Being_neutral
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 376
- 727
🤣🤣🤣🤣daaah nimecheka sanaUmefika kwenye kazi gani mapema hv au unauza chai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣daaah nimecheka sanaUmefika kwenye kazi gani mapema hv au unauza chai
Una details sana mkuuBukoba Secondary(1964) au ihungo(1929) Kahororo (1954) au Omumwani (1966)?
Hizi mvua nami zimenikumbusha Bukoba, Dar inapata mvua za vipindi virefu sasa ni mabadiliko ya ajabu, the good side of it tunafurahia kijani kibichi, everywhere green raha sana.
Kweli kabisaAmbao hawajashuhudia yaliyotokea usiku wa leo ni haki yao kusema wanachojisikia.
Kuna miti imeanguka barabarani ambapo ukiangalia umetokea wapi hupati jibu! Eneo la karibu hakuna mti, hatari!
Na TANESCO wakazima ili tufanye utalii wa mvua za radi.Zile radi za Jana usiku sijawai zi shuhudia tangu nimekuepo hapa Dunia..
Hali ni mbaya sana sanaaa miti imeangukia barabarani..
Mpaka muda huu napokea taarifa subordinate wangu wengi toka sehemu mbali mbali za dar hawatoweza fika Kwa kazi..
NB:
For sure Jana niliogopa sana radi na miti kuangukia nyumba
Nilisoma Ile shule kongwe pale bukoba Enzi zile Kwa msio jua kule SOMETIMES RADI ZINAPIGAGA JUA HUKU LINAWAKA so radi binafsi hazikuwai kuniogopeshaa
Shuleni pale wamefunga minara ya kupunguza spidi na kuzizuia RADI
All in all mvua na radi za Jana ni balaa ever!! Giza anga Lina vimulimuli kama Tupo ukanda wa GAZA😅😅😄😊😊
Mbona lazy Sunday 🤣🤣🤣🤣🤣Hey there,Missy Gf.
I'm vibin' like a smooth jazz solo on a lazy Sunday.How 'bout you?
Say "hello" kwa family..!
Aisee hii siyo ndogoWatu wa Dar hawana dogo, hata mvua kidogo lazima waripoti.
Mjini patamu rafiki. 😂😂Mlioambiwa watu wa dar hameni mpk ifikapo april mafutiko makubwa yanakuja
Sikutegemea kama utanijibu hivi😅Mbona lazy Sunday 🤣🤣🤣🤣🤣
Toka hapa na vingreza vyako
Huwezi amini huu msemo ndyo nauona hapa kwako 🤣🤣Sikutegemea kama utanijibu hivi😅
"smooth jazz solo on a lazy Sunday" ni msemo tu ambao unatoa uchovu wa weekend ukiwazia monday.
Hii kingereza yangu nimecopy kwako somewhere 😅
Tanesco hawahusiki na kuzima umeme wakati wa mvua, bali kuna station ambazo mvua ikifika kiwango fulani zinajizima zenyeweYes.. kuna mitaa Tanesco wanasahau kukata umeme pakiwa hata na mvua.
Sasa mvua imenyesha na radi zake, ikaenda na Tv ya watu.
Hongera sana,fanya kazi kwa bidii umnunulie zuluman tie na wristwatch..Huwezi amini huu msemo ndyo nauona hapa kwako 🤣🤣
Hv kumbe leo weekend mimi bado napigika hapa 🤣
Unataka brand gani 😊Hongera sana,fanya kazi kwa bidii umnunulie zuluman tie na wristwatch..
Wengine bado tunafurahia likizo ndefu.
navunja kioo😅😅Usitupangie