Na joto lote hili bila umeme si ni balaa au kuna feni za sola/kuchaji?Ila si kina umeme? Huku tunalipa 15k no umeme .
Joto tumeshalizoea. Vi vimkeka vyetu tu nje kibarazani ukianza kusinzia unarudi kitandani sasa. Ila leo hamna joto.Na joto lote hili bila umeme si ni balaa au kuna feni za sola/kuchaji?
We unanipanga tu hapa 15K wapi huko nihamie š
jichanganyeUsitupangie
ooh kumbeHata kama alizima na rimort radi ikishuka hiyo mitaa hata zile LNB zina kufa hapo hapo huwenda nyumba mbili tatu za hako la mtaa haziko salama kama vitu vilikua kwenye umeme kuzima sio inshu wachana na radi [emoji120][emoji120][emoji871][emoji846]ds
Northzone.Wapi huko?