Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

Jumamosi hii wanaoenda kazini wanalaani hatari, ila ambao hawaendi kazini ni kulala hadi njaa iume kisawasawa ndo waamke kupika.

Hongereni kwa hali ya hewa nzuri, pole kwa wanaoishi maeneo ya chini ya usawa wa bahari maana mafuriko hayatawaacha salama.

Huwa sielewi kwanini Tanesco hawapatani na mvua, ikinyesha tuu umeme usipokatika basi hilo eneo limebahatika.

Poleni kwa yote, ndo maisha.
We sawa tu....
 
Joto tumeshalizoea. Vi vimkeka vyetu tu nje kibarazani ukianza kusinzia unarudi kitandani sasa. Ila leo hamna joto.
Ni buza mkuu, karibu
Ikitokea usinzii ina maana ndio unakesha kibarazani sio? Vijora na madera huko ndio mahala pake.

Ahsante mkuu itabidi nifikemo ukiwa unahama uniachie chumba tuwakomoe madalali 😁
 
Wakazi wa dar mnafirahisha, mvua kidogo mnafungua thread, huku kugoma radi zinapigwa mpaka miti inakauka lakini fresh na watu hawawezi wala nini? Lakini poleni maana kwa dar mvua kunyesha sio kawaida.
Ni kweli mvua imepiga kubwa ya kutosha though huku nilipo mimi haikuwa na upepo, mvua kubwa ya utulivu[emoji1][emoji1] ila kwa sasa yamebaki manyunyu tu
 
Wanaume wa Dar wanaogopa radio hii nchi Ina hatari sana Yani daaah

Yani mwanaume mzima unasema unaogopa radi
Zile radi za Jana usiku sijawai zi shuhudia tangu nimekuepo hapa Dunia..

Hali ni mbaya sana sanaaa miti imeangukia barabarani..

Mpaka muda huu napokea taarifa subordinate wangu wengi toka sehemu mbali mbali za dar hawatoweza fika Kwa kazi..

NB:
For sure Jana niliogopa sana radi na miti kuangukia nyumba

Nilisoma Ile shule kongwe pale bukoba Enzi zile Kwa msio jua kule SOMETIMES RADI ZINAPIGAGA JUA HUKU LINAWAKA so radi binafsi hazikuwai kuniogopeshaa

Shuleni pale wamefunga minara ya kupunguza spidi na kuzizuia RADI

All in all mvua na radi za Jana ni balaa ever!! Giza anga Lina vimulimuli kama Tupo ukanda wa GAZA😅😅😄😊😊
 
Ikitokea usinzii ina maana ndio unakesha kibarazani sio? Vijora na madera huko ndio mahala pake.

Ahsante mkuu itabidi nifikemo ukiwa unahama uniachie chumba tuwakomoe madalali 😁
Eeh vijora vya chui chui bila chupi ndani. Yaani huku burudani sana wewe elfu 8 tu umepata mtoko mpya.

Sawa nitakuachia hiki chumba ila ujipange majirani zangu wanapenda shughuli kila siku vigodoro yaani
 
Zile radi za Jana usiku sijawai zi shuhudia tangu nimekuepo hapa Dunia..

Hali ni mbaya sana sanaaa miti imeangukia barabarani..

Mpaka muda huu napokea taarifa subordinate wangu wengi toka sehemu mbali mbali za dar hawatoweza fika Kwa kazi..

NB:
For sure Jana niliogopa sana radi na miti kuangukia nyumba

Nilisoma Ile shule kongwe pale bukoba Enzi zile Kwa msio jua kule SOMETIMES RADI ZINAPIGAGA JUA HUKU LINAWAKA so radi binafsi hazikuwai kuniogopeshaa

Shuleni pale wamefunga minara ya kupunguza spidi na kuzizuia RADI

All in all mvua na radi za Jana ni balaa ever!! Giza anga Lina vimulimuli kama Tupo ukanda wa GAZA😅😅😄😊😊
Ambao hawajashuhudia yaliyotokea usiku wa leo ni haki yao kusema wanachojisikia.

Kuna miti imeanguka barabarani ambapo ukiangalia umetokea wapi hupati jibu! Eneo la karibu hakuna mti, hatari!
 
Nilisoma Ile shule kongwe pale bukoba Enzi zile Kwa msio jua kule SOMETIMES RADI ZINAPIGAGA JUA HUKU LINAWAKA so radi binafsi hazikuwai kuniogopeshaa
Bukoba Secondary(1964) au ihungo(1929) Kahororo (1954) au Omumwani (1966)?
Hizi mvua nami zimenikumbusha Bukoba, Dar inapata mvua za vipindi virefu sasa ni mabadiliko ya ajabu, the good side of it tunafurahia kijani kibichi, everywhere green raha sana.
 
Eeh vijora vya chui chui bila chupi ndani. Yaani huku burudani sana wewe elfu 8 tu umepata mtoko mpya.
Na hapo nyuma lipo 😅
Si ntakufa kwa matamanio.
Sawa nitakuachia hiki chumba ila ujipange majirani zangu wanapenda shughuli kila siku vigodoro yaani
Kukesha huko ni kawaida kuna watu wanapenda shughuli kuliko chochote.
 
Back
Top Bottom