Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

Zile radi za Jana usiku sijawai zi shuhudia tangu nimekuepo hapa Dunia..

Hali ni mbaya sana sanaaa miti imeangukia barabarani..

Mpaka muda huu napokea taarifa subordinate wangu wengi toka sehemu mbali mbali za dar hawatoweza fika Kwa kazi..

NB:
For sure Jana niliogopa sana radi na miti kuangukia nyumba

Nilisoma Ile shule kongwe pale bukoba Enzi zile Kwa msio jua kule SOMETIMES RADI ZINAPIGAGA JUA HUKU LINAWAKA so radi binafsi hazikuwai kuniogopeshaa

Shuleni pale wamefunga minara ya kupunguza spidi na kuzizuia RADI

All in all mvua na radi za Jana ni balaa ever!! Giza anga Lina vimulimuli kama Tupo ukanda wa GAZA😅😅😄😊😊
Na TANESCO wakazima ili tufanye utalii wa mvua za radi.

Kitu kinawakawaka hata christmass tree haiwaki ivo
 
Screenshot_20240120-104229.png
Screenshot_20240120-104210.png
Screenshot_20240120-104145.png
 
Wanaosema Mungu hayupo angalieni hatari ya hiyo Radi, nani anaweza kuizuia usimtoe Roho?

Siku za usoni ikinyesha mvua kama hiyo ya Leo na Radi, mala mbili ya hiyo kwa siku tatu mfululizo huko mjini kwenu, nadhani kila mmoja wenu ataanza kumlilia Mungu wake aiweke nchi katika hali ya tulivu wa kawaida.
Kusema Mungu hayupo ni kushiba majivuno tu.
 
Back
Top Bottom