Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
We sawa tu....Jumamosi hii wanaoenda kazini wanalaani hatari, ila ambao hawaendi kazini ni kulala hadi njaa iume kisawasawa ndo waamke kupika.
Hongereni kwa hali ya hewa nzuri, pole kwa wanaoishi maeneo ya chini ya usawa wa bahari maana mafuriko hayatawaacha salama.
Huwa sielewi kwanini Tanesco hawapatani na mvua, ikinyesha tuu umeme usipokatika basi hilo eneo limebahatika.
Poleni kwa yote, ndo maisha.